Jean Charles Ahoua (Mr MVP) awafunika Dube na Mzize, kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu ya NBC

Usiseme tu kafikisha goli 12,,kwenye hizo 12 toa goli 5 za penalty anabaki na ngapi? Goli za penalty inahesabiwa alama 1 na goli ambazo sio za penalty ni alama 2, nakwambia tu ufanye mahesabu yako mapema usije kuona ameonewa badae ikitokea wamelingana magoli na wenzake,,maana wenzake Awana goli za penalty!
Wenzake kutokuwa na goli za penalti ni kosa la Ahoua!? Yule mpanga rangi nywele Aziz Ki amekosa penalti ngapi alizopewa apige!?
 
Ana ongelea robo mara 3 wakati sie tulifika fainali na yeye mwaka huu acheze fainali sasa kama anaweza 😃
Usisahau Wewe ulicheza fainali ukitokea champions league kama Bingwa wa Tz . Subiri kama inawezekana Simba atolewe champions league (siku atakaposhiriki) na kuangukia shirikisho, kisha ndio ulete huo ulinganisho.

Maana Simba hii inacheza Shirikisho ikiwa kama mshindi wa tatu wa ligi ya nyumbani. Kwa hiyo huo ulinganisho wako hauna mantiki.
 
Andika muswada wa kuondoa penati katika soka kama unaona magoli ya penati siyo magoli.
TFF ilishatoa muswada huo kuwa kila goli la penalty lina uzito wa alama moja wakati magoli mengine yana uzito wa alama mbili. Ulikuwa hujui hilo na bado, unadhani unaujua mpira wa Tanzania?
 
Eti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
Sasa mbona kama umeongea kinyume chake sehemu ambayo yanga anafika akiwa na kikosi bora simba ana uwezo wa kufika akiwa na kikosi kibovu, refer msimu jana simba ilikuwa na kikosi kibovu ambacho karibu kila shabiki alikikatia tamaa, lakini bado wakafika robo kama ninyi tu mliodai mna kikosi bora na mkaishia robo

Na msimu juzi mlifika fainali cafcc kwa fluke tu maana robo na nusu mlipangiwa vibonde kina rivers na marumo ambao walikuwa wanaelekea kushuka daraja, ila mlipofika fainali mkakutana na wenye kombe lao usm alger ndio uwezo wenu ukaishia hapo, na mlikuwa na kikosi bora mna striker kama mayele ila bado mkashindwa kuchukua kombe lile mmebaki kujisifia medali tu

Sasa mngekutana na zamalek na berkane wenye michuano yao kwenye hatua ya robo sidhani hata kama nusu mngefika, sasa jiulize kama mna kikosi mnachosifia kuwa ni bora na hamna kombe lolote la kimataifa siku mkiwa na kikosi kibovu kama cha simba je itakuwaje, simba na kikosi chao kibovu wameenda robo cafcl mara tano mfululizo wamevuna pesa nyingi na points zilizo wapandisha rank huko kimataifa katika list ya timu bora africa wamewaacha mbali sana
 
Mkuu kumbe huwa mnakubali tuna kikosi kikali ee sasa mlipochapwa tano mbona mlianza kulalamikia rushwa miongoni mwa wachezaji wenu badala ya ubovu wa kikosi chenu.

Mnajisifia back to back robo fainali je mna hata hilo kombe la kimataifa?nyie si wazoefu huko? Mnasifia mmevuna pesa nyingi ila uwanja wenu hamna ,kikiumana huko kwenye pesa mnaanza kumdai Mo bilion zake mkisema ni zenu. Pesa nyingi mlizovuna mmefanyia kipi cha maana?

Hawa walikimbia kama wangebakia walikuwa wanakula bao 7 na kuendelea
 
Utopolo akili hawana kweli.
Eti magoli yanatofautiana point hii ni kanuni ya wapi?? Au ndo vyura mnavyodanganyana hapo dimbwin eeh??

Haya ni mazara ya kula supu za vibudu.
Basi walingane uone kinachofata maana mangungu amefuga mifugo mingi sana pale isiyojielewa,,jambo dogo tu la kupitia kanuni mnakuwa kama viazi mbatata!
 
Back
Top Bottom