Jean Charles Ahoua (Mr MVP) awafunika Dube na Mzize, kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu ya NBC

Jean Charles Ahoua (Mr MVP) awafunika Dube na Mzize, kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu ya NBC

Waambie hao hawaelewi. Makolo rage aliwaweza kweli. Wao robo fainali tu wakaenda kutuaibisha kuroga uwanjani live
Ana ongelea robo mara 3 wakati sie tulifika fainali na yeye mwaka huu acheze fainali sasa kama anaweza 😃
 
Eti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
tunza nguvu zako ndugu yangu ....Malengo ya Simba tangu msimu wa 2021 ni kufika nusu fainali hajawai fika ila ana kelele nyiingi ooh sisi wakimataifa

Msimu huu mbwmbw zilikuwa nyiingi ila mda unavozidi kwenda wanahamia Kutoka kuchukua ubingwa mpaka kwa MVP na Kipa bora
 
Waambie hao hawaelewi. Makolo rage aliwaweza kweli. Wao robo fainali tu wakaenda kutuaibisha kuroga uwanjani live
Rage alikuwa sahihi sana naunga mkono hoja na mwaka huu hawapati kitu Hawa makolo
 
Jaribu kuwa na akili kidogo umeelewa point yangu ama umekurupuka tu kama mkojo wa asubuhi? Nani kasema magoli ya penalty ayahesabiki? Magoli ya penalty yanahesabika but anapotafutwa mfungaji Bora magoli ya penalty uwa yanapewa point Moja na magoli ya kawaida uwa yanapewa point mbili,,uwezi kufunga magoli ya kutengewa ukawa sawa sawa na anayepambana kufunga kwa kuangaika!
Utopolo akili hawana kweli.
Eti magoli yanatofautiana point hii ni kanuni ya wapi?? Au ndo vyura mnavyodanganyana hapo dimbwin eeh??

Haya ni mazara ya kula supu za vibudu.
 
tunza nguvu zako ndugu yangu ....Malengo ya Simba tangu msimu wa 2021 ni kufika nusu fainali hajawai fika ila ana kelele nyiingi ooh sisi wakimataifa

Msimu huu mbwmbw zilikuwa nyiingi ila mda unavozidi kwenda wanahamia Kutoka kuchukua ubingwa mpaka kwa MVP na Kipa bora
fainali kupitia kwa marumo unajisifia dawa yako ni MC alger na al hilal
 
Eti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
Msimu mlofika fainali mlikutana na timu dhaifu sana ajabu hii. Kiufupi yanga walikuwa na bahati tu sio ubora.

Imagine Yanga anafika fainali kwa kufunga timu mbovu na dhaifu kama marumo gallants na rivers United .

Ule msimu timu kubwa giants zilikua haziko vzuri zlitoka mapema.
 
Baada MR MVP Jean Charles Ahoua kufunga magoli 2 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji anakuwa amefikisha jumla ya magoli 12 katika Ligi na kuwa kinara wa ufungaji.

Wanaomfuatia Jean Charles Ahoua ni Clement Mzize na Prince Dube ambao wote wana magoli magoli 10 kila mmoja.View attachment 3270244

VINARA wa magoli Ligi Kuu bara mpaka sasa msimu huu wa 2024/25

View attachment 3270654
Kama kuna mchezaji tishio na ambaye naona ana kila dalili ya kuchukua kiatu cha ufungaji bora ni Sowah kama asipopata majeraha. Mechi 7 goli 7
 
Usiseme tu kafikisha goli 12,,kwenye hizo 12 toa goli 5 za penalty anabaki na ngapi? Goli za penalty inahesabiwa alama 1 na goli ambazo sio za penalty ni alama 2, nakwambia tu ufanye mahesabu yako mapema usije kuona ameonewa badae ikitokea wamelingana magoli na wenzake,,maana wenzake Awana goli za penalty!
kwa sheria zipi?
 
Sisi Yanga wachezaji wetu wanategemea penat
 
Back
Top Bottom