Jean Charles Ahoua (Mr MVP) awafunika Dube na Mzize, kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu ya NBC

Eti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
 
Hii inachoma km pasi ya umeme, woiiih

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Eti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
Na mkashindwa kubeba kombe, na nyie ingieni robo CAFCL mara 3 back to back.
Na hamuwezi kamwee.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Azizi k angepata basi kama ni rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…