Jean Charles Ahoua (Mr MVP) awafunika Dube na Mzize, kwa sasa ndiye kinara wa Magoli Ligi Kuu ya NBC

Waambie hao hawaelewi. Makolo rage aliwaweza kweli. Wao robo fainali tu wakaenda kutuaibisha kuroga uwanjani live
Ana ongelea robo mara 3 wakati sie tulifika fainali na yeye mwaka huu acheze fainali sasa kama anaweza πŸ˜ƒ
 
Eti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
tunza nguvu zako ndugu yangu ....Malengo ya Simba tangu msimu wa 2021 ni kufika nusu fainali hajawai fika ila ana kelele nyiingi ooh sisi wakimataifa

Msimu huu mbwmbw zilikuwa nyiingi ila mda unavozidi kwenda wanahamia Kutoka kuchukua ubingwa mpaka kwa MVP na Kipa bora
 
Waambie hao hawaelewi. Makolo rage aliwaweza kweli. Wao robo fainali tu wakaenda kutuaibisha kuroga uwanjani live
Rage alikuwa sahihi sana naunga mkono hoja na mwaka huu hawapati kitu Hawa makolo
 
Utopolo akili hawana kweli.
Eti magoli yanatofautiana point hii ni kanuni ya wapi?? Au ndo vyura mnavyodanganyana hapo dimbwin eeh??

Haya ni mazara ya kula supu za vibudu.
 
fainali kupitia kwa marumo unajisifia dawa yako ni MC alger na al hilal
 
Eti matawi yaani malalamiko fc mnafurahisha sana. Basi huko kimataifa mshapata kichaka cha kufichia hoja zenu. Kumbukeni tulishafika fainali sehemu ambayo huwa mnaishia robo tena mkiwa na kikosi kipana.
Msimu mlofika fainali mlikutana na timu dhaifu sana ajabu hii. Kiufupi yanga walikuwa na bahati tu sio ubora.

Imagine Yanga anafika fainali kwa kufunga timu mbovu na dhaifu kama marumo gallants na rivers United .

Ule msimu timu kubwa giants zilikua haziko vzuri zlitoka mapema.
 
Kama kuna mchezaji tishio na ambaye naona ana kila dalili ya kuchukua kiatu cha ufungaji bora ni Sowah kama asipopata majeraha. Mechi 7 goli 7
 
kwa sheria zipi?
 
Sisi Yanga wachezaji wetu wanategemea penat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…