Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
- #221
Mkuu nakujibu kwa awamuDaah kweli mapenzi yako kwa Mobutu yamekupa upofu,sifa kuu za mobutu unazozitaja humu jf mara kwa mara ni za hovyo tu ni:
1.Kugawa hela na nguo kwa wananchi wake.
2.Kujenga kasri kijijini kwake na kuweka mapambo ya thamani ndani.
3.Kujenga airport kijijini kwake ili concorde yake iweze kumsafirisha kutoka Paris mpk kijijini kwake akitoka kwny matanuzi yake
4.Kufanya matanuzi ya kufa mtu huko ulaya.
5.Kufanya harusi ya Gharama kwa binti yake i.e sijui gauni la Gharama,kumzawadia almasi bintiye.
6.Kuimbwa kwny nyimbo za kina Franco.
7.Kuwa mwizi wa mali za umma kwa kuigeuza Bank ya Zaire kua mali yake.
8.Kununua majumba huko Ulaya
Lkn true colour ya Mobutu hua huielezi:
1.Alinyonga mawaziri wake 4 kwny uwanja wa michezo huku tukio hilo likishuhudiwa na watu 50,000 kwa kuwatuhumu kupanga mapinduzi juu yake.
2.Alikua the most corrupt dictator.
3.Huelezi kwny utawala wake how Zaire suffered from uncontrolled inflation, a large debt, and massive currency devaluations .
4.Jamaa alivyokamata nchi alipiga marufuku ..vyama vya siasa kwa miaka 5 ili anyooshe nchi.
5.Mwaka 1984 alikua anakadiriwa kua na utajiri wa zaidi ya $5bil ambayo ilikua inalingana na deni la nchi yake kwny taasisi mbali mbali za kimataifa,ye ana utajiri huo huku wananchi wake ni maskini wa kufa mtu.
6.Ndugu zake na marafiki zake ndio waliokua na nafasi za juu serikali na jeshini.(Nepotism).
7.Rais aliyewaleta mabondia wa kimarekani Muhammad Ali vs George Foreman kupigana huko porini kwake huku akiwalipa $5mil kila mmoja,anatoa hela hizo huku akiwa rais mwenye wananchi wanaokufa kwa njaa na kukosa matibabu.
Alikua na zaidi mabaya mamilioni,ukieleza hapa servers za jf zitajaa.
Hujawahi kusema kipindi Mobutu akiwa Raisi nchi yake ilikua ni ya ngapi kiuchumi Africa,Mobutu alikua na influence gani huko AU/UN,Mobutu alisaidia nini kwny harakati za ukombozi wa nchi nyingine za Africa
Huyo ndiye mtu wa kumlinganisha na Nyerere tunaesikiliza Speech zake mpk leo,Mwenye influence AU/UN akiongea kitu UN/Ulaya/Marekani inakaa attention kumsikiliza,aliyepambana kwa hali na mali kukomboa nchi za Ki Africa.
Au ulitaka Nyerere na yeye agawe hela/aende Paris kufanya Shopping/anunue majumba Huko Ulaya/afanye watoto wake/ndugu zake ni maboss huko Serikalini/jeshini,au ulitaka Nyerere awe na suti nyingi na kofia sijui iliyotengenezwa na ngozi za wanyama ili aonekane wa maana.
BTW hizo Speech 'universal' za Mobutu unazisikizaga kwny international media zipi?
Yule fala Mobutu was an "arsehole".
1.inflation unayoongelea wewe ilianza during the early 90's na moja ya sababu ni kushukà kwa thàmani ya madini dunian mfAno cobalt. Zaire ilikua na uchumi mzuri sana kabla ya hapo 1zairean shilling ilikua ni sawa na 2USD kipindi madini yalipokua na tthaman
2.umeongelea kuuwa ma waziri wake.kasome historia vizuri.mobutu hajawai kuuwa mawaziri wake bali aliagiza kuuwawa mawaziri wa serikali iliyopita ambao walipanga kumpindua na part of the plan walitaka wamuue yeye
3.umeongelea kuhusu kujaza ndugu zake serikalini once again nakushauri nenda ukasome achana na habari za vijiweni.aliweka watu wa kabilA lake kAtika kikosi cha ulinzi wake binafsi na kumpa cheo ndugu yake mmoja kuwa general aliitwa gen nzimbi.emu nipe list ya hao ndugu zake uliowaona wewe serikalini .
4.umesema humu naandika sifa zake za ajabu.hujawai kuona nimeandika humu kuwa alinunua ndege kwa ajili ya Air zaire ndege kubwa nyingi ? Na ushahidi wA picha upo. Hujawahi kusoma nimesema alitoa pesa bure za kujikimu pamoja na chakula bure kwa wanachuo ? Hujawai kuona nimesema alijenga miundombinu ya umeme pale mto congo yenye uwezo wa ku supply africa nzima bila mApungufu ? Hujawai kusoma kuwa kipindi chake zaire ilikua na amani ?
Huyo nyerere
1.wanafunzi wa chuo kikuu alishindwa kuwasomesha bure na waliwahi kuandamana kuhusu chakula
2.nyerere wakati wake si ndio mlikula maindi ya ng'ombe wa marekani ? Si ndio mlivaa nguo zimechanika ? Si ndio aliwatoa mijini akawapeleka vijiji vya ujamaa ?
Umeongelea ukombozi wa Africa once again nakwambia go and read about mobutu
Alishiriki vita vya ukombozi wa chad na Angola pia wakati wa mauaji ya kimbali alituma walinzi wake binafsi wakalete amani rwanda. May i remind you kuwa hata asingefanya haya yote ya kusaidia ukombozi angekuwa sawa.jukumu la rais ni kuwaletea maendeleo watu wake sio kuwa na kiherehere kama cha mchonga kilichosababishia nchi vita na umasikini mkubwa.nimewahi kusoma mahali fulani kuwa hatukuwahi ku recover kabisa kutokana na gharama z vita ya kagera.
Nb
Nyerere hakuifanyia chochote Tanganyika cha kimaendeleo.aliiua Tanganyika ndio maana most of our elders hata humu JF waliishi maisha ya umasikini.wakati w Mobutu wazaire wengi hasa wa mijini waliishi vizuri
Japo Mobutu alichokosea aliijenga na akaibomoa zAire yeye mwenyewe.ila nyerere aliibomoA tanganyika
Pia siku nyingine uwe na kumbu kumbu kuwa kati ya mobutu na nyerere kuna mmoja alimuua PM wake