Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Daah kweli mapenzi yako kwa Mobutu yamekupa upofu,sifa kuu za mobutu unazozitaja humu jf mara kwa mara ni za hovyo tu ni:

1.Kugawa hela na nguo kwa wananchi wake.

2.Kujenga kasri kijijini kwake na kuweka mapambo ya thamani ndani.

3.Kujenga airport kijijini kwake ili concorde yake iweze kumsafirisha kutoka Paris mpk kijijini kwake akitoka kwny matanuzi yake

4.Kufanya matanuzi ya kufa mtu huko ulaya.

5.Kufanya harusi ya Gharama kwa binti yake i.e sijui gauni la Gharama,kumzawadia almasi bintiye.

6.Kuimbwa kwny nyimbo za kina Franco.

7.Kuwa mwizi wa mali za umma kwa kuigeuza Bank ya Zaire kua mali yake.

8.Kununua majumba huko Ulaya

Lkn true colour ya Mobutu hua huielezi:

1.Alinyonga mawaziri wake 4 kwny uwanja wa michezo huku tukio hilo likishuhudiwa na watu 50,000 kwa kuwatuhumu kupanga mapinduzi juu yake.

2.Alikua the most corrupt dictator.

3.Huelezi kwny utawala wake how Zaire suffered from uncontrolled inflation, a large debt, and massive currency devaluations .

4.Jamaa alivyokamata nchi alipiga marufuku ..vyama vya siasa kwa miaka 5 ili anyooshe nchi.

5.Mwaka 1984 alikua anakadiriwa kua na utajiri wa zaidi ya $5bil ambayo ilikua inalingana na deni la nchi yake kwny taasisi mbali mbali za kimataifa,ye ana utajiri huo huku wananchi wake ni maskini wa kufa mtu.

6.Ndugu zake na marafiki zake ndio waliokua na nafasi za juu serikali na jeshini.(Nepotism).

7.Rais aliyewaleta mabondia wa kimarekani Muhammad Ali vs George Foreman kupigana huko porini kwake huku akiwalipa $5mil kila mmoja,anatoa hela hizo huku akiwa rais mwenye wananchi wanaokufa kwa njaa na kukosa matibabu.

Alikua na zaidi mabaya mamilioni,ukieleza hapa servers za jf zitajaa.

Hujawahi kusema kipindi Mobutu akiwa Raisi nchi yake ilikua ni ya ngapi kiuchumi Africa,Mobutu alikua na influence gani huko AU/UN,Mobutu alisaidia nini kwny harakati za ukombozi wa nchi nyingine za Africa

Huyo ndiye mtu wa kumlinganisha na Nyerere tunaesikiliza Speech zake mpk leo,Mwenye influence AU/UN akiongea kitu UN/Ulaya/Marekani inakaa attention kumsikiliza,aliyepambana kwa hali na mali kukomboa nchi za Ki Africa.

Au ulitaka Nyerere na yeye agawe hela/aende Paris kufanya Shopping/anunue majumba Huko Ulaya/afanye watoto wake/ndugu zake ni maboss huko Serikalini/jeshini,au ulitaka Nyerere awe na suti nyingi na kofia sijui iliyotengenezwa na ngozi za wanyama ili aonekane wa maana.

BTW hizo Speech 'universal' za Mobutu unazisikizaga kwny international media zipi?

Yule fala Mobutu was an "arsehole".
Mkuu nakujibu kwa awamu
1.inflation unayoongelea wewe ilianza during the early 90's na moja ya sababu ni kushukà kwa thàmani ya madini dunian mfAno cobalt. Zaire ilikua na uchumi mzuri sana kabla ya hapo 1zairean shilling ilikua ni sawa na 2USD kipindi madini yalipokua na tthaman

2.umeongelea kuuwa ma waziri wake.kasome historia vizuri.mobutu hajawai kuuwa mawaziri wake bali aliagiza kuuwawa mawaziri wa serikali iliyopita ambao walipanga kumpindua na part of the plan walitaka wamuue yeye

3.umeongelea kuhusu kujaza ndugu zake serikalini once again nakushauri nenda ukasome achana na habari za vijiweni.aliweka watu wa kabilA lake kAtika kikosi cha ulinzi wake binafsi na kumpa cheo ndugu yake mmoja kuwa general aliitwa gen nzimbi.emu nipe list ya hao ndugu zake uliowaona wewe serikalini .

4.umesema humu naandika sifa zake za ajabu.hujawai kuona nimeandika humu kuwa alinunua ndege kwa ajili ya Air zaire ndege kubwa nyingi ? Na ushahidi wA picha upo. Hujawahi kusoma nimesema alitoa pesa bure za kujikimu pamoja na chakula bure kwa wanachuo ? Hujawai kuona nimesema alijenga miundombinu ya umeme pale mto congo yenye uwezo wa ku supply africa nzima bila mApungufu ? Hujawai kusoma kuwa kipindi chake zaire ilikua na amani ?

Huyo nyerere
1.wanafunzi wa chuo kikuu alishindwa kuwasomesha bure na waliwahi kuandamana kuhusu chakula

2.nyerere wakati wake si ndio mlikula maindi ya ng'ombe wa marekani ? Si ndio mlivaa nguo zimechanika ? Si ndio aliwatoa mijini akawapeleka vijiji vya ujamaa ?

Umeongelea ukombozi wa Africa once again nakwambia go and read about mobutu
Alishiriki vita vya ukombozi wa chad na Angola pia wakati wa mauaji ya kimbali alituma walinzi wake binafsi wakalete amani rwanda. May i remind you kuwa hata asingefanya haya yote ya kusaidia ukombozi angekuwa sawa.jukumu la rais ni kuwaletea maendeleo watu wake sio kuwa na kiherehere kama cha mchonga kilichosababishia nchi vita na umasikini mkubwa.nimewahi kusoma mahali fulani kuwa hatukuwahi ku recover kabisa kutokana na gharama z vita ya kagera.

Nb
Nyerere hakuifanyia chochote Tanganyika cha kimaendeleo.aliiua Tanganyika ndio maana most of our elders hata humu JF waliishi maisha ya umasikini.wakati w Mobutu wazaire wengi hasa wa mijini waliishi vizuri
Japo Mobutu alichokosea aliijenga na akaibomoa zAire yeye mwenyewe.ila nyerere aliibomoA tanganyika

Pia siku nyingine uwe na kumbu kumbu kuwa kati ya mobutu na nyerere kuna mmoja alimuua PM wake
 
Daah kweli mapenzi yako kwa Mobutu yamekupa upofu,sifa kuu za mobutu unazozitaja humu jf mara kwa mara ni za hovyo tu ni:

1.Kugawa hela na nguo kwa wananchi wake.

2.Kujenga kasri kijijini kwake na kuweka mapambo ya thamani ndani.

3.Kujenga airport kijijini kwake ili concorde yake iweze kumsafirisha kutoka Paris mpk kijijini kwake akitoka kwny matanuzi yake

4.Kufanya matanuzi ya kufa mtu huko ulaya.

5.Kufanya harusi ya Gharama kwa binti yake i.e sijui gauni la Gharama,kumzawadia almasi bintiye.

6.Kuimbwa kwny nyimbo za kina Franco.

7.Kuwa mwizi wa mali za umma kwa kuigeuza Bank ya Zaire kua mali yake.

8.Kununua majumba huko Ulaya

Lkn true colour ya Mobutu hua huielezi:

1.Alinyonga mawaziri wake 4 kwny uwanja wa michezo huku tukio hilo likishuhudiwa na watu 50,000 kwa kuwatuhumu kupanga mapinduzi juu yake.

2.Alikua the most corrupt dictator.

3.Huelezi kwny utawala wake how Zaire suffered from uncontrolled inflation, a large debt, and massive currency devaluations .

4.Jamaa alivyokamata nchi alipiga marufuku ..vyama vya siasa kwa miaka 5 ili anyooshe nchi.

5.Mwaka 1984 alikua anakadiriwa kua na utajiri wa zaidi ya $5bil ambayo ilikua inalingana na deni la nchi yake kwny taasisi mbali mbali za kimataifa,ye ana utajiri huo huku wananchi wake ni maskini wa kufa mtu.

6.Ndugu zake na marafiki zake ndio waliokua na nafasi za juu serikali na jeshini.(Nepotism).

7.Rais aliyewaleta mabondia wa kimarekani Muhammad Ali vs George Foreman kupigana huko porini kwake huku akiwalipa $5mil kila mmoja,anatoa hela hizo huku akiwa rais mwenye wananchi wanaokufa kwa njaa na kukosa matibabu.

Alikua na zaidi mabaya mamilioni,ukieleza hapa servers za jf zitajaa.

Hujawahi kusema kipindi Mobutu akiwa Raisi nchi yake ilikua ni ya ngapi kiuchumi Africa,Mobutu alikua na influence gani huko AU/UN,Mobutu alisaidia nini kwny harakati za ukombozi wa nchi nyingine za Africa

Huyo ndiye mtu wa kumlinganisha na Nyerere tunaesikiliza Speech zake mpk leo,Mwenye influence AU/UN akiongea kitu UN/Ulaya/Marekani inakaa attention kumsikiliza,aliyepambana kwa hali na mali kukomboa nchi za Ki Africa.

Au ulitaka Nyerere na yeye agawe hela/aende Paris kufanya Shopping/anunue majumba Huko Ulaya/afanye watoto wake/ndugu zake ni maboss huko Serikalini/jeshini,au ulitaka Nyerere awe na suti nyingi na kofia sijui iliyotengenezwa na ngozi za wanyama ili aonekane wa maana.

BTW hizo Speech 'universal' za Mobutu unazisikizaga kwny international media zipi?

Yule fala Mobutu was an "arsehole".
Mkuu nishakujibu.naomba ukinijibu njoo na mafanikio 10 ya nyerere ambayo mobutu hakuyafanya.
1.usiongelee ukombozi wa nchi za Africa hata mobutu alifanya
2.usiongelee amani.hata zaire ilikuepo
3.usiongelee influence Un hata mobutu alikua nayo

Njoo na vitu vya maendeleo niambie na uwathibitishie wana JF nyerere aliifanyia nini Tanganyika ki maendeleo maana mimi nimetaja not less than 6 points z maendeleo ya Mobutu
 
Ya mobutu yanaishi sana
Na ni universal. Nyerere maneno yake mengi ni kwa mazingira ya Tanzania ya miaka ile
Hivi unakaaje unamsikiliza nyerere mtu iyeshindwa hata kujijengea nyumba ? Mtu aliyeugua afu hana hata pesa ya kwenda hospitali ? Mtu aliyekua na suti moja
...acha ujinga wa kumlinga Mwl.Nyerere na vilaza kina Mobutu,_kwahiyo MTU asiyejali maslahi ya anaowatawala ndio mzuri kuliko MTU makini.
....halafu huo upuuzi wa kusema alikosa hela za kutibiwa,Mara hana nyumba etc sijui umeutoa wapi.pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah kweli mapenzi yako kwa Mobutu yamekupa upofu,sifa kuu za mobutu unazozitaja humu jf mara kwa mara ni za hovyo tu ni:

1.Kugawa hela na nguo kwa wananchi wake.

2.Kujenga kasri kijijini kwake na kuweka mapambo ya thamani ndani.

3.Kujenga airport kijijini kwake ili concorde yake iweze kumsafirisha kutoka Paris mpk kijijini kwake akitoka kwny matanuzi yake

4.Kufanya matanuzi ya kufa mtu huko ulaya.

5.Kufanya harusi ya Gharama kwa binti yake i.e sijui gauni la Gharama,kumzawadia almasi bintiye.

6.Kuimbwa kwny nyimbo za kina Franco.

7.Kuwa mwizi wa mali za umma kwa kuigeuza Bank ya Zaire kua mali yake.

8.Kununua majumba huko Ulaya

Lkn true colour ya Mobutu hua huielezi:

1.Alinyonga mawaziri wake 4 kwny uwanja wa michezo huku tukio hilo likishuhudiwa na watu 50,000 kwa kuwatuhumu kupanga mapinduzi juu yake.

2.Alikua the most corrupt dictator.

3.Huelezi kwny utawala wake how Zaire suffered from uncontrolled inflation, a large debt, and massive currency devaluations .

4.Jamaa alivyokamata nchi alipiga marufuku ..vyama vya siasa kwa miaka 5 ili anyooshe nchi.

5.Mwaka 1984 alikua anakadiriwa kua na utajiri wa zaidi ya $5bil ambayo ilikua inalingana na deni la nchi yake kwny taasisi mbali mbali za kimataifa,ye ana utajiri huo huku wananchi wake ni maskini wa kufa mtu.

6.Ndugu zake na marafiki zake ndio waliokua na nafasi za juu serikali na jeshini.(Nepotism).

7.Rais aliyewaleta mabondia wa kimarekani Muhammad Ali vs George Foreman kupigana huko porini kwake huku akiwalipa $5mil kila mmoja,anatoa hela hizo huku akiwa rais mwenye wananchi wanaokufa kwa njaa na kukosa matibabu.

Alikua na zaidi mabaya mamilioni,ukieleza hapa servers za jf zitajaa.

Hujawahi kusema kipindi Mobutu akiwa Raisi nchi yake ilikua ni ya ngapi kiuchumi Africa,Mobutu alikua na influence gani huko AU/UN,Mobutu alisaidia nini kwny harakati za ukombozi wa nchi nyingine za Africa

Huyo ndiye mtu wa kumlinganisha na Nyerere tunaesikiliza Speech zake mpk leo,Mwenye influence AU/UN akiongea kitu UN/Ulaya/Marekani inakaa attention kumsikiliza,aliyepambana kwa hali na mali kukomboa nchi za Ki Africa.

Au ulitaka Nyerere na yeye agawe hela/aende Paris kufanya Shopping/anunue majumba Huko Ulaya/afanye watoto wake/ndugu zake ni maboss huko Serikalini/jeshini,au ulitaka Nyerere awe na suti nyingi na kofia sijui iliyotengenezwa na ngozi za wanyama ili aonekane wa maana.

BTW hizo Speech 'universal' za Mobutu unazisikizaga kwny international media zipi?

Yule fala Mobutu was an "arsehole".
...huyu jamaa nadhani atakuwa mtoto wa nje ya ndoa wa Mobutu_coz ana mahaba naye kuliko uhalisia...mpuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nishakujibu.naomba ukinijibu njoo na mafanikio 10 ya nyerere ambayo mobutu hakuyafanya.
1.usiongelee ukombozi wa nchi za Africa hata mobutu alifanya
2.usiongelee amani.hata zaire ilikuepo
3.usiongelee influence Un hata mobutu alikua nayo

Njoo na vitu vya maendeleo niambie na uwathibitishie wana JF nyerere aliifanyia nini Tanganyika ki maendeleo maana mimi nimetaja not less than 6 points z maendeleo ya Mobutu
...wewe jamaa nimejua ni MTU wa aina gani..mwanzoni nilifikiri ni MTU unayejielewa kumbe ni kilaza mzuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...acha ujinga wa kumlinga Mwl.Nyerere na vilaza kina Mobutu,_kwahiyo MTU asiyejali maslahi ya anaowatawala ndio mzuri kuliko MTU makini.
....halafu huo upuuzi wa kusema alikosa hela za kutibiwa,Mara hana nyumba etc sijui umeutoa wapi.pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu let us argue with vivid points.hii ndio maana ya JF nimeweka upinzani kama challenge njoo tuongee like great thinkers weka pembeni matusi.hii ni mada interesting na very crucial we talk about development. Hata nyerere mwenyewe mara kadhaa amekua akikubali kupingwa na aliamini huwezi ukaishi tu kila siku hoja zako zikakubalika lazima kuwe na upinzani ili mwisho wa siku kuwe na mutual understanding. Tatizo letu wa Africa hata wewe nimeona unalo ni kuwa hujui kubishana kwa hoja na ndilo linatusumbua sana hata kwenye siasa kila siku mnatukana na watu watu wa chadema sababu hamjui kujenga hoja.angalia hoja mimi nilizoleta na jibu uliloleta utajua una tatizo.once again i wellcome you with great respect ili tujadiliane
 
...hoja zipi hizo ukizoleta mkuu,..kwamba Nyerere alishindwa hela za matibabu,alikuwa hana nyumba,alikuwa na suti moja..?!

Vs
...Mobute aliiba Mali za Congo to £5mil.huku nchi ikielemewa na madeni na halipi majeshi mishahara,Mara akajenga kasri huko kwao plus majumba Morocco,Hispania, France etc..huku wananchi wake wakilala kwenye makuti..Mara anaenda Fanya shopping Ulaya na France ...huu ujinga ndio unataka tujadili kumlinganisha na Nyerere kweli ?!
.....kidogo ungesema Gadaffi vs Nyerere nafuu

Unaona sasa mkuu
Kumbe hukunielewa.hoja zangu hasa ni hizi
1.alitoa free university education na accomodation
2.alijenga miundombinu ya umeme mkubwa zaidi Africa kiasi kwamba leo magufuli ana option kama akitaka aachane na stiglers gorge ambayo tunaambiwa itakata miti million 2 afate umeme congo.na nchi zingine zote za Africa zifate pale
3.alinunua ndege kubwa kama anavofanya sasa jiwe.na shirika la Air zaire liliweza kuwa na route za Europe
4.alisaidia ukombozi wa nchi za Africa mfano chad na Angola (hata nyerere najua alifanya hivi) pia alituma walinzi wake wapeleke amani rwanda wakati wa vita
5.alijenga miundombinu bora kabisa ya Mawasiliano. Zaire ilitutangulia kuwa na channel za rangi au coloured TV. Pia mawasiliano ya simu yalikua vizuri
6. Wazaire walisoma wakati wa Mobutu maana alikkuta nchi haifikishi hata wasomi watano wa chuo kikuu.lakini alivotolewa madarakani walikua maelfu
7.uchumi wa zaire aliukuza.inasemwa shilingi moja ya zaire ilikaribia kulingana thamani na USD hiki ni kipindi cha miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa 80
8.ali sponse kupitia serikali sanaa na wasanii kiasi kwamba band kama TP OK JAZZ zilipata ruzuku serikalini
9.katika kuinua michezo.the leopards timu ya taifa ya zaire ilifikia fainali za kombe la dunia miaka ya 70 kitu ambacho sisi mpaka leo hatuwezi
10.alitoa ajira kupitia serikal na hata yeye binafsi aliajiri watu zaidi ya 2000 katika mashamba yake pekee
11.aliisimamia rasilimali ya congo ili ifaidishe taifa japo kua na yeye binafsi alijinufaisha ila ni bora kuliko hivi sasa rwanda na uganda ndio wananufaika
12.kwa kipindi cha miaka 32 ya utawala wake zaire ilishuhudia amani ambayo toka uhuru haikuwepo na sasa haipo
13.alipotoka madarakani wamekufa zaidi ya watu millioni 3 sababu ya vita

Na mengine mengi
Mkuu mpaka hapo nadhani umenielewa sasa hoja zangu zilipo.yale mengine tuyaache let us talk about development. Yale maneno niliyasema kama kuwa challange ili mje na hoja.haya hizo ndio hoja zangu hapo juu mkuu.nakusubiri na wewe
 
Huyo jamaa ana mahaba ya ajabu kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa ana mahaba ya ajabu kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hoja zangu hapo juu mkuu utanielewa. But yes somehow i like the man kiasi kwamba inakua na influence kwenye hoja zangu.but nimeandika hapo juu hoja za maana unaweza kuziangalia.huyo mkuu alikua hajanielewa tu logic yangu
 
[emoji23] ndio hivo mkuu
Hapa nilipo nataka nijiunge UVCCM nikipata tu bahati ya kukutana na banzastone siku hiyo nahakikisha namsifia ile mbaya.na nyimbo za mapambio juu
Mpaka niteuliwe.hapa nataka kuanzisha page insta itakuwa special kwa jiwe kumsifia afu namtag pole pole na jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo page ianzishe Mkuu! Mi ntakuwa kinara wa kusifia.
 
Unaona sasa mkuu
Kumbe hukunielewa.hoja zangu hasa ni hizi
1.alitoa free university education na accomodation
2.alijenga miundombinu ya umeme mkubwa zaidi Africa kiasi kwamba leo magufuli ana option kama akitaka aachane na stiglers gorge ambayo tunaambiwa itakata miti million 2 afate umeme congo.na nchi zingine zote za Africa zifate pale
3.alinunua ndege kubwa kama anavofanya sasa jiwe.na shirika la Air zaire liliweza kuwa na route za Europe
4.alisaidia ukombozi wa nchi za Africa mfano chad na Angola (hata nyerere najua alifanya hivi) pia alituma walinzi wake wapeleke amani rwanda wakati wa vita
5.alijenga miundombinu bora kabisa ya Mawasiliano. Zaire ilitutangulia kuwa na channel za rangi au coloured TV. Pia mawasiliano ya simu yalikua vizuri
6. Wazaire walisoma wakati wa Mobutu maana alikkuta nchi haifikishi hata wasomi watano wa chuo kikuu.lakini alivotolewa madarakani walikua maelfu
7.uchumi wa zaire aliukuza.inasemwa shilingi moja ya zaire ilikaribia kulingana thamani na USD hiki ni kipindi cha miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa 80
8.ali sponse kupitia serikali sanaa na wasanii kiasi kwamba band kama TP OK JAZZ zilipata ruzuku serikalini
9.katika kuinua michezo.the leopards timu ya taifa ya zaire ilifikia fainali za kombe la dunia miaka ya 70 kitu ambacho sisi mpaka leo hatuwezi
10.alitoa ajira kupitia serikal na hata yeye binafsi aliajiri watu zaidi ya 2000 katika mashamba yake pekee
11.aliisimamia rasilimali ya congo ili ifaidishe taifa japo kua na yeye binafsi alijinufaisha ila ni bora kuliko hivi sasa rwanda na uganda ndio wananufaika
12.kwa kipindi cha miaka 32 ya utawala wake zaire ilishuhudia amani ambayo toka uhuru haikuwepo na sasa haipo
13.alipotoka madarakani wamekufa zaidi ya watu millioni 3 sababu ya vita

Na mengine mengi
Mkuu mpaka hapo nadhani umenielewa sasa hoja zangu zilipo.yale mengine tuyaache let us talk about development. Yale maneno niliyasema kama kuwa challange ili mje na hoja.haya hizo ndio hoja zangu hapo juu mkuu.nakusubiri na wewe
...ntarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alisaidia ukombozi wa nchi za Africa mfano chad na Angola (hata nyerere najua alifanya hivi) pia alituma walinzi wake wapeleke amani rwanda wakati wa vita
Duh! Kweli ukipenda chongo utaita kengeza yaani unasema huyu kibaraka wa Marekani aliyetumia ardhi ya nchi yake kumsaidia Savimbi aliyeendesha Vita ya kikatili kwa ushirika wa makaburu wa Africa kusini dhidi ya serikali ya MPLA ya Angola kuwa mpigania uhuru Au kumtoa Lumumba kafara huko Katanga ndio kulimpa hicho cheo cha kupigania uhuru?
katika kuinua michezo.the leopards timu ya taifa ya zaire ilifikia fainali za kombe la dunia miaka ya 70 kitu ambacho sisi mpaka leo hatuwezi
Mkuu hichi ulichoandika una uhakika nacho kweli? unaweza kusema hio michuano ilifanyika nchi gani?
uchumi wa zaire aliukuza.inasemwa shilingi moja ya zaire ilikaribia kulingana thamani na USD hiki ni kipindi cha miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa 80
My God! Alikuza uchumi wa Zaire ipi?au mfuko wake?
aliisimamia rasilimali ya congo ili ifaidishe taifa japo kua na yeye binafsi alijinufaisha ila ni bora kuliko hivi sasa rwanda na uganda ndio wananufaika
Teh teh teh hizo rasilimali zilionufaisha wacongo ni zipi mkuu? alafu unasema bora yeye kuliko hizo nchi jirani sasa huyo Fisadi kuu ubora wake ni upi tofauti na hao? Au tofauti ni kwa sababu yeye alichukua huku hizo nchi jirani zikiiba.
 
Hahah wanasemaga etinalipaa wakawa wanamuona mawinguni.

Majuzi mkuu wao hao Sloam alijitambulisha pale Ikulu naitwa "Baba Mtakatifu Elisha Elia miaka elfu 1" nikaona Magu anashangaa tu,hahah akaomba jamaa arudie jina lake tena hahah.
Hahahahaha na mimi nilimuona sikumuelewa. Hahahahaha kwa hiyo yeye akifa atapaa, jamani hizi dini zingine majanga.
 
ali sponse kupitia serikali sanaa na wasanii kiasi kwamba band kama TP OK JAZZ zilipata ruzuku serikalini
Mkuu huo ufadhili ulikuwa wa kuinua muziki? au ilikuwa hongo ili hizo bendi zimsifie na kumtukuza ili akubalike na wazaire? Huoni hiyo hongo ilifanikiwa maana alisifiwa kwa mapambio yasiyohesabika.
 
Mkuu
Upo sahihi ila sio sana. Aliwafadhili pia hata wasio muimba. Band kama wenge musica nk hazikuwahi kumuimba ila zilipata state sponsorship. Ndio maana muziki wa zaire ulifika mbali mno.umewahi kujiuliza kwanini kufa kwa zaire kulipelekea kufa kwa muziki wake ?
 
Back
Top Bottom