Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Nimefatilia Uzi wako ,ila umeanza kuuharibu kwa kumlinganisha Nyerere (Giant of Africa /True Son of Africa) na kilaza , Mumiani , Monster Mobutu seseseko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ukoo wa Kenyata ni mabwanyenye na mabepari wa kutupa?
Wana eneo kubwa sana baada ya ile barracks ya jeshi , ukitokea njia ya airport ukapita karakarakana /ofisi za KQ airways , kwenye hiyo barabara maarufu inaitwa North Road, utaanza kukutana na Ardhi/Msitu katikati ya jiji unazunguka nao hadi Kenyatta university , humo ndani ndimo kuna kiwanda cha Brookside cha Maziwa , yaani hadi KU(Kenyatta university) hilo eneo ni lao , kiufupi Kenya ni yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu, Congoló walimzika, nakumbuka kipindi hicho nilikuwa Kisangani kumsaidia mjomba wangu alikuwa mgonjwa hospitali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Kweli huo ni ukoo wa taifa aisee.
 
Duh! Yaani walikataa kumpumzisha kwenye nchi aliyozaliwa na kuitawala kwa miongo 3? Sio poa.
Laurent kabila aliruhusu mobutu azikwe congo. Tatizo ni familia yake Mobutu ndio hawataki
Hata wakati wa vita mzee kabila alimwambia mobutu aache madaraka akae kijijini kwake ila mobutu akakataa
 
Mziki wa zaire ulikatika gafla hata ckujua ulienda wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaweza ukaelezea kwa juu juu jinsi alivyo pokonywa madaraka mzee mobutu nakubaki mweupe,

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliugua mwaka 1996 ugonjwa ukazidi akaenda uswizi kwa ajili ya operation huku nyuma majenerali wakamsaliti mfano gen mayele aliyekua waziri wa ulinzi .so kina kabila na museveni pamoj na kagame wakavamia zaire.
Baada ya operesheni mobutu akaenda nyumbani kwake ufaransa then akarudi zaire alipopata nafuu then akaondoka akarudi 1997 hali ikiwa mbaya.yaliyofuata nimeshayafungulia uzi usome mkuu nimeyaeleza kwa details.ila inshort kila mtu alimsaliti plus kuugua
 
Huo uzi unaitwje ili na sisi tukayosome na tufaidike na hii elimu yako kaka tafadhali tunaomba utujulishe jina la huo uzi ulio ufungua kuhusu hayo yaliyofatia kwa mobutu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…