IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Papa sioWengine ni matapeli tu si unajua papa alikuwa noma kwenye kwichi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa sioWengine ni matapeli tu si unajua papa alikuwa noma kwenye kwichi!!
wengine ni lingolongo yaani alitembea na mama zao basi imekuwa nongwa mfano jedo kabila na selemani ,mzee alizaa na mama zao baada ya wao kuzaliwa but wanatumia jina la kabila
Nimefatilia Uzi wako ,ila umeanza kuuharibu kwa kumlinganisha Nyerere (Giant of Africa /True Son of Africa) na kilaza , Mumiani , Monster Mobutu sesesekoMkuu nakujibu kwa awamu
1.inflation unayoongelea wewe ilianza during the early 90's na moja ya sababu ni kushukà kwa thàmani ya madini dunian mfAno cobalt. Zaire ilikua na uchumi mzuri sana kabla ya hapo 1zairean shilling ilikua ni sawa na 2USD kipindi madini yalipokua na tthaman
2.umeongelea kuuwa ma waziri wake.kasome historia vizuri.mobutu hajawai kuuwa mawaziri wake bali aliagiza kuuwawa mawaziri wa serikali iliyopita ambao walipanga kumpindua na part of the plan walitaka wamuue yeye
3.umeongelea kuhusu kujaza ndugu zake serikalini once again nakushauri nenda ukasome achana na habari za vijiweni.aliweka watu wa kabilA lake kAtika kikosi cha ulinzi wake binafsi na kumpa cheo ndugu yake mmoja kuwa general aliitwa gen nzimbi.emu nipe list ya hao ndugu zake uliowaona wewe serikalini .
4.umesema humu naandika sifa zake za ajabu.hujawai kuona nimeandika humu kuwa alinunua ndege kwa ajili ya Air zaire ndege kubwa nyingi ? Na ushahidi wA picha upo. Hujawahi kusoma nimesema alitoa pesa bure za kujikimu pamoja na chakula bure kwa wanachuo ? Hujawai kuona nimesema alijenga miundombinu ya umeme pale mto congo yenye uwezo wa ku supply africa nzima bila mApungufu ? Hujawai kusoma kuwa kipindi chake zaire ilikua na amani ?
Huyo nyerere
1.wanafunzi wa chuo kikuu alishindwa kuwasomesha bure na waliwahi kuandamana kuhusu chakula
2.nyerere wakati wake si ndio mlikula maindi ya ng'ombe wa marekani ? Si ndio mlivaa nguo zimechanika ? Si ndio aliwatoa mijini akawapeleka vijiji vya ujamaa ?
Umeongelea ukombozi wa Africa once again nakwambia go and read about mobutu
Alishiriki vita vya ukombozi wa chad na Angola pia wakati wa mauaji ya kimbali alituma walinzi wake binafsi wakalete amani rwanda. May i remind you kuwa hata asingefanya haya yote ya kusaidia ukombozi angekuwa sawa.jukumu la rais ni kuwaletea maendeleo watu wake sio kuwa na kiherehere kama cha mchonga kilichosababishia nchi vita na umasikini mkubwa.nimewahi kusoma mahali fulani kuwa hatukuwahi ku recover kabisa kutokana na gharama z vita ya kagera.
Nb
Nyerere hakuifanyia chochote Tanganyika cha kimaendeleo.aliiua Tanganyika ndio maana most of our elders hata humu JF waliishi maisha ya umasikini.wakati w Mobutu wazaire wengi hasa wa mijini waliishi vizuri
Japo Mobutu alichokosea aliijenga na akaibomoa zAire yeye mwenyewe.ila nyerere aliibomoA tanganyika
Pia siku nyingine uwe na kumbu kumbu kuwa kati ya mobutu na nyerere kuna mmoja alimuua PM wake
MkuuNimefatilia Uzi wako ,ila umeanza kuuharibu kwa kumlinganisha Nyerere (Giant of Africa /True Son of Africa) na kilaza , Mumiani , Monster Mobutu seseseko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana eneo kubwa sana baada ya ile barracks ya jeshi , ukitokea njia ya airport ukapita karakarakana /ofisi za KQ airways , kwenye hiyo barabara maarufu inaitwa North Road, utaanza kukutana na Ardhi/Msitu katikati ya jiji unazunguka nao hadi Kenyatta university , humo ndani ndimo kuna kiwanda cha Brookside cha Maziwa , yaani hadi KU(Kenyatta university) hilo eneo ni lao , kiufupi Kenya ni yaoKumbe ukoo wa Kenyata ni mabwanyenye na mabepari wa kutupa?
Hapana mkuu, Congoló walimzika, nakumbuka kipindi hicho nilikuwa Kisangani kumsaidia mjomba wangu alikuwa mgonjwa hospitali.Angekuepo leo sijui angejiskiaje
Alidai anafanya kazi ili aache historia yeye na wanae
Yaani alitamani nao waje kuwa watu fulani but saivi hakuna mwanae aliye kwenye siasa Active. Naskia hata nzaga (mtoto wa mke wa pil ) kakimbilia marekani
Watoto wake wana migogoro mpaka wameshindwa kumzikia congo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naongelea mobutu hajazikwa congo mpaka leo.ilifaa azikwe congoHapana mkuu, Congoló walimzika, nakumbuka kipindi hicho nilikuwa Kisangani kumsaidia mjomba wangu alikuwa mgonjwa hospitali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Alizikwa nchi gani?Mkuu naongelea mobutu hajazikwa congo mpaka leo.ilifaa azikwe congo
Duh! Kweli huo ni ukoo wa taifa aisee.Wana eneo kubwa sana baada ya ile barracks ya jeshi , ukitokea njia ya airport ukapita karakarakana /ofisi za KQ airways , kwenye hiyo barabara maarufu inaitwa North Road, utaanza kukutana na Ardhi/Msitu katikati ya jiji unazunguka nao hadi Kenyatta university , humo ndani ndimo kuna kiwanda cha Brookside cha Maziwa , yaani hadi KU(Kenyatta university) hilo eneo ni lao , kiufupi Kenya ni yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Alizikwa rabat,moroccoDuh! Alizikwa nchi gani?
Duh! Yaani walikataa kumpumzisha kwenye nchi aliyozaliwa na kuitawala kwa miongo 3? Sio poa.Alizikwa rabat,morocco
Pembeni ya kaburi lake wamezikwa wanae wawili
Laurent kabila aliruhusu mobutu azikwe congo. Tatizo ni familia yake Mobutu ndio hawatakiDuh! Yaani walikataa kumpumzisha kwenye nchi aliyozaliwa na kuitawala kwa miongo 3? Sio poa.
rabbat morocoDuh! Alizikwa nchi gani?
Mziki wa zaire ulikatika gafla hata ckujua ulienda wapMkuu
Upo sahihi ila sio sana. Aliwafadhili pia hata wasio muimba. Band kama wenge musica nk hazikuwahi kumuimba ila zilipata state sponsorship. Ndio maana muziki wa zaire ulifika mbali mno.umewahi kujiuliza kwanini kufa kwa zaire kulipelekea kufa kwa muziki wake ?
Mkuu unaweza ukaelezea kwa juu juu jinsi alivyo pokonywa madaraka mzee mobutu nakubaki mweupe,Laurent kabila aliruhusu mobutu azikwe congo. Tatizo ni familia yake Mobutu ndio hawataki
Hata wakati wa vita mzee kabila alimwambia mobutu aache madaraka akae kijijini kwake ila mobutu akakataa
Aliugua mwaka 1996 ugonjwa ukazidi akaenda uswizi kwa ajili ya operation huku nyuma majenerali wakamsaliti mfano gen mayele aliyekua waziri wa ulinzi .so kina kabila na museveni pamoj na kagame wakavamia zaire.Mkuu unaweza ukaelezea kwa juu juu jinsi alivyo pokonywa madaraka mzee mobutu nakubaki mweupe,
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu
Huo uzi unaitwje ili na sisi tukayosome na tufaidike na hii elimu yako kaka tafadhali tunaomba utujulishe jina la huo uzi ulio ufungua kuhusu hayo yaliyofatia kwa mobutu!Aliugua mwaka 1996 ugonjwa ukazidi akaenda uswizi kwa ajili ya operation huku nyuma majenerali wakamsaliti mfano gen mayele aliyekua waziri wa ulinzi .so kina kabila na museveni pamoj na kagame wakavamia zaire.
Baada ya operesheni mobutu akaenda nyumbani kwake ufaransa then akarudi zaire alipopata nafuu then akaondoka akarudi 1997 hali ikiwa mbaya.yaliyofuata nimeshayafungulia uzi usome mkuu nimeyaeleza kwa details.ila inshort kila mtu alimsaliti plus kuugua
Unaitwa majaribio ya kumuua mobutuHuo uzi unaitwje ili na sisi tukayosome na tufaidike na hii elimu yako kaka tafadhali tunaomba utujulishe jina la huo uzi ulio ufungua kuhusu hayo yaliyofatia kwa mobutu!
Sent using Jamii Forums mobile app