Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Mobutu Huyu Huyu Aliemtemea Mate Uson Patrice Lumumba Na Kumtoa Kwa Tshombe Na C I A Ili Wamuue Ndio Unampamba Hivi
Mkuu
Hayo umeyasoma wapi ? Mobutu hakuwahi kumtemea mate lumumba.emu leta historical facts
Nachojua lumumba alidhihakiwa na wanajeshi ambao labda ndio useme walimtemea mate
Video niliyonayo mimi ni kuwa lumumba alikua analishwa kitambaa fulani cheupe pale mount ngaliema mbele ya Mobutu
 
Mkuu
Unaijua kweli ikulu ya zaire ?
Acha kuhamini hizo stori
Ikulu ya zaire haikua kama magogoni eti ina ma office
Ikulu ya zaire ilikua ni nyumba ya ghorofa moja tu ambayo mobutu aliitumia kuishi na familia yake. Kwa akili za kawaida huwezi kumtesa mtu mbele ya watoto wako na mkeo
Mkuu labda alifanya hivo sehemu nyingine ila sio ikulu.ile ilikua nyumba ndogo ya kuishi .iliyopo mlima ngaliema.
 
dada zetu kijana alishakufa ,navyowajua msije panda ndege kwenda kumdanga marehemu
 
nimeishi drc ninavyosema siyo vitabu kwahiyo nikisema Likasi alikofia lumumba nimefika..vous etes cngolais?
 
nimeishi drc ninavyosema siyo vitabu kwahiyo nikisema Likasi alikofia lumumba nimefika..vous etes cngolais?
Mkuu
Sawa unaweza kuwa umeishi drc
Ila hakuna katika historia ya dunia hii dikteta aliyewahi kufanya ukatili kwake au kuwaonesha watoto wake kuwa yeye ni katili.
Madikteta wote ukatili ulikua unaishia huko ofisini sio majumbani.kwa jinsi ninavyoijua ikulu ya zaire ni vigumu Mobutu kumtesa mtu pale.na hata angefanya hivo ingekua ngumu tshisekedi kurudi tena.ninayo clip hapa ninavoandika ya tshisekedi akikutana na Mobutu pale ikulu ya zaire mwaka 1996 sasa sielewi ni vipi mtu akuite ikulu akuchome na pasi then akuite tena uende
 
mahusiano ya mabutu na tshekedi yalikuwa mazuri ????
 
mahusiano ya mabutu na tshekedi yalikuwa mazuri ????
Yalikua ni on and off relationship
Kuna muda walipatana kuna muda walikosana.wamejuana miaka mingi kabla tshisekedi kuwa waziri mkuu.
Hata wakati wa misiba ya familia ya Mobutu,tshisekedi alihudguria .kwa sasa familia zao naona pia zinaelewana kama zamani na wanatembekeana.niliona wakati wa msiba wa tshisekedi mke wa mobutu alienda kutoa pole kwa mjane wa tshisekedi.
Mobutu na tshisekedi walikua na tofauti za kisiasa tu
 
Acha upumbavu wews..

Ni kichaa tu anayeweza kumfananisha Mobutu na Nyerere..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Lucas naona unampenda sana babu yako Mobutu Zabanga
 
Genius at work


Ukweli mchungu aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa kiume wote wa mke wa kwanza Mama Antoinnete walikufa wote. Nadhani walikuwa wanne wa kiume kati ya watoto tisa aliozaa na mke wake wa kwanza.
Naam,waliobaki Ni watoto wa kike tu,wanaishi ubelgiji,Pia mtoto wa kiume wa niwa anaishi mji wa Waterloo huko Belgique, nilikuwepo Huko mwaka Jana jijin Antwerp
 
Nina video ya mazishi ya mobutu huko morroco duh watu hawafiki hata 10,mkewe Bob lidawa anaonekana kuwa na wasiwasi mda wote,anazkwa haraka haraka
nashindwa ku appload hapa kwakuwa zipo YouTube
 
Duh dunia Ina mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…