Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Mobutu Huyu Huyu Aliemtemea Mate Uson Patrice Lumumba Na Kumtoa Kwa Tshombe Na C I A Ili Wamuue Ndio Unampamba Hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuMobutu Huyu Huyu Aliemtemea Mate Uson Patrice Lumumba Na Kumtoa Kwa Tshombe Na C I A Ili Wamuue Ndio Unampamba Hivi
MkuuMabutu adhabu ya chini akikuita ikulu ni pasi ya mgongoni tu. Baba yake raisi wa sasa kapigwa pasi na mmoja bado yuko hai mpaka leo alikuwa gavana wa katanga anaitwa Kyungu wa Kumwanza aka baba wa katanga ambaye sasa ni mkuu wa bunge la kitaifa (l'assemblee nationale)
nimeishi drc ninavyosema siyo vitabu kwahiyo nikisema Likasi alikofia lumumba nimefika..vous etes cngolais?Mkuu
Unaijua kweli ikulu ya zaire ?
Acha kuhamini hizo stori
Ikulu ya zaire haikua kama magogoni eti ina ma office
Ikulu ya zaire ilikua ni nyumba ya ghorofa moja tu ambayo mobutu aliitumia kuishi na familia yake. Kwa akili za kawaida huwezi kumtesa mtu mbele ya watoto wako na mkeo
Mkuu labda alifanya hivo sehemu nyingine ila sio ikulu.ile ilikua nyumba ndogo ya kuishi .iliyopo mlima ngaliema.
Mkuunimeishi drc ninavyosema siyo vitabu kwahiyo nikisema Likasi alikofia lumumba nimefika..vous etes cngolais?
mahusiano ya mabutu na tshekedi yalikuwa mazuri ????Mkuu
Sawa unaweza kuwa umeishi drc
Ila hakuna katika historia ya dunia hii dikteta aliyewahi kufanya ukatili kwake au kuwaonesha watoto wake kuwa yeye ni katili.
Madikteta wote ukatili ulikua unaishia huko ofisini sio majumbani.kwa jinsi ninavyoijua ikulu ya zaire ni vigumu Mobutu kumtesa mtu pale.na hata angefanya hivo ingekua ngumu tshisekedi kurudi tena.ninayo clip hapa ninavoandika ya tshisekedi akikutana na Mobutu pale ikulu ya zaire mwaka 1996 sasa sielewi ni vipi mtu akuite ikulu akuchome na pasi then akuite tena uende
Yalikua ni on and off relationshipmahusiano ya mabutu na tshekedi yalikuwa mazuri ????
Alikua na akili sana licha ya kasoro zake
Ndio maana hata jiwe namkubali somehow alivopga 1.5
Mobutu zaidi ya 30% ya national budget ilikua yake
Sent using Jamii Forums mobile app[/QU
Naomba siku utuandalie uzi kumuhusu Patrice lumumba nampenda sana... Sijui familia yake ipo vipi
Alichanganya vyoteHaha yule mzee alikuwa mshirikina sana huo ukiristo aliujulia wapi !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakujibu kwa awamu
1.inflation unayoongelea wewe ilianza during the early 90's na moja ya sababu ni kushukà kwa thàmani ya madini dunian mfAno cobalt. Zaire ilikua na uchumi mzuri sana kabla ya hapo 1zairean shilling ilikua ni sawa na 2USD kipindi madini yalipokua na tthaman
2.umeongelea kuuwa ma waziri wake.kasome historia vizuri.mobutu hajawai kuuwa mawaziri wake bali aliagiza kuuwawa mawaziri wa serikali iliyopita ambao walipanga kumpindua na part of the plan walitaka wamuue yeye
3.umeongelea kuhusu kujaza ndugu zake serikalini once again nakushauri nenda ukasome achana na habari za vijiweni.aliweka watu wa kabilA lake kAtika kikosi cha ulinzi wake binafsi na kumpa cheo ndugu yake mmoja kuwa general aliitwa gen nzimbi.emu nipe list ya hao ndugu zake uliowaona wewe serikalini .
4.umesema humu naandika sifa zake za ajabu.hujawai kuona nimeandika humu kuwa alinunua ndege kwa ajili ya Air zaire ndege kubwa nyingi ? Na ushahidi wA picha upo. Hujawahi kusoma nimesema alitoa pesa bure za kujikimu pamoja na chakula bure kwa wanachuo ? Hujawai kuona nimesema alijenga miundombinu ya umeme pale mto congo yenye uwezo wa ku supply africa nzima bila mApungufu ? Hujawai kusoma kuwa kipindi chake zaire ilikua na amani ?
Huyo nyerere
1.wanafunzi wa chuo kikuu alishindwa kuwasomesha bure na waliwahi kuandamana kuhusu chakula
2.nyerere wakati wake si ndio mlikula maindi ya ng'ombe wa marekani ? Si ndio mlivaa nguo zimechanika ? Si ndio aliwatoa mijini akawapeleka vijiji vya ujamaa ?
Umeongelea ukombozi wa Africa once again nakwambia go and read about mobutu
Alishiriki vita vya ukombozi wa chad na Angola pia wakati wa mauaji ya kimbali alituma walinzi wake binafsi wakalete amani rwanda. May i remind you kuwa hata asingefanya haya yote ya kusaidia ukombozi angekuwa sawa.jukumu la rais ni kuwaletea maendeleo watu wake sio kuwa na kiherehere kama cha mchonga kilichosababishia nchi vita na umasikini mkubwa.nimewahi kusoma mahali fulani kuwa hatukuwahi ku recover kabisa kutokana na gharama z vita ya kagera.
Nb
Nyerere hakuifanyia chochote Tanganyika cha kimaendeleo.aliiua Tanganyika ndio maana most of our elders hata humu JF waliishi maisha ya umasikini.wakati w Mobutu wazaire wengi hasa wa mijini waliishi vizuri
Japo Mobutu alichokosea aliijenga na akaibomoa zAire yeye mwenyewe.ila nyerere aliibomoA tanganyika
Pia siku nyingine uwe na kumbu kumbu kuwa kati ya mobutu na nyerere kuna mmoja alimuua PM wake
Mkuu Lucas naona unampenda sana babu yako Mobutu ZabangaHuku tukiwa tumeshuhudia uapishwaji wa mtoto wa tshisekedi kuwa rais wa congo. Ni vyema kujikumbusha baadhi ya mambo ya kiti cha urais wa congo
Aliwahi kuwepo kijana wa kwanza wa Marechal Mobutu Sese Seko aliyeitwa JEAN PAUL NIWA aliyeandaliwa na baba yake kuja kuwa rais wa pili wa zaire na wa tatu congo (baada ya kassavubu aliyekuwa wa kwanza,alifuata Mobutu )
Mobutu alimpenda sana Niwa si kwa vitendo tu bali hata maneno.katika moja ya barua mobutu aliyomtumia Niwa aliandika "kipenzi changu jean paul"
Bali na Mobutu kumuandaa Niwa kuiongoza Zaire pia alimuandaa kuwa mkuu wa ukoo na kiongozi wa familia,alimpa jukumu la kuifariji familia wakati wa matatizo ambapo Mobutu alikua mbali na nyumbani
Mobutu aliwahi kumshauri niwa katika moja ya barua alizomtumia
"Ninaamini sàsa upo katika umri wa kuelewa baadhi ya mambo,nakushauri kuwa makini sana na ndugu wa ukoo wetu maana wamekua wakitusaliti eitha moja kwa moja au kivingine, kuwa makini sana na mahusiano nao.
"Unachoona usoni kwa watu mara nyingi sio kilicho myoni mwAo"
Niwa kwa haraka haraka anaonekana Alikua kijana mstaarAbu aliyefuata nyayo za baba yake
KIFO
Matumaini ya Mobutu ya kuona mwanae akiiongoza Zaire yalikatishwa na kifo cha nyiwa mwanzoni mwa miaka ya 90
View attachment 1004662View attachment 1004663View attachment 1004664View attachment 1004667View attachment 1004668
Sent using Jamii Forums mobile app
Genius at workMkuu nakujibu kwa awamu
1.inflation unayoongelea wewe ilianza during the early 90's na moja ya sababu ni kushukà kwa thàmani ya madini dunian mfAno cobalt. Zaire ilikua na uchumi mzuri sana kabla ya hapo 1zairean shilling ilikua ni sawa na 2USD kipindi madini yalipokua na tthaman
2.umeongelea kuuwa ma waziri wake.kasome historia vizuri.mobutu hajawai kuuwa mawaziri wake bali aliagiza kuuwawa mawaziri wa serikali iliyopita ambao walipanga kumpindua na part of the plan walitaka wamuue yeye
3.umeongelea kuhusu kujaza ndugu zake serikalini once again nakushauri nenda ukasome achana na habari za vijiweni.aliweka watu wa kabilA lake kAtika kikosi cha ulinzi wake binafsi na kumpa cheo ndugu yake mmoja kuwa general aliitwa gen nzimbi.emu nipe list ya hao ndugu zake uliowaona wewe serikalini .
4.umesema humu naandika sifa zake za ajabu.hujawai kuona nimeandika humu kuwa alinunua ndege kwa ajili ya Air zaire ndege kubwa nyingi ? Na ushahidi wA picha upo. Hujawahi kusoma nimesema alitoa pesa bure za kujikimu pamoja na chakula bure kwa wanachuo ? Hujawai kuona nimesema alijenga miundombinu ya umeme pale mto congo yenye uwezo wa ku supply africa nzima bila mApungufu ? Hujawai kusoma kuwa kipindi chake zaire ilikua na amani ?
Huyo nyerere
1.wanafunzi wa chuo kikuu alishindwa kuwasomesha bure na waliwahi kuandamana kuhusu chakula
2.nyerere wakati wake si ndio mlikula maindi ya ng'ombe wa marekani ? Si ndio mlivaa nguo zimechanika ? Si ndio aliwatoa mijini akawapeleka vijiji vya ujamaa ?
Umeongelea ukombozi wa Africa once again nakwambia go and read about mobutu
Alishiriki vita vya ukombozi wa chad na Angola pia wakati wa mauaji ya kimbali alituma walinzi wake binafsi wakalete amani rwanda. May i remind you kuwa hata asingefanya haya yote ya kusaidia ukombozi angekuwa sawa.jukumu la rais ni kuwaletea maendeleo watu wake sio kuwa na kiherehere kama cha mchonga kilichosababishia nchi vita na umasikini mkubwa.nimewahi kusoma mahali fulani kuwa hatukuwahi ku recover kabisa kutokana na gharama z vita ya kagera.
Nb
Nyerere hakuifanyia chochote Tanganyika cha kimaendeleo.aliiua Tanganyika ndio maana most of our elders hata humu JF waliishi maisha ya umasikini.wakati w Mobutu wazaire wengi hasa wa mijini waliishi vizuri
Japo Mobutu alichokosea aliijenga na akaibomoa zAire yeye mwenyewe.ila nyerere aliibomoA tanganyika
Pia siku nyingine uwe na kumbu kumbu kuwa kati ya mobutu na nyerere kuna mmoja alimuua PM wake
Ndio watoto wa mobutu ukimwi uliwamaliza not only himNiwa ndo aliekufa kwa ukimwi ?
Ukimwi kule ndio hatari,wasanii wakubwa kule ngoma iliwaua refer Franco,mpongo love etcBesti kumbe Congo ukimwi huko? Mimi nilidhan wanajivunia Ebola!
Naam,waliobaki Ni watoto wa kike tu,wanaishi ubelgiji,Pia mtoto wa kiume wa niwa anaishi mji wa Waterloo huko Belgique, nilikuwepo Huko mwaka Jana jijin AntwerpWatoto wa kiume wote wa mke wa kwanza Mama Antoinnete walikufa wote. Nadhani walikuwa wanne wa kiume kati ya watoto tisa aliozaa na mke wake wa kwanza.
Nina video ya mazishi ya mobutu huko morroco duh watu hawafiki hata 10,mkewe Bob lidawa anaonekana kuwa na wasiwasi mda wote,anazkwa haraka harakaAngekuepo leo sijui angejiskiaje
Alidai anafanya kazi ili aache historia yeye na wanae
Yaani alitamani nao waje kuwa watu fulani but saivi hakuna mwanae aliye kwenye siasa Active. Naskia hata nzaga (mtoto wa mke wa pil ) kakimbilia marekani
Watoto wake wana migogoro mpaka wameshindwa kumzikia congo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh dunia Ina mamboUko sahihi mkuu
Hapo ndipo alikosea.
Kuhusu mabeberu pia upo sahihi.
Kuna siri alimpa bodyguard wAke mwaka 1997 baada ya kupinduliwa.waliongea wawili tu chumbani.mpaka leo sijaona mahali jamaa akiiongelea wazi alisema tu Mobutu alimwambia mengi ikiwapo hiyo siri ambapo Mobutu alitapeliwa/kuingizwa mkenge na mabeberu
Siku nikimpata jamaa nitamuuliza kama atasema nita share humu mazungumzo yao hayo ambayo Mobutu hakutaka watu wengine wayasikie akawafukuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipigwa sumuHuenda hata walimuua
Maana kuna kipindi Afya yake iliimarika ila ghafla akalazwa hosp then akafa.
Wanasema wengine kuwa aliishiwa kabisa damu
Sent using Jamii Forums mobile app