Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Ila Mobutu alikuwa millionea jamani,watoto wake wote wamesoma Ulaya na Marekani kuanzia primary mpaka vyuo.Birthday zilikuwa zinafanyika kwenye makasri ya Mobutu Ufaransa.Ila jamaa alijisahau mpaka mwisho wake ukawa mbaya.
Hivi kwasasa hayo ma kasri kule ufaransa yapo?
 
aise kuna mmoja hapa nimeupata wanamsifia kweli ni tp ok jazz nyimbo tamu sana huku nakunywa na bia kidogo...

Jamaaa inaonekana alikuwa mwanaume kweli...

Mzee Magu anasubili...
Ile ya candidate na bisso de mobutu ndio funga kazi ilikuwa ni nyimbo ya kampeni,Franco akatunga huo Wimbo mobutu akafurahi mno alimpa malori sita, viwanja,na dollar kadhaa
 
kuanzia dkk 15 na sekunde 15 kuna gitaa inapigwa hapa hatari yaani unaweza usione raha ya mwanamke kitandani...

Huyu luambo luanzo makiadi hatari sana na bendi yake...
Naami luambo makiadi alikuwa mwanamziki wa aina yake sidhani Kama atajatokea mwingine
 
Yale majumba ya mobutu huko ughaibuni yapo Hadi Leo?
 
Hao mabeberu walimtapeli Nini....we nchi aliifanya ya familia lazima uingizwe mkenge...
 
[emoji23][emoji23]walivyomkalia pembeni mabeberu ndio akajua ubaya wao, ila wakati anatenda dhambi ya kumuua mwanamapinduzi halisi wa Afrika Lumumba hakujua ubaya wao, hata kansa walimpa wamarekani wenyewe...
 
Hao mabeberu walimtapeli Nini....we nchi aliifanya ya familia lazima uingizwe mkenge...
Kuhusu utapeli waliomfanyia sijajua mpaka Leo maana waandishi was habari hawakumuoji vizuri huyo mlinzi,
Kuhusu kuendesha nchi kifamilia hapo ndipo mobutu alikosea,na haikua tu kifamilia,kiukoo pia
 
Mobutu kasoma missionary asilijue kanisa, mara ya mwisho ilisikika alitoa kafara vibikra km 40 hivi alizamisha meli
 
Hahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Lukas Mobutu wewe Ni hazina yetu hapa jf linapokuja swala la Zaire na Mobutu // swali moja kwako nijibu ndio au hapana


Je Mobutu alikuwa mtu mwema?
 
Hahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Papaa pedeghee Faru John, nakuona unajiandaa kwenda kanisani kutuzugaπŸš“πŸš“πŸš“πŸš”πŸš—πŸš˜πŸšπŸš‘ yes mwisho wa msafara nalionaga ambulance
 
Kama unajua kikongo ama kilingala na unapenda miziki ya Kongo, basi ukipata wimbo wa FRANCO LUAMBO MAKIADI unaitwa

''Candidat na Biso Mobutu'' part 1 , 2 na 3

Maana yake ''Our Candidate is Mobutu''

Utacheka na kujifunza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…