luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Mwalemi situKuna vitu naendelea kujifunza kuhusu Mabutu seseko.... asanteni wadau.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalemi situKuna vitu naendelea kujifunza kuhusu Mabutu seseko.... asanteni wadau.!
Hivi kwasasa hayo ma kasri kule ufaransa yapo?Ila Mobutu alikuwa millionea jamani,watoto wake wote wamesoma Ulaya na Marekani kuanzia primary mpaka vyuo.Birthday zilikuwa zinafanyika kwenye makasri ya Mobutu Ufaransa.Ila jamaa alijisahau mpaka mwisho wake ukawa mbaya.
Ile ya candidate na bisso de mobutu ndio funga kazi ilikuwa ni nyimbo ya kampeni,Franco akatunga huo Wimbo mobutu akafurahi mno alimpa malori sita, viwanja,na dollar kadhaaaise kuna mmoja hapa nimeupata wanamsifia kweli ni tp ok jazz nyimbo tamu sana huku nakunywa na bia kidogo...
Jamaaa inaonekana alikuwa mwanaume kweli...
Mzee Magu anasubili...
Naami luambo makiadi alikuwa mwanamziki wa aina yake sidhani Kama atajatokea mwinginekuanzia dkk 15 na sekunde 15 kuna gitaa inapigwa hapa hatari yaani unaweza usione raha ya mwanamke kitandani...
Huyu luambo luanzo makiadi hatari sana na bendi yake...
Yale majumba ya mobutu huko ughaibuni yapo Hadi Leo?Ndio walirithi.kila mmoja alipewa $million kadhaa
Mkewe yupo anaishi ureno,ufaransa na morroco sana sana.yupo na pacha wake ambaye naye alikua mke wa mobutu
Serikali ya congo pia inawapa pesa z matumizi dollar kila mwezi.
Wanae wanafanya mishe mishe tu huko ulaya.wengi wao walitengeneza pesa zao wenyewe baba yao akiwa hai so jumlisha na za urithi wanaishi vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
YesNiwa ndo aliekufa kwa ukimwi ?
Hao mabeberu walimtapeli Nini....we nchi aliifanya ya familia lazima uingizwe mkenge...Uko sahihi mkuu
Hapo ndipo alikosea.
Kuhusu mabeberu pia upo sahihi.
Kuna siri alimpa bodyguard wAke mwaka 1997 baada ya kupinduliwa.waliongea wawili tu chumbani.mpaka leo sijaona mahali jamaa akiiongelea wazi alisema tu Mobutu alimwambia mengi ikiwapo hiyo siri ambapo Mobutu alitapeliwa/kuingizwa mkenge na mabeberu
Siku nikimpata jamaa nitamuuliza kama atasema nita share humu mazungumzo yao hayo ambayo Mobutu hakutaka watu wengine wayasikie akawafukuza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] mkuu am just a nobody
Mimi ni kijana tu ninayetumia muda mwingi kusoma na kufanya utafiti kuhusu Zaire na Mobutu
Ndani yake ndio nakutana na details nyingi za hivo
Mobutu pia alisema angechapisha documments za siri kuhusu marekani na mabaya yake Africa ila Afya naona ilimzuia maana alitumia muda mwingi hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndo kilikuwa mke matala Nini, maana kinaonekana kilikuwa na dharau sanaHalafu walikuwa wanamuabudu walikuwa wanaimba anaesema Mobutu atakufa ni Muongo, Mobutu ataishi milele.
Kuhusu utapeli waliomfanyia sijajua mpaka Leo maana waandishi was habari hawakumuoji vizuri huyo mlinzi,Hao mabeberu walimtapeli Nini....we nchi aliifanya ya familia lazima uingizwe mkenge...
Yapo yote,Yale majumba ya mobutu huko ughaibuni yapo Hadi Leo?
Yah mara ya mwisho wamemzima zote na akapigwa marufuku kwenda Ulaya na ndo kuna hela zake anakufa Morocco hana hata hela ya kula.
Simaro kashavutaPia Julie mpeta yule wa Wimbo masuu yupo hai akina mpongo love wakushakufa zaman na ngoma
Ila tabu ley sidhan Kama Ni ngoma,pia simaro lutumba masiya hadi Leo yupo hai
Mkuu Lukas Mobutu wewe Ni hazina yetu hapa jf linapokuja swala la Zaire na Mobutu // swali moja kwako nijibu ndio au hapanaHahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpongo lavo ndaya aliimba aisee je una mashairi yake? Ooo ndaya oooooSimaro kashavuta
Papaa pedeghee Faru John, nakuona unajiandaa kwenda kanisani kutuzuga🚓🚓🚓🚔🚗🚘🚐🚑 yes mwisho wa msafara nalionaga ambulanceHahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simaro yupo haiSimaro kashavuta
Ooh ndaya ooh ,nayeki empai nangai eeMp
Mpongo lavo ndaya aliimba aisee je una mashairi yake? Ooo ndaya ooooo