Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Ila Mobutu alikuwa millionea jamani,watoto wake wote wamesoma Ulaya na Marekani kuanzia primary mpaka vyuo.Birthday zilikuwa zinafanyika kwenye makasri ya Mobutu Ufaransa.Ila jamaa alijisahau mpaka mwisho wake ukawa mbaya.
Hivi kwasasa hayo ma kasri kule ufaransa yapo?
 
aise kuna mmoja hapa nimeupata wanamsifia kweli ni tp ok jazz nyimbo tamu sana huku nakunywa na bia kidogo...

Jamaaa inaonekana alikuwa mwanaume kweli...

Mzee Magu anasubili...
Ile ya candidate na bisso de mobutu ndio funga kazi ilikuwa ni nyimbo ya kampeni,Franco akatunga huo Wimbo mobutu akafurahi mno alimpa malori sita, viwanja,na dollar kadhaa
 
kuanzia dkk 15 na sekunde 15 kuna gitaa inapigwa hapa hatari yaani unaweza usione raha ya mwanamke kitandani...

Huyu luambo luanzo makiadi hatari sana na bendi yake...
Naami luambo makiadi alikuwa mwanamziki wa aina yake sidhani Kama atajatokea mwingine
 
Ndio walirithi.kila mmoja alipewa $million kadhaa
Mkewe yupo anaishi ureno,ufaransa na morroco sana sana.yupo na pacha wake ambaye naye alikua mke wa mobutu
Serikali ya congo pia inawapa pesa z matumizi dollar kila mwezi.
Wanae wanafanya mishe mishe tu huko ulaya.wengi wao walitengeneza pesa zao wenyewe baba yao akiwa hai so jumlisha na za urithi wanaishi vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Yale majumba ya mobutu huko ughaibuni yapo Hadi Leo?
 
Uko sahihi mkuu
Hapo ndipo alikosea.
Kuhusu mabeberu pia upo sahihi.

Kuna siri alimpa bodyguard wAke mwaka 1997 baada ya kupinduliwa.waliongea wawili tu chumbani.mpaka leo sijaona mahali jamaa akiiongelea wazi alisema tu Mobutu alimwambia mengi ikiwapo hiyo siri ambapo Mobutu alitapeliwa/kuingizwa mkenge na mabeberu
Siku nikimpata jamaa nitamuuliza kama atasema nita share humu mazungumzo yao hayo ambayo Mobutu hakutaka watu wengine wayasikie akawafukuza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mabeberu walimtapeli Nini....we nchi aliifanya ya familia lazima uingizwe mkenge...
 
[emoji23][emoji23]walivyomkalia pembeni mabeberu ndio akajua ubaya wao, ila wakati anatenda dhambi ya kumuua mwanamapinduzi halisi wa Afrika Lumumba hakujua ubaya wao, hata kansa walimpa wamarekani wenyewe...
[emoji23] mkuu am just a nobody
Mimi ni kijana tu ninayetumia muda mwingi kusoma na kufanya utafiti kuhusu Zaire na Mobutu
Ndani yake ndio nakutana na details nyingi za hivo

Mobutu pia alisema angechapisha documments za siri kuhusu marekani na mabaya yake Africa ila Afya naona ilimzuia maana alitumia muda mwingi hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao mabeberu walimtapeli Nini....we nchi aliifanya ya familia lazima uingizwe mkenge...
Kuhusu utapeli waliomfanyia sijajua mpaka Leo maana waandishi was habari hawakumuoji vizuri huyo mlinzi,
Kuhusu kuendesha nchi kifamilia hapo ndipo mobutu alikosea,na haikua tu kifamilia,kiukoo pia
 
Mobutu kasoma missionary asilijue kanisa, mara ya mwisho ilisikika alitoa kafara vibikra km 40 hivi alizamisha meli
 
Hahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Lukas Mobutu wewe Ni hazina yetu hapa jf linapokuja swala la Zaire na Mobutu // swali moja kwako nijibu ndio au hapana


Je Mobutu alikuwa mtu mwema?
 
Hahaa kwenda kwake kanisani ilikuwa ni kutafuta sympathy tu katika jamii na kuwateka watu kifikira sio kweli kwamba alikuwa na imani ya dhati kwa mungu .. mtu atoaye watu kafara na mungu ni wapi na wapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Papaa pedeghee Faru John, nakuona unajiandaa kwenda kanisani kutuzuga🚓🚓🚓🚔🚗🚘🚐🚑 yes mwisho wa msafara nalionaga ambulance
 
Kama unajua kikongo ama kilingala na unapenda miziki ya Kongo, basi ukipata wimbo wa FRANCO LUAMBO MAKIADI unaitwa

''Candidat na Biso Mobutu'' part 1 , 2 na 3

Maana yake ''Our Candidate is Mobutu''

Utacheka na kujifunza sana.
 
Back
Top Bottom