Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Kwahiyo kabila mkubwa ni kweli aliishi dar ? Na alikua anafanya shughuli gani hapo dar ? Maana mimi bado sielewi.nikija JF naambiwa yule mzee aliishi dar ila hawasemi alifany kaz gani hapo dar
Ila nikisom google wanasema alifanya biashara huko maeneo ya Goma na ndivo hata mobutu alijua hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
siunajua mzee kabila na Didier Kazadi aliyemuoa Ashura Kawawa walikuwa na madili ya gold
 
Yeye Mobutu kwanini aliruhusu wanajeshi waliopinduliwa na Kagame kukimbilia Congo na kuruhusu waanze kuweka trainings camps kisha kuanza kushambulia Rwanda then wanakimbilia Congo?

Au Mobutu alitumwa na mabeberu kufanya hivyo.
mabutu wanemwonea mwishoni after kuzoofu na prostate cancer
 
mabutu wanemwonea mwishoni after kuzoofu na prostate cancer
Walimvamia wakati nchi imeshaharibika na amechoka unaambiwa hao waasi wa mzee Kabila hawakukutana na upinzani mkubwa wakati wa vita vya kuelekea Kinshasa maana Jeshi la Zaire lilikuwa kama kundi la wahuni wenye silaha.
 
Kwa alichowafanyia kina Lumumba lazima Karma ingemtafuna hivyo alivuna alichopanda.
Kabisa mkuu na Mobutu hakuwahi kupata waasi strong wa kum-challenge bfr hao waasi wa Rwanda&Uganda kumchapa.

Kabila Snr hakua serious na ka kikundi kake ka waasi mpk Che Guevara akasepa Congo kwa hasira huku akisema Kabila anachojua ni wanawake na pombe tu.
 
boss julius maneno hatari,hawa wote kina kabila unafikiri walibahatisha kuja tz,ni mipango kimya kimya.Mobutu mlinganishe na Banda wa malawi (dictators)
Nimefanya comparison ya busara zao tu kiongozi.

Hao wakina kabila na movements zao nazisoma fresh sana.
 
Kwani lini Mobutu aliwahi kua na jeshi Strong?
aliwai kuwa na strong army in africa ,baadae akalewa madaraka akawa halipi mishahara akiwaambia No money cause nimewapa shamba na jembe meaning(jembe=bunduki,shamba=watu)so wanajeshi wakaanza utemi wanakuja kwako wanachukua funguo za gari wanawasha straigjht petrol station wanakula full tanki bure wanaenda kustarehe wakichoki hata 3 days ndiyo wanarudisha gari bila kujali ratiba yako na hii ndiyo ikaanza kuleta chuki na wananchi
 
aliwai kuwa na strong army in africa ,baadae akalewa madaraka akawa halipi mishahara akiwaambia No money cause nimewapa shamba na jembe meaning(jembe=bunduki,shamba=watu)so wanajeshi wakaanza utemi wanakuja kwako wanachukua funguo za gari wanawasha straigjht petrol station wanakula full tanki bure wanaenda kustarehe wakichoki hata 3 days ndiyo wanarudisha gari bila kujali ratiba yako na hii ndiyo ikaanza kuleta chuki na wananchi
Hio habari ya Congo kua Strong Army in Africa ilikua mwaka gani huo?

Ili tumwage data hapa.
 
Hio habari ya Congo kua Strong Army in Africa ilikua mwaka gani huo?

Ili tumwage data hapa.
Miaka ya 70-80 halikua strong kuliko yote bali lilikua among the best .na lilitumiwa na mmarekani huko chad .pia lilitumiwa burundi/rwanda DSP hiki kilikua kikosi cha ulinzi wa mobutu kilipata mafunzo israel
 
Maneno ya Nyerere vs ya Mobutu?

Yapi yanaishi mpk sasa.
Ya mobutu yanaishi sana
Na ni universal. Nyerere maneno yake mengi ni kwa mazingira ya Tanzania ya miaka ile
Hivi unakaaje unamsikiliza nyerere mtu iyeshindwa hata kujijengea nyumba ? Mtu aliyeugua afu hana hata pesa ya kwenda hospitali ? Mtu aliyekua na suti moja
 
Ya mobutu yanaishi sana
Na ni universal. Nyerere maneno yake mengi ni kwa mazingira ya Tanzania ya miaka ile
Hivi unakaaje unamsikiliza nyerere mtu iyeshindwa hata kujijengea nyumba ? Mtu aliyeugua afu hana hata pesa ya kwenda hospitali ? Mtu aliyekua na suti moja
Daah kweli mapenzi yako kwa Mobutu yamekupa upofu,sifa kuu za mobutu unazozitaja humu jf mara kwa mara ni za hovyo tu ni:

1.Kugawa hela na nguo kwa wananchi wake.

2.Kujenga kasri kijijini kwake na kuweka mapambo ya thamani ndani.

3.Kujenga airport kijijini kwake ili concorde yake iweze kumsafirisha kutoka Paris mpk kijijini kwake akitoka kwny matanuzi yake

4.Kufanya matanuzi ya kufa mtu huko ulaya.

5.Kufanya harusi ya Gharama kwa binti yake i.e sijui gauni la Gharama,kumzawadia almasi bintiye.

6.Kuimbwa kwny nyimbo za kina Franco.

7.Kuwa mwizi wa mali za umma kwa kuigeuza Bank ya Zaire kua mali yake.

8.Kununua majumba huko Ulaya

Lkn true colour ya Mobutu hua huielezi:

1.Alinyonga mawaziri wake 4 kwny uwanja wa michezo huku tukio hilo likishuhudiwa na watu 50,000 kwa kuwatuhumu kupanga mapinduzi juu yake.

2.Alikua the most corrupt dictator.

3.Huelezi kwny utawala wake how Zaire suffered from uncontrolled inflation, a large debt, and massive currency devaluations .

4.Jamaa alivyokamata nchi alipiga marufuku ..vyama vya siasa kwa miaka 5 ili anyooshe nchi.

5.Mwaka 1984 alikua anakadiriwa kua na utajiri wa zaidi ya $5bil ambayo ilikua inalingana na deni la nchi yake kwny taasisi mbali mbali za kimataifa,ye ana utajiri huo huku wananchi wake ni maskini wa kufa mtu.

6.Ndugu zake na marafiki zake ndio waliokua na nafasi za juu serikali na jeshini.(Nepotism).

7.Rais aliyewaleta mabondia wa kimarekani Muhammad Ali vs George Foreman kupigana huko porini kwake huku akiwalipa $5mil kila mmoja,anatoa hela hizo huku akiwa rais mwenye wananchi wanaokufa kwa njaa na kukosa matibabu.

Alikua na zaidi mabaya mamilioni,ukieleza hapa servers za jf zitajaa.

Hujawahi kusema kipindi Mobutu akiwa Raisi nchi yake ilikua ni ya ngapi kiuchumi Africa,Mobutu alikua na influence gani huko AU/UN,Mobutu alisaidia nini kwny harakati za ukombozi wa nchi nyingine za Africa

Huyo ndiye mtu wa kumlinganisha na Nyerere tunaesikiliza Speech zake mpk leo,Mwenye influence AU/UN akiongea kitu UN/Ulaya/Marekani inakaa attention kumsikiliza,aliyepambana kwa hali na mali kukomboa nchi za Ki Africa.

Au ulitaka Nyerere na yeye agawe hela/aende Paris kufanya Shopping/anunue majumba Huko Ulaya/afanye watoto wake/ndugu zake ni maboss huko Serikalini/jeshini,au ulitaka Nyerere awe na suti nyingi na kofia sijui iliyotengenezwa na ngozi za wanyama ili aonekane wa maana.

BTW hizo Speech 'universal' za Mobutu unazisikizaga kwny international media zipi?

Yule fala Mobutu was an "arsehole".
 
Hivi wale Sloam walishamzika kiongozi wao?Au mpaka leo wanasubiri apae. Na wala wasabato masalia walikuwaga wanaamini watakwenda USA bila visa. Basi waliwekaga kambi airport.
Hahah wanasemaga etinalipaa wakawa wanamuona mawinguni.

Majuzi mkuu wao hao Sloam alijitambulisha pale Ikulu naitwa "Baba Mtakatifu Elisha Elia miaka elfu 1" nikaona Magu anashangaa tu,hahah akaomba jamaa arudie jina lake tena hahah.
 
Back
Top Bottom