Jean-Paul Mobutu: Mtoto wa Kwanza wa Mobutu Sese Seko aliyetazamiwa kuwa Rais wa tatu wa DR Congo

Kuna jamaa nilimsikia akisema kipindi Mobutu yuko madarakani wakati wa taarifa ya habari kwenye TV huko Zaire eti kibwagizo ilikuwa anaonekana kwanza Mobutu anashuka kutoka mawinguni kuja duniani kama malaika alafu ndio taarifa ya habari ionyeshwe.Mkuu kuna ukweli hapa?
Nashauri na hp Tz Magufuli afanye hivyo
 
Kwahiyo kabila mkubwa ni kweli aliishi dar ? Na alikua anafanya shughuli gani hapo dar ? Maana mimi bado sielewi.nikija JF naambiwa yule mzee aliishi dar ila hawasemi alifany kaz gani hapo dar
Ila nikisom google wanasema alifanya biashara huko maeneo ya Goma na ndivo hata mobutu alijua hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
boss mipango ya julius ilikuwa mingi,group la marehemu lumumba (anti-mobutu) lilikuwa hapa.Anti dr.banda wa malawi lilikuwa hapa nk.....
 
Una maanisha gbadolite ?
Ule uwanja upo unaitwa Moanda international Airport
Uliibiwa kila kitu yamebaki majengo tu na hayafanyi kazi. Hivi sasa unatumiwa sana sana na UN kwa shughuli zao za kupeleka misaada
Majengo ya mobutu yapo tu moja lililokua kama ikulu wanakaa wanajeshi mengine yameota nyasi baadhi yalikua mapya kabisa ndio yanamaliziwa kujengwa
Ila umeme haupo tena kama wakati wa mobutu maana serikali ya kabila haifanyi matengenezo vyanzo vya umeme.watu hawana ajira tena kama ilivokua wakati wa mobutu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli?Ebu weka picha ya hilo gofu la uwanja wa ndege ambao nasikia hata concord ilitua.
 
Ya mobutu yanaishi sana
Na ni universal. Nyerere maneno yake mengi ni kwa mazingira ya Tanzania ya miaka ile
Hivi unakaaje unamsikiliza nyerere mtu iyeshindwa hata kujijengea nyumba ? Mtu aliyeugua afu hana hata pesa ya kwenda hospitali ? Mtu aliyekua na suti moja
ukisema hivyo unakosea kwani yeye angeshindwa kufanya figisu kama ya kenyata ya kujilimbikizia mali,arable land ,beach plots nk.ukifikika kenya ukaonyeshwa land na investments za first president ndo utajua
 
Kumbe ukoo wa Kenyata ni mabwanyenye na mabepari wa kutupa?
 
Kweli?Ebu weka picha ya hilo gofu la uwanja wa ndege ambao nasikia hata concord ilitua.
Mkuu picha sina ila zipo google ukiandika gbadolite Airport utaiona hasa vip lounge
 
Kumbe ukoo wa Kenyata ni mabwanyenye na mabepari wa kutupa?
Hao ni mabilionea wa hatari,wana miliki assets mpk France huko,UK etc

Hapo hakuna cha Bakhresa wala nani kuingia(kwa kulinganisha utajiri wa Kenyatta Family).
 
wakoloni wakati wakiondoka akajikusanyia hati za ardhi nyeti za kutosha na nyingine majina ya marafiki kudanga toto
Hao ni mabilionea wa hatari,wana miliki assets mpk France huko,UK etc

Hapo hakuna cha Bakhresa wala nani kuingia(kwa kulinganisha utajiri wa Kenyatta Family).
Duh! Ina maana Uhuru ni mmoja wa marais matajiri hapa Africa?
 
wewe ulikuwa unataka afanye hivyo nae nyerere?never compare julius with mobutu na ndiyo maana waliodai sanamu yake iwepo adis ababa siyo tz na ikawekwa.hapa walikuwa mozambique(flelimo),malaw(anti banda)like Chinya ma Chiume,zimbabwe(zanupf),angola(mpla)wanamibia(swapo)s.africa PAC and ANC,DRC anti mobutus eg L.Kabila,S.sudani nk.....
 
Absolutely,kwa marais wa Ki-Africa na sio Africa hata kwa marais wa duniani huko bado jamaa ni the don tu.

Kuna kipindi Forbes walikamkadiria kua na utajiri wa $500mil,kitu ambacho si kweli.

Jamaa wako na pesa kuliko hio amount iliyotajwa hapo.
 
Basi labda aliishi dar huku anafanya biashara huko goma.
Vipi enzi za urais wake aliwahi kuja bongo mzee laurent kabila ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nilimsikia mdogo wake Kabila ambaye ni wa kiume akimlaumu kabila na kusema ni dictator aliyeua watu na hataki kuitisha uchaguzi. Alikuwa akiishi south Africa kipindi hicho december 2016. Je kuna mdogo wake walipishana?
 
wewe ulikuwa unataka afanye hivyo nae nyerere?never compare julius with mobutu na ndiyo maana waliodai sanamu yake iwepo adis ababa siyo tz na ikawekwa.hapa walikuwa mozambique(flelimo),malaw(anti banda)like Chinya ma Chiume,zimbabwe(zanupf),angola(mpla)wanamibia(swapo)s.africa PAC and ANC,DRC anti mobutus eg L.Kabila,S.sudani nk.....
Hapa ulikua unamjibu nani,?

"wewe ulikuwa unataka afanye hivyo nae nyerere"?

Jamaa mbona unaletaga Comparison ambazo hazipo.,onyesha ni wapi nimeandika nilitaka afanye hivyo Nyerere.
 
Absolutely,kwa marais wa Ki-Africa na sio Africa hata kwa marais wa duniani huko bado jamaa ni the don tu.

Kuna kipindi Forbes walikamkadiria kua na utajiri wa $500mil,kitu ambacho si kweli.

Jamaa wako na pesa kuliko hio amount iliyotajwa hapo.
yule hata akiiba ngumu kumshika,wana mali za muda mrefu
Duh! Utajiri mkubwa na Urais juu kweli aliyenacho huongezewa.
 
Kuna siku nilimsikia mdogo wake Kabila ambaye ni wa kiume akimlaumu kabila na kusema ni dictator aliyeua watu na hataki kuitisha uchaguzi. Alikuwa akiishi south Africa kipindi hicho december 2016. Je kuna mdogo wake walipishana?
Wengine ni matapeli tu si unajua papa alikuwa noma kwenye kwichi!!
 
Hapa ulikua unamjibu nani,?

"wewe ulikuwa unataka afanye hivyo nae nyerere"?

Jamaa mbona unaletaga Comparison ambazo hazipo.,onyesha ni wapi nimeandika nilitaka afanye hivyo Nyerere.
Jaribu kuwa understanding si unaona kabisa nilikuwa namjibu mtu but not u!!! But mobutu
 
Back
Top Bottom