Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

Bishop Mpemba - Bungeni Dodoma, Wamelogwa kama siyo kuchawiwa



Bishop anasema haielezeki kwa lugha yoyote ile, ila kwa kifupi wabunge wamelogwa .... kwa kupitisha mkataba huu.

Ni uhaini wa kiwango cha juu na wanastahili adhabu kubwa ya ....

Wabunge wanaweza kuwa wamelogwa kwa fedha au uchawi lakini lote ni kulogwa na wabunge kushangilia huku wakipitisha mkataba huu wameamua kuwa maadui wa taifa ... hawa wabunge wa CCM wametangaza hilo ... hii ni treason kosa kubwa sana katika taifa letu ...

Kwa sababu wabunge ni wawakilishi wa watu bungeni na siyo wawakilishi wa serikali bungeni tofauti na mawaziri ambao kazi yao ni kutetea serikali .. wabunge wangetakiwa waitwe na sisi kuhusu jambo hilo na siyo kuitwa na serikali .. wabunge wame commit / wamefanya kosa kubwa dhidi yetu wananchi

Wabunge ni wasaliti wanapofanya mambo kinyume na sisi ambao tumewachagua wala siyo serikali ndiyo imewachagua

Hili linathibitisha kuwa wabunge hawa siyo wawakilishi wetu maana uchaguzi 2020 uliwabeba lakini pamoja na hayo bado wanalazimishwa na katiba kutetea wananchi na ardhi ya nchi na huku ni kulogwa tu yaani mtu hayuko kwenye akili yake timamu hawa wabunge ... kutoa kipande cha nchi kwa ujinga wao ... i
 
Serikali ichutame katika jambo hili na ifanye jambo sahihi baada ya kutupiwa mgogole wenye ushauri mzuri ijivike na kusimama wima kisha kutekeleza haya yote wanayoshauriwa na wananchi wa Tanganyika nini ifanye kuondokana na fedheha hii ya karne
 
Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa.

Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba.

Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole, Halima Mdee, Mwabukusi, Tundu Lissu etc. Fungueni kesi ya kupinga huo mkataba wa DP WORLD sisi wananchi TUTAWACHANGIA FEDHA
Mwongozo wakutuwezesha kufanya hilo haupo kwenye katiba. Baada ya muswaada wowote kujadiliwa na bunge, kungetakiwa kuwa na hatua ya muswaada huu kupitiwa na jopo la mahakimu. Kwasababu wao ni wataalam wa sheria, wanatakiwa kuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko au kutoa mapendekezo yanaweza kuboresha muswaada husika. Hukumu ya kesi yoyote ya kikatiba inaweza kuchukua muda mrefu.
 
Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa.

Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba.

Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole, Halima Mdee, Mwabukusi, Tundu Lissu etc. Fungueni kesi ya kupinga huo mkataba wa DP WORLD sisi wananchi TUTAWACHANGIA FEDHA
Chadomo mlisema mtaandamana,haya andamaneni Sasa 😆😆
 
Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa.

Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba.

Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole, Halima Mdee, Mwabukusi, Tundu Lissu etc. Fungueni kesi ya kupinga huo mkataba wa DP WORLD sisi wananchi TUTAWACHANGIA FEDHA
Yani lissu apiganie wapumbavu wasiojielewa wakiambiwa kuandamana wanasema aandamane yeye na watoto wake, na nyie fungueni kesi na mama zenu kuhusu hio bandari.
 
Wakili Mwabukusi PART TWO: Mkataba wa Bandari na kuhusu ardhi ya Tanganyika Rais Siyo Mmiliki ni Mdhamini
 
Mwongozo wakutuwezesha kufanya hilo haupo kwenye katiba. Baada ya muswaada wowote kujadiliwa na bunge, kungetakiwa kuwa na hatua ya muswaada huu kupitiwa na jopo la mahakimu. Kwasababu wao ni wataalam wa sheria, wanatakiwa kuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko au kutoa mapendekezo yanaweza kuboresha muswaada husika. Hukumu ya kesi yoyote ya kikatiba inaweza kuchukua muda mrefu.
Miezi 6 tu inatosha kwa kesi ya kikatiba
 
kwanini mkataba hauku husisha Zanzibar au kwa vile rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hana nguvu za kuwa mwangalizi wa ardhi / pande la ardhi Zanzibar kutokana na sheria pia katiba ya Zanzibar haimpi mamlaka rais wa Jamhuri ya Muungano

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman akifafanua mambo

 
Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa.

Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba.

Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole, Halima Mdee, Mwabukusi, Tundu Lissu etc. Fungueni kesi ya kupinga huo mkataba wa DP WORLD sisi wananchi TUTAWACHANGIA FEDHA
Nenda barabarani
 
Dr Rugemeleza Nshala - Ni Mkataba wa Hovyo na wa kiuhaini unaouweka nchi rehani



Tanzania imetupa maagano yote ya kimataifa kwa ajili ya sheria hii ya mkataba wa DP World

III. THE HULL RULE

The requirement of "prompt, adequate, and effective" compensation has become known as the "Hull Rule," in reference to this statement ... On March 18, 1938, Mexican President Lázaro Cárdenas signed an order that expropriated the assets of nearly all of the foreign oil companies operating in Mexico. He later created Petróleos Mexicanos (PEMEX), a state-owned firm that held a monopoly over the Mexican oil industry, and barred all foreign oil companies from operating in Mexico. The U.S. Government responded with a policy that backed efforts by American companies to obtain payment for their expropriated properties but supported Mexico’s right to expropriate foreign assets as long as prompt and effective compensation was provided. source : Milestones: 1937–1945 - Office of the Historian

Dr Rugemeleza Nshala anaendelea kutupa darasa kuwa spika wa bunge Dr. Tulia Ackson na mwanasheria wa Mamlaka ya Usalama wa Anga Hamza Johari wameonesha jinsi wasivyo na uelewa wa sheria za kimataifa katika kutetea mkataba huu wa hovyo ...

Kwa kupitia mkataba huu mama uliopitishwa na bunge bandari na maeneo nyeti ya kimkakati ya Tanzania yamegawiwa bure milele kwa Dubai ...
The National Wealth and Resources Sovereignty Act of 2017 was in line with the 1962 UN general assembly charter.

1686986829050.png

Picha toka maktaba: Prof. Kabudi akihutubia kikao cha UNGA New York Umoja wa Mataifa

' Baba wa Mikataba' Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi mara kwa mara alikuwa anakumbushia mbele ya Bunge la Tanzania na hata kimataifa mbele ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya haki ya asili ya Nchi iliyokaziwa Mwaka 2017 ambapo serikali ya Tanzania kupitia bunge lake mjini Dodoma ilipitisha sheria ya kulinda maliasili, tunu na ardhi zilizo ndani ya mipaka yake na kutiwa katika tangazo ndani ya GN kama sheria Permanent Sovereignty Act 2017 (No.5 of 2017)

Dr Rugemeleza Nshala anakumbushia kuwa bandari zetu zimeongezewa thamani tangu enzi za Sultani, Mjerumani, Mwingereza, awamu ya Baba wa Taifa, Mzee Mwinyi, Mkapa hadi Jakaya na JPM lakini thamani ya bandari yetu haioneshwi katika mkataba huu kama ndiyo mtaji wetu na DP World katika mradi.

Yaani mtaji wetu Tanzania katika mkataba huu ni sufuri huku DP World ni 100% hii haingii akilini sisi mtaji wetu wa bandari na ardhi kutothaminishwa kama nguvu yetu ili kuwa wadau (partner) wenye sauti ....

This Act declares permanent sovereignty of the People of the United Republic of Tanzania over all natural wealth and resources and provides with respect to exploitation of resources for the benefit of the people of Tanzania. Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017 (No. 5 of 2017).

On 5th of July, 2017 the National Assembly of the United Republic of Tanzania (hereinafter referred to as “Tanzania”) passed three new Bills namely:

Special Bill Supplement - The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re-Negotiation of Unconscionable Terms)Act,2017;

Special Bill Supplement – The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017; and

Special Bill Supplement the Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2017

(together referred to as “the Bills”).

The Bills were tabled under a Certificate of Urgency and were aimed at ‘eliminating loopholes’ in the existing laws relating to natural wealth and resources. The Bills bestow natural wealth and resources to the people of Tanzania to be held in trust by the President of Tanzania. The Bills also aim to provide for the creation of suitable environment for all agreements that relate to natural wealth and resources in Tanzania.

Below is a summary of some of the pertinent sections of the Bills, which we think may have an impact on the management of natural wealth and resources in Tanzania.

Special Bill Supplement - The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re-Negotiation of Unconscionable Terms) Act, 2017

The Review and Re-Negotiation of Unconscionable Terms honors Articles 9(c) and 27 of the Constitution of Tanzania which advocates for public affairs to be conducted in a manner that ensures natural wealth and resources are preserved and applied for the common good of the people of Tanzania, and that all natural wealth and resources of Tanzania are collectively owned by its people.

Section 4(1) of this Bill provides for the supreme and independent power of the Parliament to review agreements made by the Government of Tanzania (hereinafter referred to as the Government) in relation to natural wealth and resources
 
Sovereignty

Mexican Expropriation of Foreign Oil, 1938​

On March 18, 1938, Mexican President Lázaro Cárdenas signed an order that expropriated the assets of nearly all of the foreign oil companies operating in Mexico. He later created Petróleos Mexicanos (PEMEX), a state-owned firm that held a monopoly over the Mexican oil industry, and barred all foreign oil companies from operating in Mexico. The U.S. Government responded with a policy that backed efforts by American companies to obtain payment for their expropriated properties but supported Mexico’s right to expropriate foreign assets as long as prompt and effective compensation was provided.

cardenas.jpg

Mexican President Lazaro Cardenas
Prior to expropriation in 1938, the oil industry in Mexico had been dominated by the Mexican Eagle Company (a subsidiary of the Royal Dutch/Shell Company), which accounted for over 60% of Mexican oil production, and by American-owned oil firms including Jersey Standard and Standard Oil Company of California (SOCAL – now Chevron), which accounted for approximately 30% of total production. However, in Article 27 of the Constitution of 1917, the Mexican Government asserted ownership of the “subsoil,” including any natural resources discovered below ground. The possibility that the Mexican political leadership might exercise its rights complicated relations with the United States until the Calles-Morrow agreement of 1928, which temporarily alleviated tensions by reaffirming the rights of oil companies in the territories they had worked prior to 1917.

Despite the political difficulties, Mexico became the world’s second largest producer of oil in the 1920s. Nevertheless, the foreign-owned oil companies were the object of much popular resentment. Since Mexico was an agrarian nation with only a tiny domestic market, these companies exported most of the oil they produced during the 1920s and very little of their profits remained Mexico. The situation was exacerbated during the 1930s, when the Mexican Government’s share of oil revenues declined and domestic oil production dropped due to the Great Depression and a glut in the global oil supply. These developments, combined with the fact that the large oil companies often paid their Mexican workers only half as much as other employees working in the same capacity, ultimately led to massive labor unrest.

A strike by oil workers in 1937 ultimately led the Mexican Government to act. Initially, President Cárdenas attempted to mediate a settlement by having a government commission draw up a new labor agreement. After the foreign companies defied both the commission and the Mexican Supreme Court, however, Cárdenas promulgated the expropriation decree on March 18, 1938.

cordell-hull.jpg

Secretary of State Cordell Hull
The expropriation act had international repercussions. The foreign-owned oil companies retaliated by instituting an embargo against Mexican oil. Mexican oil exports decreased by 50% and the Mexican Government’s primary customer for oil became Nazi Germany. Expropriation also led the British to take a very strong stand against Mexico's actions, which prompted the Cárdenas government to sever diplomatic relations.

The U.S. reaction to Mexican expropriation of oil assets was mixed. On the one hand, it had no objection to expropriation as long as the Mexicans agreed to compensate the oil companies. Furthermore, U.S. President Franklin Roosevelt wanted to maintain good relations with the United States’ immediate neighbor, lest a hostile U.S. response to expropriation drive Mexico to align itself with the Axis Powers. On the other hand, some U.S. officials urged a tough response because they understood that that the United States would eventually become a major importer of oil and because the rights of U.S. economic interests were involved. As such, they believed that it was essential for American oil companies to retain direct access to the oil resources of the Western Hemisphere outside of the United States.

Secretary of State Cordell Hull initially supported a strong stance against Cárdenas’ actions. Although Cárdenas informed the U.S. Government that he intended to pay compensation, on March 26, Hull dispatched a note to the Mexicans announcing that the U.S. Government would suspend further purchases of silver from Mexico. The U.S. Ambassador in Mexico realized that such action might provoke a diplomatic rupture and asked the Mexicans to consider the note undelivered until a more moderate policy could be formulated in Washington. Further opposition from the Treasury Department eventually forced Hull and the State Department to back down.

Although Hull’s attempts to directly challenge the Mexican Government fell out of favor, U.S. companies fought the expropriation in their own way. For over two years following expropriation, the oil companies made extravagant demands for compensation, which the Mexicans repeatedly rejected. The U.S. Government supported the oil companies until the Second World War began in Europe, at which point it pressured them to accept a settlement. Finally, on April 18, 1942, the U.S. and Mexican Governments signed the Cooke-Zevada agreement, whereby the Mexicans agreed to pay roughly $29 million in compensation to several American firms, including Jersey Standard and Socal. The British, however, held out until 1947, when they received $130 million.

Efforts to secure the re-admission of the foreign oil companies in Mexico proved to be a failure, however. After Cárdenas left office in 1940, the Mexicans were willing to consider the possibility, but only on condition that Mexico retained ownership of the subsoil, and PEMEX its domestic monopoly. This proved unacceptable to both the U.S. Government and oil companies. Finally, in 1950, the U.S. Government abandoned its efforts to re-open the Mexican oil industry after several failed attempts to use government loans as leverage. By this time, American oil companies had begun losing interest in Mexico and preferred operating under the more favorable conditions found in the Middle East and Venezuela.
Source : Milestones: 1937–1945 - Office of the Historian
 
Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Mh. John Magufuli ashangaa Mradi wa Bandari Wenye Masharti ya ukichaa


  • Land-Lease tofauti na ya wananchi kwa miaka 99 kwa mwekezaji
  • Kodi TRA hawataiona
  • Tumekopa fedha 1 Trilioni kuboresha magati ya bandari ya Dar es Salaam nani atalipa deni hili mwekezaji akichukua
  • Bandari ya Tanga hairuhusiwi kuendelezwa bila ruhusa ya mwekezaji wakati tayari Tanzania ina makubaliano na Uganda kuhusu bomba la mafuta la kutoka Hoima Uganda hadi bandarini Tanga
  • Bilioni 337 zimetumika kuboresha bandari ya Mtwara ipokee mafuta halafu mwekezaji anasema ni yake haturuhusiwi
  • Bandari ya Kilwa pia iwe yao
  • Bandari ya Lindi
  • N.k n.k
 
"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni Madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI".
By Jeff's O'Brien.
Tusifike huko, tujaribu njia za kisheria kwanza
 
Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Mh. John Magufuli ashangaa Mradi wa Bandari Wenye Masharti ya ukichaa


  • Land-Lease tofauti na ya wananchi kwa miaka 99 kwa mwekezaji
  • Kodi TRA hawataiona
  • Tumekopa fedha 1 Trilioni kuboresha magati ya bandari ya Dar es Salaam nani atalipa deni hili mwekezaji akichukua
  • Bandari ya Tanga hairuhusiwi kuendelezwa bila ruhusa ya mwekezaji wakati tayari Tanzania ina makubaliano na Uganda kuhusu bomba la mafuta la kutoka Hoima Uganda hadi bandarini Tanga
  • Bilioni 337 zimetumika kuboresha bandari ya Mtwara ipokee mafuta halafu mwekezaji anasema ni yake haturuhusiwi
  • Bandari ya Kilwa pia iwe yao
  • Bandari ya Lindi
  • N.k n.k

Magufuli naye alizingua. Kama China, Oman na Tanzania wange Implement ule mradi, haya ya DP WORLD yasingekuwako.

Mshenzi yule aliponda Bagamoyo Port halafu akaenda kuanzisha Project ya UKICHAA ya kufanya kijiji chake cha Chato kiwe Mkoa. Mungu akasema subiri hunijui
 
Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa.

Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba.

Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole, Halima Mdee, Mwabukusi, Tundu Lissu etc. Fungueni kesi ya kupinga huo mkataba wa DP WORLD sisi wananchi TUTAWACHANGIA FEDHA
Ni kweli kwamba Rais hasikii sauti hizi...

Kweli!?
Mbona mi ningezira hata huo Urais wenyewe.
 
Ni wakati sasa wa kwenda Hatua Zaidi mbele. Hii Serikali isituchezee akíli na kutufanya watoto wadogo.

Jukumu la kulinda rasilimali Za taifa hili ni letu sote . Siyo la msukuma na lusinde.

Serikali wanajidai kuziba masikio. Wanasheria wetu ni mda mwafaka SASA kulifikisha Jambo hili katika vyombo vya Sheria maana linakiuka katiba ya Tanzania...

Watanzania tutagharamikia hIyo kesi. Kabla hatujaingia barabarani pale mahakama watakapoleta udwanzi na kujipendekeza Kwa mamlaka iliyowateua
 
Back
Top Bottom