Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Asante TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!Asili ya TISS ( Usalama wa Taifa) pamoja na mambo mengine ni CCM. Wanaosema TISS asili yake ni Special Branch ya zama kabla ya CCM kuundwa wanaupotosha ukweli.
Baada ya kuundwa kwa CCM, vyombo vyote vya dola viliwekwa chini ya hatamu za CCM. Kwa ivo ilikuwa huwezi kuajiriwa kwenye vyombo vya dola bila ya kuwa kwanza mwana CCM hasa toka Jumuiya ya Vijana Tanzania (UVT).
Kwa ivo hata Sheria ya Usalama wa Taifa ilipokuja, ilikuta mfumo wa kuwapata watu wa TISS ni kutoka ndani ya CCM hasa Jumuiya ya Vijana ya chama hicho.
Lakini kutokana na siasa za vyama vingi je hakuna sababu ya kuibadili TISS yenyewe na mfumo wa upatikanaji wa watu wake?
Na jee dhima ya kuwepo kwa TISS katika zama hizi za maendeleo makubwa ya teknolojia itabakia kuwa ile ile kama zama za mfumo wa chama kimoja?
Nani ni adui wa Taifa ashambuliwe ili Taifa liwe salama?
Yeah!...Una hoja kabisa.Asili ya TISS ( Usalama wa Taifa) pamoja na mambo mengine ni CCM. Wanaosema TISS asili yake ni Special Branch ya zama kabla ya CCM kuundwa wanaupotosha ukweli.
Baada ya kuundwa kwa CCM, vyombo vyote vya dola viliwekwa chini ya hatamu za CCM. Kwa ivo ilikuwa huwezi kuajiriwa kwenye vyombo vya dola bila ya kuwa kwanza mwana CCM hasa toka Jumuiya ya Vijana Tanzania (UVT).
Kwa ivo hata Sheria ya Usalama wa Taifa ilipokuja, ilikuta mfumo wa kuwapata watu wa TISS ni kutoka ndani ya CCM hasa Jumuiya ya Vijana ya chama hicho.
Lakini kutokana na siasa za vyama vingi je hakuna sababu ya kuibadili TISS yenyewe na mfumo wa upatikanaji wa watu wake?
Na jee dhima ya kuwepo kwa TISS katika zama hizi za maendeleo makubwa ya teknolojia itabakia kuwa ile ile kama zama za mfumo wa chama kimoja?
Nani ni adui wa Taifa ashambuliwe ili Taifa liwe salama?
TISS ndiyo taasisi rasmi ya majambazi wa mtawala!
Wakanushe wakati wanahusika na sasa wamepewa kinga kabisa ya kutotajwa?
Kwa mfano kulikuwa kuna haja gani kutunga sheria kuwapa TISS uwezo wa kukamata watu.Wakanushe wakati wanahusika na sasa wamepewa kinga kabisa?
Ni kinga kuisaidia CCM maana kabla ya wasiojulikana kuwa rasmi 2017, sasa ile sheria mpya ya 2023 wamekua rasmi.Kwa mfano kulikuwa kuna haja gani kutunga sheria kuwapa TISS uwezo wa kukamata watu.
Sio tu kukamata , bali hata silaha za kivita wanazo na hakuna mahali popote wanahojiwa na hizo hideouts zao ndio wakimuweka mtu huko lazima hatorudi tena.Hivi wakikamata mtu wanayo mahabusu ya kumtunzia na jee wanayo mamlaka kisheria ya kumshitaki?
Inasikitisha sana!!Ni kinga kuisaidia CCM maana kabla ya wasiojulikana kuwa rasmi 2017, sasa ile sheria mpya ya 2023 wamekua rasmi.
Sio tu kukamata , bali hata silaha za kivita wanazo na hakuna mahali popote wanahojiwa na hizo hideouts zao ndio wakimuweka mtu huko lazima hatorudi tena.
Yote hayo ni kuipa CCM msaada usioonekana na wengi.
Haifai kuitwa hata taasisi ni genge.TISS ndiyo taasisi ya majambazi rasmi wa mtawala!
TISS kama ilivyo sasa inatakiwa ifutwe, isiwe chini ya Rais.Asili ya TISS ( Usalama wa Taifa) pamoja na mambo mengine ni CCM. Wanaosema TISS asili yake ni Special Branch ya zama kabla ya CCM kuundwa wanaupotosha ukweli.
Baada ya kuundwa kwa CCM, vyombo vyote vya dola viliwekwa chini ya hatamu za CCM. Kwa ivo ilikuwa huwezi kuajiriwa kwenye vyombo vya dola bila ya kuwa kwanza mwana CCM hasa toka Jumuiya ya Vijana Tanzania (UVT).
Kwa ivo hata Sheria ya Usalama wa Taifa ilipokuja, ilikuta mfumo wa kuwapata watu wa TISS ni kutoka ndani ya CCM hasa Jumuiya ya Vijana ya chama hicho.
Lakini kutokana na siasa za vyama vingi je hakuna sababu ya kuibadili TISS yenyewe na mfumo wa upatikanaji wa watu wake?
Na jee dhima ya kuwepo kwa TISS katika zama hizi za maendeleo makubwa ya teknolojia itabakia kuwa ile ile kama zama za mfumo wa chama kimoja?
Nani ni adui wa Taifa ashambuliwe ili Taifa liwe salama?
Ili mkileta uhuni kama wa October 29 mshinde au siyo?TISS kama ilivyo sasa inatakiwa ifutwe, isiwe chini ya Rais.
Jeshini cheo cha CDF kifutwe tubaki na Chief of Staff, Awe ana report equally kwa Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Rais.
Jeshi la polisi lifutwe lote 2/3 wahamishiwe JWTZ wapewe mafunzo maalum.
Polisi ianze kufanya kazi kwa mfumo unaitwa policing by concent
Wewe juha bado hujafa tu umebakwa na njemba tano hadi wakakutoa bawasiri bado hujakoma tu?Naona Ma CHADEMA mmeishiwa hoja na kuanza kutapatapa tu. Mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu
Nadhani umekariri au umekaririshwa.Asili ya TISS ( Usalama wa Taifa) pamoja na mambo mengine ni CCM. Wanaosema TISS asili yake ni Special Branch ya zama kabla ya CCM kuundwa wanaupotosha ukweli.
Baada ya kuundwa kwa CCM, vyombo vyote vya dola viliwekwa chini ya hatamu za CCM. Kwa ivo ilikuwa huwezi kuajiriwa kwenye vyombo vya dola bila ya kuwa kwanza mwana CCM hasa toka Jumuiya ya Vijana Tanzania (UVT).
Kwa ivo hata Sheria ya Usalama wa Taifa ilipokuja, ilikuta mfumo wa kuwapata watu wa TISS ni kutoka ndani ya CCM hasa Jumuiya ya Vijana ya chama hicho.
Lakini kutokana na siasa za vyama vingi je hakuna sababu ya kuibadili TISS yenyewe na mfumo wa upatikanaji wa watu wake?
Na jee dhima ya kuwepo kwa TISS katika zama hizi za maendeleo makubwa ya teknolojia itabakia kuwa ile ile kama zama za mfumo wa chama kimoja?
Nani ni adui wa Taifa ashambuliwe ili Taifa liwe salama?
Hili tena linahitaji mjadala?Nadhani umekariri au umekaririshwa.
Uandikishaji vijana kujiunga na vyombo vya ulinzi na usalama hakuna vigezo vya 'kadi ya chama'.
Kwa nini?Ccm wako sahihi kutumia TISs
Kutokana na shinikizo la ndani na nje ya mfumo wa chama na pia kutokuaminiama wao kwa wao kwa baadhi ya viongozi (High establishment), inawalazimu kukitumia hicho chombo katika ku secure ushawishi wao mbele ya Jamii...Kwa nini?