Jee TISS inatakiwa irekebishwe ili kuendana na siasa za sasa?

Ndio maana usishangae sana kukuta kwa baadhi ya taasisi na asasi za kiraia zinazoshikilia mfumo wa nchi kukuta viongozi wake ni hao
Hizi ni nadharia za mtaani huko...

Lakini ukweli ni kwamba lazima ibadilishwe na ile hali ya kudhani wenyewe ni Idara ya Ikulu iwaondoke!
 
Why siasa? Inatakiwa iendane na hali ya sasa. Demand ya kizazi hiki, si wabaki kuoshi maisha ya nyuma na kutetea wazee kwenye mfumo
 
Huo Ujamaa bado upo kiuhalisia?...

nilidhani umebakia tu kwenye maandishi ya kile kijitabu.
 
 
Mfumo mbovu hauwezi kujirekebisha wentewe.

Je kuna haja ya mabaliko? Yes ipo!

Je serikali ya CCM inaweza kufanya mabadiliko hayo? Jibu ni hapana, kamwe hawatokuja kufanya hilo kwa hiyali.
 
Nyumba yenye ufa haijengwi kwa kuacha kuziba ufa halafu unaziba ufa kwa kupiga plasta ili nje watu wasione km kuna ufa, ule ufa lazima utabakia vilevile na utatanuka, njia pekee ya kuumaliza ufa ni kubomoa na kujenga upya

Huo ufa uliopo usizibwe kwa kupiga plasta, njia pekee iliyopo ni kubomoa ukuta mzima na kuanza kujenga upya
 
Tatizo wa kuwachunguza hayupo
Kuiga mifumo nako hakuna maana hio TISS ni kuvumisha tu ila ni mfumo wa Kijerumani ambao aliuanzisha Hitler na kuunda Secret Police (Gestapo or Geheime Staatspolizei) sasa ikakopiwa ikatengenezwa hio wakawekwa vijana wa CCM na ndio mfumo umebaki hivyo mpaka leo so the really meaning of TISS ni Secret Police (Gestapo), lengo ni linafahamika ukitaka kujua jifunze Gestapo ilikua inafanyaje kazi kipindi cha bwana Hitler.
 
Hili nalo linafikirisha...
 
All security forces za Tanzania zinapaswa kuvunjwa na kurekebishwa upya si tu kuangalia siasa za leo pia kuendana na Mabadiliko ya kiteknolojia.

Ukitaka kujua TISS inafanya kazi kishamba angalia wanavodeal ni wapinzani wa Serikali hasa mitandaoni.

Baada ya ripoti ya Tume ya Chande kutoka na kuwa ya ovyo badala ya kushauri na kulazimisha Watawala wafanye kitu sahihi wameamua kulipa content creators wasio hata na ufuasi kusambaza propaganda za CCM/SAMIA badala ya kufanyia kazi root cause.

Ukiingia Tiktok na mitandao mingine utaona TISS na UVCCM wanaunda mijadala ya kutukana na kuunda scandals badala ya kukubali kuwa Teknolojia imekuwa kiasi kwamba Mataifa maskini na yenye uchumi mdogo hayawezi kubadilisha chochote kinachohusu maisha ya wananchi kama mada zikifika mtandaoni.

Linganisha namna Wakenya walivo promote ujio wa Speed na Watanzania tulivyo pokea ujio Frednand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…