Jeff Lea: Simba hamfiki mbali kwa ulinzi ule

VUMBI LA CONGO LIMEKUTANA NA ALKASUSU.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki simba
 
Wachambuzi au jazba zetu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Jeff lea ndo nani?......Eti nguli wa uchambuzi
 
Ila wachambuzi wa bongo nyoso sana. Kunawakati nlkua nafuatilia tabiri za watu wa clouds na kuzibetia hasahasa shafii dauda, kwakwel nilichana pesa vbaya mno. Badae nikawa naenda kinyume naye, kila akiitabiri mechi nabetia kinyume chake, huwezi amini Kati ya mechi 11 alzotabiri mm nkabetia kinyume chake mechi saba nilikula pesa na mechi nne tu ndio nilikosa.
 
Kimeumana leo mkuu, Sasa hivi simba tunawataka Bayern kwanza😂😂
 
Kama Leo George amechambua kiufundi hasa yule jamaa anaijua kazi yake halafu hana upendeleo.
Wachambuzi Tz ni George Ambangile na Ali kamwe hao wengine huwa wanajadili matukio yanayotokea
 
Wanapoambiwa wasiwe watabili au kuwa na akiba ya maneno ona ss

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…