Wanadamu wote walio chini ya miaka 18 wanapaswa kufanyiwa maamuzi yote na mzazi/mlezi wao.Huwezi kugomea chanjo kwa niaba ya mtu mwingine kuwa mimi sotaki yule achanjwe hiyo mamlaka haipo
Mfano wako ni irrelevant. Maamuzi yote ya mtoto, ikiwemo yahusuyo afya, yanapaswa kufanywa na mzazi/mlezi wake.Mamlaka ya serikali ni pamoja na kulinda afya za raia wake huwezi singizia kujisaidia hovyo hovyo barbarians kueneza kipindu pindu serikali ikikukamata useme mamlaka ya kukuzuia usijisaidie haja kubwa hovyohovyo serikali inatoa wapi inazuia rain wake wasiugue kipindupindu
Watoto ni Raia wa serikali inayo mamlaka kamili kulinda afya zao kwa chanjo
Bahati mbaya haujui kuwa haujui chochote. Pole.Uhuru wa kibinafsi kwa mtu mzima upo wa kukataa upo lakini huwezi tumia uhuru huo kukataa kwa niaba ya mtu mwingine kuwa mimi yule sitaki apewe dawa au chanjo awe mkubwa au mtoto
Nchi gani sasa hivi ina restrict watu kuingia kwa sababu ya kukosa chanjo?Kaulize kwa nini kusafiri nje ya nchi bila chanjo huwezi kusafiri ?