Jela kwa kukataa chanjo

Jela kwa kukataa chanjo

Utakuta hao wanaojifanya kusisitiza umuhimu wa chanjo hadi kuwafunga watu kiuonevu watoto wao wala hawachanji hizo chanjo! Wabongo tulivyo na roho mbaya hatuna moyo wa kulazimisha mtu hadi kufikia hatua ya kumfunga eti tu kwa vile amekataa kupewa kitu kizuri.
Ukiona mtu analazimisha kitu ujue hiko kitu kina mushkeli.
 
Mamlaka ya serikali ni pamoja na kulinda afya za raia wake huwezi singizia kujisaidia hovyo hovyo barbarians kueneza kipindu pindu serikali ikikukamata useme mamlaka ya kukuzuia usijisaidie haja kubwa hovyohovyo serikali inatoa wapi inazuia rain wake wasiugue kipindupindu

Watoto ni Raia wa serikali inayo mamlaka kamili kulinda afya zao kwa chanjo
Mfano wako ni irrelevant. Maamuzi yote ya mtoto, ikiwemo yahusuyo afya, yanapaswa kufanywa na mzazi/mlezi wake.

Hiki ndicho tunachofundishwa kwenye ethics za utaalamu wa afya na huapa kabla ya kuanza kufanya kazi.

Mzazi/mlezi akikataa mtoto hapaswi kufanyiwa chochote. Unless ithibitike mzazi/mlezi ana changamoto ya afya ya akili ndipo tabibu unaweza kufanya maamuzi kwa niaba ya mtoto husika na yanapaswa kuwa in the best interest of the client.

Hawakupaswa kulazimisha kuwachanja bila ruhusa ya mzazi/mlezi.
 
Mnaambiwa kila siku wafia dini ni watu wapumbavu haswa mnabisha, mnazidi kujionea maajabu yao.

Hawa watu ndio wanaoiharibu jamii na kutuketea kizazi cha hovyo cha watoto wanaofuata misimamo yao ya kishenzi.

Watiwe nguvuni hao wajinga
 
Uhuru wa kibinafsi kwa mtu mzima upo wa kukataa upo lakini huwezi tumia uhuru huo kukataa kwa niaba ya mtu mwingine kuwa mimi yule sitaki apewe dawa au chanjo awe mkubwa au mtoto
Bahati mbaya haujui kuwa haujui chochote. Pole.
 
Back
Top Bottom