Jela miaka 150 kwa kubaka watoto wake watano(5)

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Mkazi wa Ndaleta wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara Jackson Ole Naiko (57) amehukumiwa kifungo cha miaka 150 na faini ya Milioni Tano (5,000,000/=) kwa kosa la kuwabaka watoto wake wa kuwazaa.

Hakimu wa kesi hiyo Mosi Sassy amesema mahakama imezingatia ushahidi wa pande zote mbili na kila kesi ilikua na mashahidi saba.

Hivyo mtuhumiwa ataachiwa 2173 Mungu akipenda.​

20230523_172435.jpg
 
Kila mtoto kampa miaka30 ukizidisha mara5 ngoma imekubali ni sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mganga aliyemdanganya sahiv anakaribia kibaha kuingia daslamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna cha Mganga, shida ni Watu tumekuwa wabishi kutotaka maarifa kwa nyakati tunazoishi sasa hivi.

HOSEA 4:6.

MATHAYO 24.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mkazi wa Ndaleta wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara Jackson Ole Naiko (57) amehukumiwa kifungo cha miaka 150 na faini ya Milioni Tano (5,000,000/=) kwa kosa la kuwabaka watoto wake wa kuwazaa.

Hakimu wa kesi hiyo Mosi Sassy amesema mahakama imezingatia ushahidi wa pande zote mbili na kila kesi ilikua na mashahidi saba.

Hivyo mtuhumiwa ataachiwa 2173 Mungu akipenda.​

View attachment 2632491
Kama vifungo vinaenda sambamba, si zaidi ya miaka 30, na nilivyosikia kipindi cha nyuma ( miaka inahesabiwa usiku ni siku nzima, mchana ni siku nzima), atakaa ndani miaka 15.
 
Mkazi wa Ndaleta wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara Jackson Ole Naiko (57) amehukumiwa kifungo cha miaka 150 na faini ya Milioni Tano (5,000,000/=) kwa kosa la kuwabaka watoto wake wa kuwazaa.

Hakimu wa kesi hiyo Mosi Sassy amesema mahakama imezingatia ushahidi wa pande zote mbili na kila kesi ilikua na mashahidi saba.

Hivyo mtuhumiwa ataachiwa 2173 Mungu akipenda.​

View attachment 2632491
Hapo jumla atakaa miaka 20 Gerezani
 
Akae huko huko watoto 5 wote jamani? Kwanini shetani hakumkula na yeye kama kweli ni shetani!
 
Halafu akitoka aende kuishi nao hao watoto tena?
Shida ya sheria yetu ndio hiyo, hakuna suluhisho baada ya hukumu. Kuna mama Geita alimuunguza mwanae akafungwa watoto wakabaki kwenye hali mbaya kuliko wangebaki na mama. Sasa hao watoto baba amefungwa kuna mpango gani kuhusu malezi yao. Ndio watabakwa mtaani kuliko angekuwepo
 
Uongooo... m2 mmoja anabakaje watoto wa5 hawa wa4 si wangepiga kelele jamani ili kumuokoa mwenzao fafanua vizuri
 
Back
Top Bottom