Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kwahiyo bora asifungwe ili aendelee kuwabaka vizuri mpaka awazalishe kabisa au! Hapo inatakiwa wasaidiwe mama yao si yupo, halafu nayeye alikuwa wapi mpaka watoto wote hao wanabakwa na Baba yao? Nayeye wangemfunga mwaka mmoja kwa uzembe wakutoangalia watoto wake vizuriShida ya sheria yetu ndio hiyo, hakuna suluhisho baada ya hukumu. Kuna mama Geita alimuunguza mwanae akafungwa watoto wakabaki kwenye hali mbaya kuliko wangebaki na mama. Sasa hao watoto baba amefungwa kuna mpango gani kuhusu malezi yao. Ndio watabakwa mtaani kuliko angekuwepo