Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Hakuna cha Mganga, shida ni Watu tumekuwa wabishi kutotaka maarifa kwa nyakati tunazoishi sasa hivi.Kila mtoto kampa miaka30 ukizidisha mara5 ngoma imekubali ni sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mganga aliyemdanganya sahiv anakaribia kibaha kuingia daslamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimetania tu sijui kwann kabaka, sasa hosea anahusika vp muwe mnaacha ku quote bible kwenye upuuzi wa mtu aliyojiamulia mwenyeweHakuna cha Mganga, shida ni Watu tumekuwa wabishi kutotaka maarifa kwa nyakati tunazoishi
Nimetania tu sijui kwann kabaka, sasa hosea anahusika vp muwe mnaacha ku quote bible kwenye upuuzi wa mtu aliyojiamulia mwenyewe
Kama vifungo vinaenda sambamba, si zaidi ya miaka 30, na nilivyosikia kipindi cha nyuma ( miaka inahesabiwa usiku ni siku nzima, mchana ni siku nzima), atakaa ndani miaka 15.Mkazi wa Ndaleta wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara Jackson Ole Naiko (57) amehukumiwa kifungo cha miaka 150 na faini ya Milioni Tano (5,000,000/=) kwa kosa la kuwabaka watoto wake wa kuwazaa.
Hakimu wa kesi hiyo Mosi Sassy amesema mahakama imezingatia ushahidi wa pande zote mbili na kila kesi ilikua na mashahidi saba.
Hivyo mtuhumiwa ataachiwa 2173 Mungu akipenda.
View attachment 2632491
Adhabu inaenda kwa pamoja bila shaka hapo ni miaka 30,Miaka 150!!
Akifanikiwa kutoka atakuwa na miaka 200+ jambo ambalo ni gumu sana huyo atapata uhuru Yesu akirudi kama huko gerezani akifanya toba
Hapo jumla atakaa miaka 20 GerezaniMkazi wa Ndaleta wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara Jackson Ole Naiko (57) amehukumiwa kifungo cha miaka 150 na faini ya Milioni Tano (5,000,000/=) kwa kosa la kuwabaka watoto wake wa kuwazaa.
Hakimu wa kesi hiyo Mosi Sassy amesema mahakama imezingatia ushahidi wa pande zote mbili na kila kesi ilikua na mashahidi saba.
Hivyo mtuhumiwa ataachiwa 2173 Mungu akipenda.
View attachment 2632491
Halafu akitoka aende kuishi nao hao watoto tena?Hapo jumla atakaa miaka 20 Gerezani
Shida ya sheria yetu ndio hiyo, hakuna suluhisho baada ya hukumu. Kuna mama Geita alimuunguza mwanae akafungwa watoto wakabaki kwenye hali mbaya kuliko wangebaki na mama. Sasa hao watoto baba amefungwa kuna mpango gani kuhusu malezi yao. Ndio watabakwa mtaani kuliko angekuwepoHalafu akitoka aende kuishi nao hao watoto tena?