jema lingine toka kwa Diamond-kwa mara ya kwanza BET wacheza video ya Tanzania

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
IMG-20140701-WA0000.jpg
Katika jambo lililotokea kama suprize flani hivi, kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa bongo fleva, nyimbo ya Diamond Platnumz “Mynumber1″ ilienda hewani jana kupitia television hiyo ya kimataifa ya BET, DiamondPlatnumz anaweka historia mpya tena kuonekana katika kituo hicho cha television, ikiwa haijawahi kutokea kwa mwanamuziki yeyote kutoka bongo kufikisha nyimbo yake level hizo na kufanikiwa kupigwa katika kituo hicho cha television kinachoangaliwa na maelfu ya watazamaji duniani kote. Diamond Platnumz amefungua pazia kwa dunia kuanza kuangalia vipaji vingine kutoka tzee, ikiwa huu ndio mwanzo tu wa mafanikio, akiwa ndiye msanii anayeongoza na kufungua kila njia ya historia mpya ya muziki wa bongo fleva.
Pia taarifa ya Ziada ni kuwa,week ijayo Diamond ataachia video mbili kwa mpigo,Bum bum aliyoimba na iyanya kwa lugha ya kiingereza,kulingana na lugha pia mahadhi yake..hii ni maalumu kwa soko la nje na tayri ilishaanza kuchezwa na vituo vikubwa vya nje(Trace,cHANNEL 0,HIP TV,etc) pia mdogo mdogo amabyo ni maalumu kwa ajili ya watanzania na Eat afrika kwa ujumla.Ahsanteni.
behind the scene-mdogomdogo.jpgmdogomdogo-behind the scene.jpg
 
Tumechoka jamani khaaa!!!!aya tumekusikia afisa habari wa domo
 
Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKS

mwenzio alikuwa bado yuko mwanza mjini alikuwa hapajui msamehe! yeye anahisi kila anachofanya diamond ndo wakwanza kukifanya
 
kila nikimchek diamond namkumbuka na wimbo wake
wa nenda 'kamwambie'
 
gsan4.jpggsan7.jpggsan2.jpg dah ni vile tu watu wengine hawapigagi makelele, mchizi aliogongaga cypher 2009 na kina KRS one an video zao wameanza kuzipiga holland toka miaka hiyo ya 1999, labda watu wa Arusha ni tofauti na wa DSm maana hata Dead prez walichili sana pale soweto na masela miaka flani
 
Eh jamani ifike mahali hii hyper ya Diamond itulie. Kila kitu imekuwa ' kwa mara ya kwanza.....' au ' haijawahi kutokea sijui nini ' . Kwanini tunakuwa hivi?
Hizi sifa za kupitiliza ndio zinapelekea hata tunakuwa hatu perform zaidi kwa kulewa ulabu wa sifa.
Hebu maisha yaendelee na tuachane na huu nadiriki kuuitw ' ushamba' na ulimbukeni.

Ni kweli , kwa kiasi kijana anajitahidi ( na wala sina wivu maana huko aliko sio genre yangu kabisa , nina kazi yangu na vipaji vingine) lakini hii sifia ya kila saa mpaka tunakosea kumbe hatuna data za kutosha za nyuma. Mtu unasema ni mara ya kwanza kumbe wewe umeanza kutumia luninga au mtandao si muda mrefu na unafikiri ulichokiona tangu macho yako yamefunguka ndio mwanzo wa dunia/matukio kumbe vitu vipo tu.

Mwisho japo si kwa umuhimu, naomba kusema hivi, kutambulika kidunia ni vizuri lakini kwanini kuendeleza huu utumwa kuwa ukionekana BET au sijui kwenye TV gani umeula? Hivi ni lini tutafunguka akili jamani? Mtu akienda Ulaya , eti kaukata. Akienda Marekani huyo sio mwenzetu. Kwanini isiwe akienda KATAVI? au Tunduru?
Tubadilike.
Na nawatakia siku njema
 
hahahaaaa....umeua bendi!!!!
 
Hahahahaha
 
Umenikuna mtima wangu aisee.......
 
Sifa zimezidi sasa kudaganya watu ili iweje na ndo sifa kama hzi zinamponza mumezoea kuokota wa facebook na IG
 
nyie nyie siku akifulia na mje kuandika hivi hivi japo simuombei!
 
Itakua n mara ya 1 kwa mtto wa Tandale video yake on BET ila machalii wa Chugga since miaka ile.

Sent from my Philips.
 
Mkuu mbona unatuumbua sasa ,sisi tulijua kuna vilaza kama fb na insta humu.Noma mkuu.
Mkuu hawa jamaa walifanya makubwa sana, nazungumzia kuanzia 1997 watu wanapiga shows kubwa Holland , Belgium, sweden, Brazil n.k, kilichowarudisha nyuma ni pale kaka yao mkubwa RUFF NELLY alipouliwa kwa kupigwa kisu, lakini hata kabla ya hapo wwengine kama G san alihamia new york, ziggy lah alihamia sweden yule demu Dineh akaolewa German , Arusha alibaki Marehemu na mdogo wao Steve na yule mmasai Merege aliyekuwa anapiga chorus
ingia you tube search X PLASTAZ utaona hadi documentary ndefu waliyofanyiwa na dutch national tv...
ILA JAMAA NI WAKIMYA SANA HATA KAMA WANGEKUWA ACTIVE WASINGEPIGA KELELE WALE, VERY GENTLE

NB: HAO NDIO WA KWANZA KUMPA SHAVU MR 2 NA BALOZI DOLA SOL KUPAFOM HOLLAND KWENYE CONCERT YA UKWELI SIO VILE VI CLUB KIDOGO VYA HUKO ULAYA WANAVYOJAA WABONGO NA WAKENYA, NA PIA WALISHAWAHI KUPAFOM STAGE MOJA ( I MEAN KUTUMIA BEAT MOJA NA YOUSSOU N DOUR NA BAABA MALI HUKO AMSTERDAM)
 
Unajua mkuu huyu dogo aliyeleta huu uzi anafundishwa kila siku humu jamvini kabla hajapost awe anapitia habari zake kwanza lakini hola.
 
Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKS

Asante kwa kuweka kumbukumbu sawia, huyu HOD anapotosha sana mambo.
 
Back
Top Bottom