warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
tetetetetete! Ona sasa ulivyo na akili wanzuki, tatizo ubongo wako ni pangu patie mchuzi thus why unakurupuka tu na chuki zisizo maana. So lazima ufundwe.
Achana na mimi wewe huna nyimbo mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tetetetetete! Ona sasa ulivyo na akili wanzuki, tatizo ubongo wako ni pangu patie mchuzi thus why unakurupuka tu na chuki zisizo maana. So lazima ufundwe.
Achana na mimi wewe huna nyimbo mpya
jamaa walijulikana kitambo kuna nyimbo yao moja ilitumika kwenye american movie kuhusu child soldiers na iitwayo shule imetumika kwenye episode moja ya Daynes world( australia)
hata Ruff nelly alipokufa meneja wa ludacris, shakazulu alipost mtandaoni kusikitika sana juu ya kifo chake..Gsan kuna ishu kafanya na dj 360 ambaye ana mkono mkubwa kwenye mafanikio ya Redman
hivi huna taarifa diamond kashinda tuzo ya kora music awards? certificate katumiwa pdf kwa e-mail.
Lini kashinda? Sijasikia aiseeh naona na vijakazi wake hawajaipata hiyo
Hii hapa binamu
Eeh binamu unanichoma roho mwenzio, so ndo kashinda peke yake na jide je?
Bana hizo tuzo zilitangazwa lini binamu punguza presha ni cheti tu kapewa isome hiyo certificate vzur
Aaah kama cheti ata dada jide alipata mm maana ulitak unisononeshe binamu
Achana na mimi wewe huna nyimbo mpya
mwanaume wa aina hii km ndo boy wako majanga matupu!
Atakuwa sharcode huyo, maana kaanzisha thread ndomo kapata tuzo mmh yani binamu watu wana shobo za ki ngese, na ndomo atawagonga wengi mwaka huu
Indicator ya masikini yeyote wa kiswahili ni chuki na wivu wa kijinga, utakufua kwa presha mwaka huu.
Indicator ya ushoga ni kushobokea sana wanaume, yan unavyomshobokea ndomo hata demu wake wema hafanyagi hivyo, yeye mbona hanaga huu ulimbukeni halafu yeye ndo demu wake sasa, nyie vishumumdu sasa ambao hata hamjulikani shobo kibao, ebu peleken bhang zenu uko
Bila shaka kichwani bado una hangover za ulanzi na gongo, ngoja nikuache zipungue kwanza huenda ubongo wako ulioliwa na mchwa utajirudia kwenye hali yake ya kawaida.