jema lingine toka kwa Diamond-kwa mara ya kwanza BET wacheza video ya Tanzania

jema lingine toka kwa Diamond-kwa mara ya kwanza BET wacheza video ya Tanzania

hata ukimuuliza kalamashaka hawezi kuwajuwa, yeye atamjuwa mpuuzi mwenzao tu prezzo.

Daaahh hawajamaa ni wazamani sana sijui walikuaga nchi gani ulaya huko..wananyimbo inaitwa tunafanya mambo daaahh aiseee...enzi hizooo channel o kuiona nilishangaaa sana video ya ki-old school...Jesus christ hata nakunywa sprite....mstari haujanitoka toka nimeisikia nyimbo kwa mara ya kwanza....!!
 
Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKS

Mueleze huyo hata joh makini alishawahi kuimba kwenye wimbo wa maarifa "Sitaki sifa viva maarifa hiki ndio kipaji mungu alichonipa kama siogopi majini vipi itakuwa sniper? lugha ya mama kama G-SAN kwa cypher BET"
 
jamaa walijulikana kitambo kuna nyimbo yao moja ilitumika kwenye american movie kuhusu child soldiers na iitwayo shule imetumika kwenye episode moja ya Daynes world( australia)
hata Ruff nelly alipokufa meneja wa ludacris, shakazulu alipost mtandaoni kusikitika sana juu ya kifo chake..Gsan kuna ishu kafanya na dj 360 ambaye ana mkono mkubwa kwenye mafanikio ya Redman
 
Chukulia mfano Diamond wimbo wake utumike kwenye muvi hollywood kama Saida Kalori ulivyotumika sijui kama tungelala humu.
 
Watanzania wamefanya makubwa wengi tu kina Filbet Bai walipaisha bendera ya tz naona hawa kina diamond ni limbukeni hasa nadhani wakati huo wako wanakosha vyombo tandale lazima wamsifie kaja kuokoa familia
 
hahaaaaaa....ningekua mi hod kuanzia sasa no utafit no right to post nonsense!
 
Nyumbani wapi? Tena ushabiki wako utakuwa wa vitumbua maana unashoboka na vitu ambavyo hata huvijui hii ni hatar sana, kama Tuzo kashakosa sasa nashangaa sijui mashabiki au wapambe nuksi mnavyohangaika kujifuta machozi na kujifariji na vitu vya kipumbavu, jide kashinda tuzo za channel O na BBC ila haikuwa shida , sasa huyo ndomo hajashinda ila hayo makerere sasa mmh kazi mnayo na sijui mnalipwa shilingi ngapi

wewe ni wa kupuuzwa sababu umeshajipambanua ran yako halisi.
 
wewe ni wa kupuuzwa sababu umeshajipambanua ran yako halisi.

Ona ata spelling inakushinda, sasa ran ndo nini? Tatizo lako hujielewi mdogo wangu halafu unajifanya mjuaji sana, makerere mengi unaongea utumbo apa, ebu kojoa ukalale uko
 
Ona ata spelling inakushinda, sasa ran ndo nini? Tatizo lako hujielewi mdogo wangu halafu unajifanya mjuaji sana, makerere mengi unaongea utumbo apa, ebu kojoa ukalale uko

binamu bas bas atalia kkaaah!
 
Kuna siku diamond anaweza ku.nya beach za Miami basi na wewe HOD ukaja kutuandikia humu kuwa amekuwa mtanzania wa kwanza Ku.nya pande hizo

Grow up fanya utafiti kabla huja post kitu, kwa asilimia 100% wewe ndo unamfanya boss wako aonekane fool

Jaribu kumuweka boss wako mahala pazuri ili awe salama siyo kila kitu cha kupost, unanifanya kila siku graph yangu ya kujaribu kumpa support boss wako iwe inashuka kwa kasi

Mark me HOD "Bichwa lisilo na maarifa ni adhabu kwa miguu"
 
Jamani Mbona Wakina Sammata Na Ulimwengu Wanafanya Maajabu Tp Mazembe Hatusemi Marehemu Kanumba (R.I.P)alifanya Vitu Vikubwa sana Kuliko Hyo Diamond Lakini Mbona Hatukumuona Na Misifa Yote Hiyo
 
Hao wasanii unajua wewe tu ila sisi watanzania tunamfahamu na kumtambua Diamond kama ndio msanii wa kwanza kuipaisha Tz BET.

Ukweli mchungu.

ImageUploadedByJamiiForums1404419042.161951.jpg
Mkuu acha kujitoa ufahamu huyo hapo katikati G Sana akiwa na krs one kulia na Dj Premier kushoto na hiyo ilikua BET na alipiga freestyle kama kawaida sio kuhudhuria red carpet.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
jamaa walijulikana kitambo kuna nyimbo yao moja ilitumika kwenye american movie kuhusu child soldiers na iitwayo shule imetumika kwenye episode moja ya Daynes world( australia)
hata Ruff nelly alipokufa meneja wa ludacris, shakazulu alipost mtandaoni kusikitika sana juu ya kifo chake..Gsan kuna ishu kafanya na dj 360 ambaye ana mkono mkubwa kwenye mafanikio ya Redman

Mkuu huko ndio unazidi kumchanganya kijana, hawezi kuelewa milele watoto wa 90's

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mtoa uzi kakojoe ulale.ukiamka kesho ufute hzo kwa mara ya kwanza.pumbav thanaa
 
Ona ata spelling inakushinda, sasa ran ndo nini? Tatizo lako hujielewi mdogo wangu halafu unajifanya mjuaji sana, makerere mengi unaongea utumbo apa, ebu kojoa ukalale uko

tetetetetete! Ona sasa ulivyo na akili wanzuki, tatizo ubongo wako ni pangu patie mchuzi thus why unakurupuka tu na chuki zisizo maana. So lazima ufundwe.
 
View attachment 168782
Mkuu acha kujitoa ufahamu huyo hapo katikati G Sana akiwa na krs one kulia na Dj Premier kushoto na hiyo ilikua BET na alipiga freestyle kama kawaida sio kuhudhuria red carpet.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Mkuu mbona ushaeleweka vizuri japo HOD alitumia mahaba niue kuandika hii thread, lakini pia tukija kwenye reality Diamond ndio msanii wa kwanza kuipa popularity Tz kwenye BET, kwani hata milima ya Livingstone japo ilikuwepo enzi na enzi ikikaliwa na waafrika lakina offically Dr.Livingstone ndio anatambulika kama mgunduzi au mtu wa kwanza kuiona milima hiyo japo kuna watu wengi walikwisha kuiona kabla yake.
 
Back
Top Bottom