ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Inaelekea jamaa yako hakupata tabu kukutongoza kwasababu ulikubali mauongo yote
Mkuu umeua ile balaa asiporudi anachechemea huyo atakuwa zaidi ya sugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaelekea jamaa yako hakupata tabu kukutongoza kwasababu ulikubali mauongo yote
hata ukimuuliza kalamashaka hawezi kuwajuwa, yeye atamjuwa mpuuzi mwenzao tu prezzo.
Ndugu yangu video ya X PLASTAZ " NINI DHAMBI" ILICHEZWA HUKO 2009 NA G SAN AKAWA MTANZANIA WA KWANZA KU FEATURE BET TENA KWENYE CYPHER NA KINA KRS ONE NA AKACHANA KISWAHILI
SO , NO THANKS
Kwani ni ME mimi nilidhani ni KE basi hii ni zaidi ya janga
jamaa walijulikana kitambo kuna nyimbo yao moja ilitumika kwenye american movie kuhusu child soldiers na iitwayo shule imetumika kwenye episode moja ya Daynes world( australia)
hata Ruff nelly alipokufa meneja wa ludacris, shakazulu alipost mtandaoni kusikitika sana juu ya kifo chake..Gsan kuna ishu kafanya na dj 360 ambaye ana mkono mkubwa kwenye mafanikio ya Redman
Watanzania wamefanya makubwa wengi tu kina Filbet Bai walipaisha bendera ya tz naona hawa kina diamond ni limbukeni hasa nadhani wakati huo wako wanakosha vyombo tandale lazima wamsifie kaja kuokoa familia
hahaaaaaa....ningekua mi hod kuanzia sasa no utafit no right to post nonsense!
Nyumbani wapi? Tena ushabiki wako utakuwa wa vitumbua maana unashoboka na vitu ambavyo hata huvijui hii ni hatar sana, kama Tuzo kashakosa sasa nashangaa sijui mashabiki au wapambe nuksi mnavyohangaika kujifuta machozi na kujifariji na vitu vya kipumbavu, jide kashinda tuzo za channel O na BBC ila haikuwa shida , sasa huyo ndomo hajashinda ila hayo makerere sasa mmh kazi mnayo na sijui mnalipwa shilingi ngapi
wewe ni wa kupuuzwa sababu umeshajipambanua ran yako halisi.
Ona ata spelling inakushinda, sasa ran ndo nini? Tatizo lako hujielewi mdogo wangu halafu unajifanya mjuaji sana, makerere mengi unaongea utumbo apa, ebu kojoa ukalale uko
Hao wasanii unajua wewe tu ila sisi watanzania tunamfahamu na kumtambua Diamond kama ndio msanii wa kwanza kuipaisha Tz BET.
Ukweli mchungu.

jamaa walijulikana kitambo kuna nyimbo yao moja ilitumika kwenye american movie kuhusu child soldiers na iitwayo shule imetumika kwenye episode moja ya Daynes world( australia)
hata Ruff nelly alipokufa meneja wa ludacris, shakazulu alipost mtandaoni kusikitika sana juu ya kifo chake..Gsan kuna ishu kafanya na dj 360 ambaye ana mkono mkubwa kwenye mafanikio ya Redman
Ona ata spelling inakushinda, sasa ran ndo nini? Tatizo lako hujielewi mdogo wangu halafu unajifanya mjuaji sana, makerere mengi unaongea utumbo apa, ebu kojoa ukalale uko
View attachment 168782
Mkuu acha kujitoa ufahamu huyo hapo katikati G Sana akiwa na krs one kulia na Dj Premier kushoto na hiyo ilikua BET na alipiga freestyle kama kawaida sio kuhudhuria red carpet.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app