jema lingine toka kwa Diamond-kwa mara ya kwanza BET wacheza video ya Tanzania

jema lingine toka kwa Diamond-kwa mara ya kwanza BET wacheza video ya Tanzania

tetetetetete! Ona sasa ulivyo na akili wanzuki, tatizo ubongo wako ni pangu patie mchuzi thus why unakurupuka tu na chuki zisizo maana. So lazima ufundwe.

Achana na mimi wewe huna nyimbo mpya
 
jamaa walijulikana kitambo kuna nyimbo yao moja ilitumika kwenye american movie kuhusu child soldiers na iitwayo shule imetumika kwenye episode moja ya Daynes world( australia)
hata Ruff nelly alipokufa meneja wa ludacris, shakazulu alipost mtandaoni kusikitika sana juu ya kifo chake..Gsan kuna ishu kafanya na dj 360 ambaye ana mkono mkubwa kwenye mafanikio ya Redman

Mkuu bora tuwe tunakuja kuwaweka sawa hawa vijana wanaotaka kuifanya JF kama FB......Muziki umetoka mbali na hawa vijana wanapaswa kufanya makubwa kuliko yaliyofanywa na mafathers wa muziki long time sio kusifiana kwa vitu vya kawaida sana.........

X PLASTAZ wana historia ya hatari ktk ulimwengu wa Hiphop.......asante kwa kuweka historia sawa na kutukumbusha hawa jamaa.....umenikumbusha party za Duluti .......
 
hivi huna taarifa diamond kashinda tuzo ya kora music awards? certificate katumiwa pdf kwa e-mail.

Lini kashinda? Sijasikia aiseeh naona na vijakazi wake hawajaipata hiyo
 
kuna mchimba chumvi mmoja kaandika kapata tuzo watu wana mbwembwe....!

Atakuwa sharcode huyo, maana kaanzisha thread ndomo kapata tuzo mmh yani binamu watu wana shobo za ki ngese, na ndomo atawagonga wengi mwaka huu
 
Last edited by a moderator:
Atakuwa sharcode huyo, maana kaanzisha thread ndomo kapata tuzo mmh yani binamu watu wana shobo za ki ngese, na ndomo atawagonga wengi mwaka huu

mwanaume wa aina hii km ndo boy wako majanga matupu!
 
Last edited by a moderator:
Atakuwa sharcode huyo, maana kaanzisha thread ndomo kapata tuzo mmh yani binamu watu wana shobo za ki ngese, na ndomo atawagonga wengi mwaka huu

Indicator ya masikini yeyote wa kiswahili ni chuki na wivu wa kijinga, utakufua kwa presha mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Indicator ya masikini yeyote wa kiswahili ni chuki na wivu wa kijinga, utakufua kwa presha mwaka huu.

Indicator ya ushoga ni kushobokea sana wanaume, yan unavyomshobokea ndomo hata demu wake wema hafanyagi hivyo, yeye mbona hanaga huu ulimbukeni halafu yeye ndo demu wake sasa, nyie vishumumdu sasa ambao hata hamjulikani shobo kibao, ebu peleken bhang zenu uko
 
Bila shaka kichwani bado una hangover za ulanzi na gongo, ngoja nikuache zipungue kwanza huenda ubongo wako ulioliwa na mchwa utajirudia kwenye hali yake ya kawaida.
 
Bila shaka kichwani bado una hangover za ulanzi na gongo, ngoja nikuache zipungue kwanza huenda ubongo wako ulioliwa na mchwa utajirudia kwenye hali yake ya kawaida.

Huna mpya ebu toka apa, eeh tuachane na hayo kwanza binamu, ivi ndomo anarudi lini tukampokee airport?
 
Back
Top Bottom