Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

ni kweli jembe ni jembe nae ni meneja wa harmo now
huko sudan walikuwepo wote,
pia hii ngoma iliyotoka juzi ya jamaa wa sudan john fogg alofanya na harmo story yao kabla ya kufanya ngoma inafurahisha sanaaa
Mkuu fafanua kidogo iyo story
 
Mkuu fafanua kidogo iyo story
ouk
harmo na team yake walipofika sudan hapo juzi, hotelini walikuj wasanii wengi kumsalimia,(wa hapo sudan).. sasa kwa kuwa walikuwa wengi na harmo walimfuata chumbani kwake.. hakuwa na muda wa kumjua mmoja mmoja..
jembe ni jembe akashuka chini kumchukulia msosi harmo.. kufika akamkuta jamaa mmoja pembeni kajitenga kimya tofauti na wasanii wenzake!.. akamuuliza vipi? jamaa akasema anaomba kumpa hi harmo
jembe akampeleka mpaka juu kwa harmo.. muda ukawa mchache so mabaunsa wakamtoa jamaa nje..
baadae harmo na team yake wameenda club.. kufika huko wakakuta goma moja linapigwa. watu shangwe sanaa.. ghafla harmo akashikwa bega na mtu.. kugeuka anakuta ni yule mshkaj wa hotelini!.. jamaa akamwambia harmo goma langu hiloo..
mabaunsa wakamtoa jamaa. jembe akamwambia njoo kesho hotelini sasa 4..jamaa kesho moja asubuh yupo pale! wakafanya remix ya hiyo ngoma hela ya video hana jabulant akashika camera buree. now hi
 
Hujaimalizia story mkuu?
 
GUNDOSAKIT
 
ubarikiwe kiongozi
 
Hahaha
 
Jabulant ni nani WCB au anahusika kwa harmo tu
 
Na kwa taarifa tu radio ya jembe ni jembe kusaga hapo ana hisa zake na hata Rock city radio ana hisa zake pia.

Na kusaga mwenyewe alishasema radio nyingi za vijana mkono wake unahusika hapo.
Jembe ashawah kufanya kazi na kusaga, ila baadae Jembe alipambana sana na kuamua kuanzisha maisha yake
 
Hapa mkuu umenena. Mavoko anajuta sana (from insider).
 
Ayseee kumbee...ila hako kanyimbo kazurii sna,ameimba kwa feelings sana
 
Huyu Jamaa wakati anaendesha kipindi cha Njia Panda Clouds na zile Story zake kuhusu Ukimwi nilikua namuona ana maadili sana,Kumbe naye Fisi mwenzetu tu
 

Naomba kujua hapa hivi group of companies hii nayo inasajiliwa au linakuwa jina tu kwa ajili ya kurun kampuni zingine...uwa sielewei hapa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…