Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Wakuu salute sana, kumekuwa na tetesi za Harmonize kuhama WCB, japo hakuna tamko lolote toka WCB au Kondeboy kuhusu kung'atuka WCB.

Kuna mtu anazungumziwa kuwa ndo master mind architecture wa hili sokomoko, naye ni Jembe ni Jembe. Huyu Mwamba navyomfahamu (Mnaweza kunisahihisha) anamiliki kituo cha redio jijini Mwanza kinachoitwa Jembe Fm, na ni mmiliki wa club ya Jembe ni Jembe pamoja na Jembe beach resort zote za jijini Mwanza.

Kwa mwenye ufahamu huyu Mwamba anahusikaje, kwenye kumun'goa konde boy WCB, mlioko mtaa wa pili tupeni data kamili.

images (5).jpeg

Screenshot_20190820-192832_2.jpeg
 
Anaweza akahusika kama manager wake mpya
Huyo jamaa amewai kumpa wemasepetu BMW,wema akaitosa Nissan murano aliyonunuliwa na diamond...
Diamond akaamua kutoa ule wimbo ntampata wapi?
Kimsingi jembe ndio alimpora mondi wema tokea hapo mond akapata kichefu chefu
 
Hata Aslay nasikia nae ,mama watoto wake kachukuliwa na jembe ni jembe.
 
Anaweza akahusika kama manager wake mpya
Huyo jamaa amewai kumpa wemasepetu BMW,wema akaitosa Nissan murano aliyonunuliwa na diamond...
Diamond akaamua kutoa ule wimbo ntampata wapi?
Kimsingi jembe ndio alimpora mondi wema tokea hapo mond akapata kichefu chefu
Una maana konde ana........?
Mmmmmh!!!! Sitaki kuamini
 
Na kwa taarifa tu radio ya jembe ni jembe kusaga hapo ana hisa zake na hata Rock city radio ana hisa zake pia.

Na kusaga mwenyewe alishasema radio nyingi za vijana mkono wake unahusika hapo.
Mkono sio lazima hisa hata kutoa ushauri pia ni mkopo ninda tcra katazame wamiliki sio unabwabwaja
Watu wengine mnakera kwa uwezo yenu midogo ya kung’amua mambo
 
Back
Top Bottom