Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Wakuu salute sana, kumekuwa na tetesi za Harmonize kuhama WCB, japo hakuna tamko lolote toka WCB au Kondeboy kuhusu kung'atuka WCB.
Kuna mtu anazungumziwa kuwa ndo master mind architecture wa hili sokomoko, naye ni Jembe ni Jembe. Huyu Mwamba navyomfahamu (Mnaweza kunisahihisha) anamiliki kituo cha redio jijini Mwanza kinachoitwa Jembe Fm, na ni mmiliki wa club ya Jembe ni Jembe pamoja na Jembe beach resort zote za jijini Mwanza.
Kwa mwenye ufahamu huyu Mwamba anahusikaje, kwenye kumun'goa konde boy WCB, mlioko mtaa wa pili tupeni data kamili.