Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

Aisee argument zako nimezikubali saaana hahah,so unaona kama hizo redio akiwa nazo ni nyingi saana na zitakua na wafanyakazi wengi kiasi ambacho atashindwa kuwa-manage,haha.

Jamaa angu kumbe kwny ubepari bado wewe hujaiva aisee,kwa hio hao wafanyakzi mia 4 unaowafikiria unaona ni wengi sana sio?

Hapo chini ni co's anazo zi-manage bakhressa na ujiulize anawezage kuzi-manage zote at per.

Azam Bakeries Co. Ltd
Azam Dairy Products Ltd
Azam FM Radio Ltd
Azam Football Club
Azam Insurance Agency Ltd
Azam Marine Co. Ltd
Azam Media Ltd
AzamPay Tanzania Ltd
Azam Polysack Ltd
Al Zenzibar Food Products Ltd
Bagamoyo Sugar Ltd
Bakhresa Food Products Ltd
Bakhresa Grain Milling (Rwanda)
Bakhresa Grain Milling (Burundi)
Bakhresa Grain Milling (Malawi)
Bakhresa Grain Milling (Uganda)
Bakhresa Grain Milling (Mozambique)
Bakhresa SA (Pty) Ltd
Coastal Fast Ferries
Kilimanjaro Fast Ferries Ltd
Hotel Verde Zanzibar -Azam Luxy Resort & spa Ltd
Omar Packaging Industries Ltd
Paper Kraft International Ltd
Reliable Properties Ltd (Real Estate)
Said Salim Bakhresa & Co. Ltd
Tradegents Ltd (Garments)
Tacona Holdings Ltd (Inland Container Depot)
Uhai Production Limited
United Group Limited
(Petroleum)Union Property Developers Ltd
Zanzibar Milling Cooperation Ltd

Nashangaa wewe unayeona eti hizo radio ni nyingi saaaaana mpk Kusaga atashindwa kuzi-manage hahah,au unadhani Co's Zinaendeshwa kama maduka ya watu binafsi.
Mkuu gharama ya kuendesha media ni kubwa sana achana na hizo za bakhresa ambazo zinaendeshwa kifamilia.
.
Huku mzigo wote mnambebesha Joe Kusaga ndio maana nikabaki mdomo wazi nashangaa shangaa tu anawezaje semeni ni share holder basi wengine watakuja kusema ni anashea Wasafi au jembe ila wataongeza yeye ndo mwenye hisa nyingi mimi nakimbilia kwenye magharama nabaki kutoa macho tu.
.
Nitakuja na mchanganuo wa gharama za uendeshaji wa tv kwa mwezi naamini tutajifunza kitu
 
Anaweza akahusika kama manager wake mpya
Huyo jamaa amewai kumpa wemasepetu BMW,wema akaitosa Nissan murano aliyonunuliwa na diamond...
Diamond akaamua kutoa ule wimbo ntampata wapi?
Kimsingi jembe ndio alimpora mondi wema tokea hapo mond akapata kichefu chefu
Wema yuko wapi now na huyo Jembe wake ?

Inaonesha malipo ya kudanga sio mazuri.
 
Hivi hizo mil. 28 kwa mwezi unazozisema unadhani ni pesa nyingi sana sio?

Haya kama wewe kweli ni mdau wa hizi mambo niambie gharama za kupata kibali cha kurusha matangazo ya TV kutoka TCRA ni sh. Ngapi?Na kama unajua gharama zake ndipo utajua hizo mil. 23 sijui 28 unazozisema huko kwny upande wa redioni ni uchafu tu.

Yaani kusaga akupe manpower ya kina Mchovu,B12 etc kuja kukupa shavu kwny kituo chako cha radio+ku-train wafanyakazi redioni kwako eti ili akupe inspiration wewe na vijana wenzako?hahah

Nyinyi hamjui kusaga nadhani mnavyomuonaga kapiga vile vikanzu vyake bubu mnamuonaga anakuja kuwasaidia kutimiza ndoto zenu eti ku-insipire hahah.
Mrs Kusaga mdogo wasipokuelewa hadi sasa, watakuwa na shida mahali.
 
Wakuu salute sana, kumekuwa na tetesi za Harmonize kuhama WCB, japo hakuna tamko lolote toka WCB au Kondeboy kuhusu kung'atuka WCB.

Kuna mtu anazungumziwa kuwa ndo master mind architecture wa hili sokomoko, naye ni Jembe ni Jembe. Huyu Mwamba navyomfahamu (Mnaweza kunisahihisha) anamiliki kituo cha redio jijini Mwanza kinachoitwa Jembe Fm, na ni mmiliki wa club ya Jembe ni Jembe pamoja na Jembe beach resort zote za jijini Mwanza.
To
Kwa mwenye ufahamu huyu Mwamba anahusikaje, kwenye kumun'goa konde boy WCB, mlioko mtaa wa pili tupeni data kamili.

Kutoka 20:15
Usiibe
 
Huyu mmakonde wanaomtutumua kuwa asepe wasafi hawatakuwa na mda nae aliondoka, wanachotaka hawa wanaomtutumua ni kumtakia mabaya konde boy.

Anachokipitia rich mavoko kiwe funzo kwa harmonize, kina dokii walimtutumua sana rich mavoko asepe wasafi ila saizi hawana muda nae, mkono mtupu haulambwi!!

Kitu kingine T-shirt mbili zilizofana kila kitu moja unaweza kuuzwa elf 10 ila nyingine kwasababu imetwngenezwa nankampuni yenye brand kubwa kama Gucci inaweza ikauzwa laki 2 na ikanunulika, vivyo hivyo kama ikivyo kwenye hili game kuna wasanii wengi sana wana vipaji vya juu sana lakini hawasikiki ila kuna wasanii wenye vipaji vya kawaida tu ngoma zao zinahit kila Mara kwasababu wanasukumwa na nguvu ya brand.

Harmonize huenda akajiona ana kipaji ila kipaji pakee hakitoshi, Wcb ni brand kubwa ambayo hata msanii akiwa kawaida anavuma, ushahidi tosha ni rich mavoko Leo hii anatoa ngoma Kali tu ila kwasababu kaiacha brand kubwa ya Wcb anaisoma namba saizi.

IGA UFE!!!
Umeongea point na kila kitu mkuu
 
Hihihihihihi ngoja nicheke kwanza mkuu hihihihihihi
Gharama ya kupata leseni ya TV kwa sasa hivi sio chini ya dola laki tatu hapo zamani miaka hiyo wanaanzisha 1999 na ITV 1995 ilikuwa dola laki 5.
.
Sasa hivi kuna vituo vya TV vingiiiiii na vimekuwa vingi kwa sababu urushaji wake nao umekuwa rahisi, unaanzisha kituo cha TV unanunua makorokoro yanayohitajika then unachagua Satellite unayotaka ikurushie matangazo yako kama ni SES au Eutelsat ni wewe hao ndio operator yani hata Clouds tv wakilala bado TV haiwezi kupotea hewani .
.
Million 28 na 23 ni pesa nyingi sana acha kuzichukulia poa ni mafao ya mtu uzeeni hayo, hata kama ana utajiri wa trillion 1 bado atapata tabu kuendesha vituo mnavyo mbambikizie, Clouds Fm na TV ndio zinaleta mapato makubwa sana kuliko kwingine kotee sasa atatoa mapato yake mfukoni au kutoka Clouds media aendeshee Jembe ni jembe?
.
Idadi ya wafanyakazi wa jembe ni jembe, Wasafi media, clouds media kwa ujumla wafanyakazi kama mia nne na ushehe hivi atawamudu?
.
Mwisho umesema yani kusaga akupe manpower kina Mchomvu na B12 waje kutrain kwenye radio yako eti ili akupe inspiration[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] sidhani kama ulinielewa nadhani ulikuwa bado uko usingizini, Hao kina jembe ni jembe wamefanya kazi CMG, Wafanyakazi kibao wa wasafi media kama Mo town sanya mafundi wametoka CMG sasa akisema kuna mkono wake kwenye hizo media utakataa?
.
Jembe ni jembe ni kama mtoto wa clouds, mtu ambaye kasimama bila nguvu kutoka clouds ni majizo pale myu wa kutoka CMG ni mmoja tu Dinna marios
Ongeza na Gerad Hando aliyekua power breakfast
 
ni kweli jembe ni jembe nae ni meneja wa harmo now
huko sudan walikuwepo wote,
pia hii ngoma iliyotoka juzi ya jamaa wa sudan john fogg alofanya na harmo story yao kabla ya kufanya ngoma inafurahisha sanaaa
 
Itategemea na utachagua liruke mara ngapi kwa siku mkuu, sisi tulitoa million 1 na laki nne kwa siku mbili na tulichaguwa vipindi vyenye wasikilizaji wengi si haba
.
Leo tena, na amplifier lakini XXL mkuu wanataka hela nyingi
nyie ni wajinga mnafikiri kusika redio tangazo lenu kutawanufaisah na nini?
 
Back
Top Bottom