Jemedari: Mpira wa Tanzania umejaa watu wajinga

Vipi kuhusu idara inahusika kusajili wachezaji pale Simba? Vipi anayetoa mpunga kusajili wachezaji huku hakuna shida so shida ipo kwa Mangungu tu?
 
Vipi ngoja nikuulize nani anayehusika na usajili pale Simba?
Mbona hujanibu........?

Siku ile ya uchaguzi Manzoki aliletwa na Mangungu au kamati ya usajili......?

Hapo ndipo ujue ule umaarufu alioupata kupitia uchaguzi,watu wana utumia ule ule kumpa lawama.
 
Mbona hujanibu........?

Siku ile ya uchaguzi Manzoki aliletwa na Mangungu au kamati ya usajili......?

Hapo ndipo ujue ule umaarufu alioupata kupitia uchaguzi,watu wana utumia ule ule kumpa lawama.
Unapokuwa unahitaji madaraka lazima upime akili za wapiga kura wako Mangungu kutumia hiyo kete kama sehemu ya kupata kura na imetick kosa sio lake wewe ulitakiwa umpime Mangungu baada ya kushinda uchaguzi nini kafanya na ukitaka kujua hao wanachama wa Simba hawajielewi tangu hiyo issue ya manzoki imepita muda gani mpaka izungumze sasa hivi baada ya kichapo cha Yanga na draw ya Namungo kutokea
 
Kwa hiyo unataka kuniambia mashabiki wote ni wajinga?

Huoni kama ana uwezo wa kumfikia mchezaji na kumualika kwenye issues,binafsi huoni kama ana capability katika kufanya usajili wa mchezaji yoyote.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia mashabiki wote ni wajinga?

Huoni kama ana uwezo wa kumfikia mchezaji na kumualika kwenye issues,binafsi huoni kama ana capability katika kufanya usajili wa mchezaji yoyote.
Pale anayehusika na usajili ni Try again na maamuzi mengi ya club yeye Ndio anafanya kwa niaba ya Mo dewji Ndio Maana nashangaa kwanini wanachama wamemganda Mangungu wakati nguvu ya kiti chake cha mwenyekiti ni ndogo
 
Hamna kitu kama hiko jamaa kajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, so mashabiki nao wanaendelea kumkaanga kwa mafuta hao hayo.
 
Umeongea facts kabisa.... mangungu alitumia manzoki kupata cheo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…