Kwenye kura kuna waliokataa na walio kubali,siwezi kusema mashabiki wote ni wajinga, kwani wapo mashabiki wengi ambao hawakufurahishwa na alicho fanya Mangungu.
Mangungu kwangu ni mjinga japo kashinda,ila haiondoi kwamba hana strategy za mda mrefu kwa club yake na sijawahi kuona kuongozi yoyote akifanya kitu kama alichofanya Mangungu siku ya uchaguzi.
Mpira kweli ni muunganiko wa sehemu nyingi, viongozi,wachezaji,benchi la ufundi ,skauti nk ,ktk hiko kimoja kikilega kinaweza kikaimpact vitengo vyote. Kazi ipo kwa kuidentify kipi kina wasibu ila Mangungu nae ni sehemu ya tatizo.