Jemedari Said ni aina ya watu wenye chuki na wivu mbaya

Jemedari Said ni aina ya watu wenye chuki na wivu mbaya

Right eye

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
1,149
Reaction score
1,994
Leo ndio nimeona sura dhahiri ya Jemedari Said ni mtu mwenye wivu na roho yenye chuki kali sana kwa watu anaohisi wana utofauti na mitazamo yake.

Hii imetokea leo muda wote alikua kimya hata pale yaliposemwa maneno ya hekima na yanayohitaji kuungwa mkono yeye alichagua kuchuna.

Ila kwenye inshu ya Fei Toto iliposemwa kalipuka kama mwehu kwa furaha ikionesha dhahiri kwamba anayo maslahi kwenye hili.
 
Mashabiki wa Yanga level ya roho mbaya mliofikia ni ya kichawi, na mnachuki ya ajabu.

Juzi tu hapa jemedari alikomaa na issue ya chama mpaka amepewa adhabu lakini mashabiki wa Simba wala hawajapiga kelele, ila nyinyi mnataka kusifiwa mda wote mkikosolewa tu inakuwa shida, mnajihisi inferiority.
 
YANI UMEKURUPUKA umekuja kudhihirisha Aina ya uelewa WAKO HAPA.

Unajaza seva za Jamii forum bila kuwa na Faida yoyote.

Nimesikitika KUONA Jamii forum inaruhusu mada kama hizi.
JARIBU kuwaza positive zaidi.

Active jaribuni kuangalia kwa mapana MAMBO kama haya yanaharibu UBORA waku Jukwaa.
 
Leo ndio nimeona sura dhahiri ya Jemadari Said ni mtu mwenye wivu na roho yenye chuki kali sana kwa watu anaohisi wana utofauti ni mitazamo yake.
Hii imetokea leo muda wote alikua kimya hata pale yaliposema maneno ya hekima na yanayoihitaji kuungwa mkono yeye alichagua kuchuna,Ila kwenye inshu ya Fei Toto iliposemwa kalipuka kama mwehu kwa furaha ikionesha dhahiri kwamba anayo maslahi kwenye hili.
Mkuu wapi huko? Kimetokea nini kwani?
 
Mkuu Right eye
ulichokiandika ndicho nami
nilichokiona. Muda wote hakuonesha
kuunga mkono kilichozungumzwa.

Muda wote kanuna lakini lilipozungumzwa suala la Fei
alisimama na kupiga makofi na kushangilia.

Jamaa alishindwa kabisa kujificha. Subiri kwenye Instagram yake kesho
akitoa maelekezo meeengi kwa Kambi yake huku akiwananga viongozi wa Yanga.
 
Leo ndio nimeona sura dhahiri ya Jemadari Said ni mtu mwenye wivu na roho yenye chuki kali sana kwa watu anaohisi wana utofauti ni mitazamo yake.
Hii imetokea leo muda wote alikua kimya hata pale yaliposema maneno ya hekima na yanayoihitaji kuungwa mkono yeye alichagua kuchuna,Ila kwenye inshu ya Fei Toto iliposemwa kalipuka kama mwehu kwa furaha ikionesha dhahiri kwamba anayo maslahi kwenye hili.
Ulivyoeleza utadhani wote tunamjua huyo SAIDI
 
jemadari wakati anacheza mpira pale kariakoo _Lindi ndiye mchezaji aliyekuwa msomi enzi zile _kidato cha sita pale ndanda aisee siku zinakimbia
 
Mashabiki wa Yanga level ya roho mbaya mliofikia ni ya kichawi, na mnachuki ya ajabu.

Juzi tu hapa jemedari alikomaa na issue ya chama mpaka amepewa adhabu lakini mashabiki wa Simba wala hawajapiga kelele, ila nyinyi mnataka kusifiwa mda wote mkikoselewa tu inakuwa shida, mnajihisi inferiority.
Wana hasira ya kukosa kombeee, waache watulize mioyo yao kwa vijimambo km hivii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom