ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Yeye anakomaa kama nani? ina maana TFF walimuadhibu Chama kisa kazumari?Mashabiki wa Yanga level ya roho mbaya mliofikia ni ya kichawi, na mnachuki ya ajabu.
Juzi tu hapa jemedari alikomaa na issue ya chama mpaka amepewa adhabu lakini mashabiki wa Simba wala hawajapiga kelele, ila nyinyi mnataka kusifiwa mda wote mkikoselewa tu inakuwa shida, mnajihisi inferiority.