Jemedari Said ni aina ya watu wenye chuki na wivu mbaya

Yeye anakomaa kama nani? ina maana TFF walimuadhibu Chama kisa kazumari?
 
Ambacho huelewi kuhusu mkubwa jemedari ni kwamba yule jamaa huwa hana mbambamba,yaani ni kanyooka mpaka basi..ndo mana kwenye jambo la chama kumsinya mchezaji wa ruvu shooting alilivalia njuga mpaka chama kafungiwa mechi 3 na faini na jiwe tano juu..so jamaa huwa anadai haki tu ndo alivyo so mumzoee tu nyie msiopenda haki.
 
huyu ana njaa sana,unajua analipwa kwa siku yaani mpaka afike efm ndio analipwa
 
Ama kweli nimeamini Tanzania kuna MAJUHA mengi kuliko timamu.

YANI nchi Bado Ina kabiliwa na WAPUMBAVU wengi sana.

ADUI.
UmasikinI.
UJINGA.
Maradhi Bado Wana tutesa sana WATANZANIA.


WAZAZI JITAHIDINI KUWASOMESHA WATOTO WENU.
Palipoandikwa Tanzania au Nchi pangeandikewa Yanga...
 
Nyinyi mna waandishi wamejaa kwenye magazeti na radio ila husikii Simba akilalamika kama juzi gazeti la mwanaspoti linaishauri yanga wakamsajili Kanoute mkataba wake umeisha lakini SI viongozi Wala washabiki wa Simba waliolalamika
 
nzala inamsumbua
 
Hivi huyu jamaa elimu yake ikoje
 
Nikisemaga kuwa Uto hawamiliki kitu kinachoitwa AKILI TIMAMU mnaonaga nawaonea
 
Nyinyi mna waandishi wamejaa kwenye magazeti na radio ila husikii Simba akilalamika kama juzi gazeti la mwanaspoti linaishauri yanga wakamsajili Kanoute mkataba wake umeisha lakini SI viongozi Wala washabiki wa Simba waliolalamika
Sasa hapo ulitaka walalamike nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…