Jemedari Said ni mmoja wa wachambuzi ambao hupaswi kupoteza muda wako kuwasikiliza mwaka 2024

Kwamba lazima asifie UTOPOLO FC [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Si ndiyo huyu mlikuwa mnamsifia humu jukwaani alipokuwa anaichamba Yanga usiku na mchana kwa hadithi zake za uzushi, kupitia hicho kituo anachofanyia kazi!!

Mimi nashauri na nyinyi muwe tu wapole ili dawa iwaingie vizuri.
Kuna watu sababu yupo nyuma ya Kamera au microphone basi anajiona naye ni mchambuzi. Mchambuz ambaye kiukweli namuheshimu ni Ally Mayai ni mchambuzi mkweli na hana ubaya na timu yoyote licha ya kuwa alichezea Yanga lakini ikifika wakati wa uchambuzi anasema ukweli hata kama tatizo lipo yanga anasema.Nadhani kinachomsaidia ni kuongelea kiufundi zaidi kuliko kishabiki. Sasa huyu Jeme yeye hana sifa hata moja amekalia ushabiki wa ajabu. Ukishakuwa mshabiki hufai kuwa mchambuzi kwenye media, labda vijiweni. Mchambuzi kwenye media unatakiwa kuwa fair kwa maana huna upande wowote unaoshabikia. Jeme yeye amekuwa na tabia kuishambulia Yanga bila kuchambua yeye kila kitu ni kukosoa mpaka unajiuliza hakuna zuri hata moja. Ntamshangaa mtu ambaye anamuamini huyu kuwa ni mchambuzi.
 
Heri hata hawa wachambuzi wa redio za Dar wanaangalia ligi za nje na kujua wachezaji na timu zao, ukienda mikoani wachambuzi hata hawajui wachezaji timu wanazocheza, hata kutamka majina ya wachezaji wanatamka tofauti kabisa mpaka unajiuliza mbona sijawahi kuona hilo jina kwenye kikosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati tunawaambia Huyo ni bomu mlituona haters. Afadhali wenyewe mmejionea.
Uongooo, shida ni kwamba sio shabiki wa utopolooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo nishamunfollow kitambo hata sitaki kisikia sauti yake
 
Si ndiyo huyu mlikuwa mnamsifia humu jukwaani alipokuwa anaichamba Yanga usiku na mchana kwa hadithi zake za uzushi, kupitia hicho kituo anachofanyia kazi!!

Mimi nashauri na nyinyi muwe tu wapole ili dawa iwaingie vizuri.
Kawageuka mikia sasa hivi,ili mradi kawwchokoza mikia jeme kazi anayo
 
Kwa sababu alikuwa anasema yaliyowafurahisha. Kama hawampi hela tena atushambulie watulie ni zamu yao.
Yule si mchambuzi that y huwezi kumsikia akichambua ndani ya pitch kamwe,yeye uchambua ya nje ya pitch tu,namjua vzr sana kipindi yuko azam fc baadae akawepo pale tff kuna zilifanya tuwe close,ni mbishi na mjuaji kupitiliza akubaligi kushindwa kwenye upumbavu wake
 
Nafikiri asilimia kubwa ya watanzania hawapendi watu wakweli,wasio waoga .
 
Nafikiri asilimia kubwa ya watanzania hawapendi watu wakweli,wasio waoga,wanapenda watu wakuita mwiko ni kijiko kikubwa .
 
Tanzania bana kila mchambuzi hajui mpira ..mie nadhani nyie mashabiki ndio mna matatizo ukizingatia timu zenu

Wawili wenye akili Fc vs Mbumbumbu Fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…