Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu sababu yupo nyuma ya Kamera au microphone basi anajiona naye ni mchambuzi. Mchambuz ambaye kiukweli namuheshimu ni Ally Mayai ni mchambuzi mkweli na hana ubaya na timu yoyote licha ya kuwa alichezea Yanga lakini ikifika wakati wa uchambuzi anasema ukweli hata kama tatizo lipo yanga anasema.Nadhani kinachomsaidia ni kuongelea kiufundi zaidi kuliko kishabiki. Sasa huyu Jeme yeye hana sifa hata moja amekalia ushabiki wa ajabu. Ukishakuwa mshabiki hufai kuwa mchambuzi kwenye media, labda vijiweni. Mchambuzi kwenye media unatakiwa kuwa fair kwa maana huna upande wowote unaoshabikia. Jeme yeye amekuwa na tabia kuishambulia Yanga bila kuchambua yeye kila kitu ni kukosoa mpaka unajiuliza hakuna zuri hata moja. Ntamshangaa mtu ambaye anamuamini huyu kuwa ni mchambuzi.Si ndiyo huyu mlikuwa mnamsifia humu jukwaani alipokuwa anaichamba Yanga usiku na mchana kwa hadithi zake za uzushi, kupitia hicho kituo anachofanyia kazi!!
Mimi nashauri na nyinyi muwe tu wapole ili dawa iwaingie vizuri.
Kisa ni mashabiki wa simba???utopolo mna ushamba sana aseeeUmechelewa
Kuna huyu na yule tapeli la ghana meek jr
Tupa kwenye dustbin
Kwahiyo unanilazimisha? Sindo ushamba wenyewe huo?Kisa ni mashabiki wa simba???utopolo mna ushamba sana aseee
Kisa sio wana utopoloo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umechelewa
Kuna huyu na yule tapeli la ghana meek jr
Tupa kwenye dustbin
Nashangaa hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba lazima asifie UTOPOLO FC [emoji1][emoji1][emoji1]
Uongooo, shida ni kwamba sio shabiki wa utopoloooWakati tunawaambia Huyo ni bomu mlituona haters. Afadhali wenyewe mmejionea.
Sana sana hilo li mick la hovyo kabisa yaanj poorKisa sio wana utopoloo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani sio vizuriSana sana hilo li mick la hovyo kabisa yaanj poor
Makolo ndio wanamjua sasa hv,yule mcha🐐 fala sanaMbona umechelewa sana? Wenzio tulishamcancel tokea 2022.
Kawageuka mikia sasa hivi,ili mradi kawwchokoza mikia jeme kazi anayoSi ndiyo huyu mlikuwa mnamsifia humu jukwaani alipokuwa anaichamba Yanga usiku na mchana kwa hadithi zake za uzushi, kupitia hicho kituo anachofanyia kazi!!
Mimi nashauri na nyinyi muwe tu wapole ili dawa iwaingie vizuri.
Kwa sababu alikuwa anasema yaliyowafurahisha. Kama hawampi hela tena atushambulie watulie ni zamu yao.Makolo ndio wanamjua sasa hv,yule mcha🐐 fala sana
Yule si mchambuzi that y huwezi kumsikia akichambua ndani ya pitch kamwe,yeye uchambua ya nje ya pitch tu,namjua vzr sana kipindi yuko azam fc baadae akawepo pale tff kuna zilifanya tuwe close,ni mbishi na mjuaji kupitiliza akubaligi kushindwa kwenye upumbavu wakeKwa sababu alikuwa anasema yaliyowafurahisha. Kama hawampi hela tena atushambulie watulie ni zamu yao.
Nafikiri asilimia kubwa ya watanzania hawapendi watu wakweli,wasio waoga,wanapenda watu wakuita mwiko ni kijiko kikubwa .Muda ni mali, ukiupoteza umepotea siku, nimewahi kufanya kazi ya uandishi wa habari kuanzia mwaka 1998 - 2008 nikiandikia magazeti ya Nipashe na Alasiri na kidooogo sana gazeti la Lete Raha, enzi hizo Alasiri ni gazeti hasa.Kwahiyo naifahamu kazi ya uandishi wa habari.
Vyombo vya habari must speak for the people, sio unaongelea mambo yako binafsi ili kumfurahisha mtu au uonekane kuwa una msimamo fulani, Big No.
Simchukii ila mbali na uandishi wa habari niliokuwa nao, kwa elimu yangu pia ya Political Science and Public Administration which I was conferred at the level of Bachelors degree and as of now pursuing LL.B, nawashauri msipoteze muda kumsikiliza Jemedari Said.
Changamoto anazozieleza huyu mshamba wa kusini zipo katika kila institutions, yeye yuko katika media moja but media hiyo ina matatizo kibao, haina motivation, watumishi wanahama, wengine hawazingati maadili katika magazine, unaendaje kazini na jeans, umenyoa kiduku, watumishi aina ya Dkt Kumbukaa ambao elimu yao ni ya kuunga unga matusi kibao kwenye mitandao ya kijamii lakini wao hawasemi, kwahiyo hiyo media unayofanya kazi inawalipa vzr saaaana nyie mbona mwalalamika mishahara, mbona media yenu ina uchale mwingi sana na watu wamekaa tu kimya.
Uchambuzi wake mimi simsikilizi sana ila namuona sana kwenye page yake ila baada ya kumbaini ni msanii, hana ishu, hana uwezo wa kuchambua namu unfollow kuanzia leo na sisikilizi tena redio anayofanyia kazi yeye.Naanza na huyu.
Watanzania ndio wajinga waliobakia afrika kwa sasa ...we fuatilia humu michango yao utajua nisemaloNafikiri asilimia kubwa ya watanzania hawapendi watu wakweli,wasio waoga,wanapenda watu wakuita mwiko ni kijiko kikubwa .