Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jemedari yeye anaongeleaga mambo ya nje ya uwanja na huwa haongelei zile dk 90 za uwanjan sasa mnamuitaje mchambuzi?Kuna watu sababu yupo nyuma ya Kamera au microphone basi anajiona naye ni mchambuzi. Mchambuz ambaye kiukweli namuheshimu ni Ally Mayai ni mchambuzi mkweli na hana ubaya na timu yoyote licha ya kuwa alichezea Yanga lakini ikifika wakati wa uchambuzi anasema ukweli hata kama tatizo lipo yanga anasema.Nadhani kinachomsaidia ni kuongelea kiufundi zaidi kuliko kishabiki. Sasa huyu Jeme yeye hana sifa hata moja amekalia ushabiki wa ajabu. Ukishakuwa mshabiki hufai kuwa mchambuzi kwenye media, labda vijiweni. Mchambuzi kwenye media unatakiwa kuwa fair kwa maana huna upande wowote unaoshabikia. Jeme yeye amekuwa na tabia kuishambulia Yanga bila kuchambua yeye kila kitu ni kukosoa mpaka unajiuliza hakuna zuri hata moja. Ntamshangaa mtu ambaye anamuamini huyu kuwa ni mchambuzi.
Laki 8 labda ya maandishi huyo kilaza hakuna mtu wa kumpa laki nane si bora ule Serengeti uongezee ngano mwilini..Ukikuta analalamika eti anatetea mishahara ya wachezaji
Utadhani analipwa million 100 kumbe laki 8 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimkomalia Karia siku mbili mfululizo aliposema ligi kuu ilikuwa si lolote si chochote kabla ya ujio wa azam tv.Muda ni mali, ukiupoteza umepotea siku, nimewahi kufanya kazi ya uandishi wa habari kuanzia mwaka 1998 - 2008 nikiandikia magazeti ya Nipashe na Alasiri na kidooogo sana gazeti la Lete Raha, enzi hizo Alasiri ni gazeti hasa.Kwahiyo naifahamu kazi ya uandishi wa habari.
Vyombo vya habari must speak for the people, sio unaongelea mambo yako binafsi ili kumfurahisha mtu au uonekane kuwa una msimamo fulani, Big No.
Simchukii ila mbali na uandishi wa habari niliokuwa nao, kwa elimu yangu pia ya Political Science and Public Administration which I was conferred at the level of Bachelors degree and as of now pursuing LL.B, nawashauri msipoteze muda kumsikiliza Jemedari Said.
Changamoto anazozieleza huyu mshamba wa kusini zipo katika kila institutions, yeye yuko katika media moja but media hiyo ina matatizo kibao, haina motivation, watumishi wanahama, wengine hawazingati maadili katika magazine, unaendaje kazini na jeans, umenyoa kiduku, watumishi aina ya Dkt Kumbukaa ambao elimu yao ni ya kuunga unga matusi kibao kwenye mitandao ya kijamii lakini wao hawasemi, kwahiyo hiyo media unayofanya kazi inawalipa vzr saaaana nyie mbona mwalalamika mishahara, mbona media yenu ina uchale mwingi sana na watu wamekaa tu kimya.
Uchambuzi wake mimi simsikilizi sana ila namuona sana kwenye page yake ila baada ya kumbaini ni msanii, hana ishu, hana uwezo wa kuchambua namu unfollow kuanzia leo na sisikilizi tena redio anayofanyia kazi yeye.Naanza na huyu.
Anapigaga spana eeh??lazima uspende kuskia sauti yakeHuyo nishamunfollow kitambo hata sitaki kisikia sauti yake
Watz wengi tunapenda watu FEKI NA WANAFIKI.Nafikiri asilimia kubwa ya watanzania hawapendi watu wakweli,wasio waoga .
Siwezi kukaa nasikiliza mpumbavu kama wewe.Jua tu nishakuunfollow.Una Majungu tu huna content.Anapigaga spana eeh??lazima uspende kuskia sauti yake