1)Ukiwa wa nne kwenye club bingwa ranking unapewa 1 inazidishwa na coefficient ya mwaka husika 5. 1x5=5
2)ukiwa wa nne kwenye kundi shirikisho unapewa 0.5 zidisha na coefficient ya mwaka husika 5. 0.5x5=2.5
Hiyo inakuwa ndio nyongeza ya point kwenye CAF 5 YEAR RANKING.
3) Summary.
(1,2,3,4 ) times 5 kwenye club bingwa
Simba akimaliza wa pili ni 3x5=15 gain in ranking points
(0.5,1,2,3) times 5 kwa shirikisho
Yanga akimaliza wa pili 2x5=10 gain in ranking points
CAF wenyewe wanalitambua hilo kuwa ugumu unatofautiana