Tunacho lalamikia sisi ni magoli yetu sisi kupewa thamani sawa na magoli ya losers.Jamani hata cha kupewa na chenyewe tunakilalamikia,Wakati Mh.Rais katoa kwa Upendo wake tu angetaka asingetoa hamna sheria inayombana na hata asingetoa mngecheza tu mashindano.!
We unanonaje?Kwamba Vipers na mazembe ni timu ipi ngumu?
Aliiponda na kusema maneno ya kejeli kwa watu waliopambana na kupata magoli away na home...bora angeishia kusema inacheza isivyozoeleka...Alisema Simba haichezi kama ilivyozoeleka kucheza
Ni swala la mimi kuona au ni rekodi tu zinavyosema, kwamba Vipers alimtoa Mazembe ndio akatupwa huko shirikisho?We unanonaje?
Wewe mwenyewe umeridhika na hii Simba ya sasa inavyocheza?Aliiponda na kusema maneno ya kejeli kwa watu waliopambana na kupata magoli away na home...bora angeishia kusema inacheza isivyozoeleka...
Some times yes some times no. It will depend na timu utakazo kutana nazo.Kwa hiyo mashindano ya shirikisho ni magumu zaidi ya Champions league?
Napinga, nadhani mwenyekiti wetu rage apewe kwa niaba yaApewe udaktari wa heshima
Kwahiyo kumtoa mazembe ndo ubora wamashindano?Ni swala la mimi kuona au ni rekodi tu zinavyosema, kwamba Vipers alimtoa Mazembe ndio akatupwa huko shirikisho?
Hivi Yanga walicheza Shirikisho kwa kupenda au walitupwa baada ya kufeli?
Hakuna cha Sometimes yes or no, Timu zote zilizopo Shirikisho zilifanya vibaya kuliko zilizopo ChampionsSome times yes some times no. It will depend na timu urakazo kutana nazo.
Unamtaka kuniambia Vipers na Simba ni bora kuliko Pyramid na Rivers?. Baadhi ya wakati tuache ushabiki.
Kwahiyo kumtoa mazembe ndo ubora wamashindano?
Kuna ubora wa mashindano na ubora wa timu hivi vitu havifanani.
Unapimaje ubora? Kwamba timu Bora huwa hautakiwi kufungwa?
Je vipers alimfunga magoli mangapi Tp mazembe?
Hapo kwenye yupi bora zaidi ndipo ninapopataka.Hakuna cha Sometimes yes or no, Timu zote zilizopo Shirikisho zilifanya vibaya kuliko zilizopo Champions
Utafananisha Pyramids na Al Ahly yupi bora zaidi? Au Rivers na Mamelodi? Vipers na Mazembe?
Kwa muktadha huo wewe ulishika nafasi ya ngapi kwenye ligi yako?Timu zilizopo Shirikisho ni zile zilizoshika nafasi za chini kwenye mashindano ya kwenye ligi zao ama ni zile zilizofanya vibaya Champions League, hilo halikupi picha kuwa ubora ni tofauti?
Nacho jaribu kusema hapa kama Simba ni mbaya? Basi na magoli yake ni mabaya...tusiwe wanafiki pote pote..Wewe mwenyewe umeridhika na hii Simba ya sasa inavyocheza?
Au hata timu ikicheza vibaya tuisifie kinafiki?
Ana hoja mbili. Ya kwanza kombe analocheza Yanga ni dogo ikazaa hoja ya pili ya thamani ya kila goli. Ipi haina mashiko?Soma hapo juu utaelewa hoja yake ni nini sasa
Pimbi tu huyo.Shida yake huyo huyo ungemsikiliza juzi Simba walivyocheza na vipers alichokiongea na leo ni vitu viwili tofauti..kama ameiona Simba kama alivyoiona anataka waongezewe hela za nini?
Vigezo vipi unatumia kupata thamani ya goli? Na ni vigezo vilivyo thibitishwa na FIFA au mtu anajiamulia tu?Ana hoja mbili. Ya kwanza kombe analocheza Yanga ni dogo ikazaa hoja ya pili ya thamani ya kila goli. Ipi haina mashiko?