Nimezitaja hapo juu. Pyramids, Rivers United, AS FAR etc. Kwa kuongezea kuna Young Africans, Monastir, USM Algers ,Marumo, n.kTimu nzuri ipi? Tp mazembe aliyetolewa na Vipers au?
Hawa wote si walikuwa Champions League wakafeli wakatupwa hukoNimezitaja hapo juu. Pyramids, Rivers United, AS FAR etc. Kwa kuongezea kuna Young Africans, Monastir, USM Algers ,Marumo, n.k
Hizi kwa Wala nganda na Vipers yake hawapati hata sare hata kama wataingia kinyume nyume.
Vipers imepururuka,plus kocha mgeni si yule aliyeitoa mazembe, vipers ile ya siku ya mwananchi Simba hatii mguuSimba imemfunga Vipers(mbabe wa Mazembe) nje ndani, ndio ingeshindwa hawa vibonde akina na mazembe kweli?
Angalia rekodi zako vizuri.Hawa wote si walikuwa Champions League wakafeli wakatupwa huko
Huyo kaamua kubisha,anajua vizuri unachomweleza Ila kaamua kubishaAngalia rekodi zako vizuri.
Timu gani hapo inaweza fungwa na Simba!?Hawa wote si walikuwa Champions League wakafeli wakatupwa huko
UmemalizaTimu gani hapo inaweza fungwa na Simba!?
Ukiliangalia kwa jicho la uhalisia ni kwamba michezo ni burudani na huleta mshikamano zaidi kwa hiyo Mheshimiwa Rais analiona hilo na anazipa timu zote nafasi sawa ya kutimiza malengo yao kimataifa. Hii yote ni michuano ya kimataifa, hamuna fact yoyote ya ku-devalue jitihada za wadau kuchochea ushindi kimataifa. Rais ni taasisi kuna impact kwenye hidden double standard unayoitaka.Issue nzima ya kutoa pesa kwa magoli ni upuuzi tu, huo ndiyo UKWERI.
Kesho kwenye robo fainali timu moja ikifungwa 5-1 tena za mikwaju ya penati nyingine ikashinda 1-0, wote wanapewa pesa sawa. Na siku hizi timu hazichezi tu kufunga magoli zinacheza kwa malengo. Unaweza kupiga kimoja, ukaona njia nzuri ni kupaki basi siyo kuzitafuta milioni 5 zingine huku ukijiweka hatarini kupigwa bao.
Narudia, ni upuuzi tu.
So Vipers imeporomoka ila Mazembe ndio hiyo mnasema iliifinga Simba 2019Vipers imepururuka,plus kocha mgeni si yule aliyeitoa mazembe, vipers ile ya siku ya mwananchi Simba hatii mguu
Haya Mh Rais akisema hatoi hela kwa goli lolote itakuwaje.?Tunacho lalamikia sisi ni magoli yetu sisi kupewa thamani sawa na magoli ya losers.
Zote zipo mashindano ya chini kuliko ambayo Simba inashiriki,Timu gani hapo inaweza fungwa na Simba!?
Mzee hujui utaratibu wa kupanga timu za CAF Champions League na Shirikisho?Angalia rekodi zako vizuri.
Hakuna cha jicho la uhalisia au la makengeza UKWERI ndiyo huo niliosema. Maamuzi mabaya yakifanywa lazima yakosolewe. Kesho hayo niliyosema yakitokea, mtatumia nguvu kubwa kuficha aibu mliyomsababishia Rais wakati mngesikiliza maoni ya watu hayo yasingetokea.Ukiliangalia kwa jicho la uhalisia ni kwamba michezo ni burudani na huleta mshikamano zaidi kwa hiyo Mheshimiwa Rais analiona hilo na anazipa timu zote nafasi sawa ya kutimiza malengo yao kimataifa. Hii yote ni michuano ya kimataifa, hamuna fact yoyote ya ku-devalue jitihada za wadau kuchochea ushindi kimataifa. Rais ni taasisi kuna impact kwenye hidden double standard unayoitaka.
Alafu unatoa matusi ya nini wewe? Cha msingi wewe tangaza bei ya kila gori kwa pesa zako! Tena wewe unaweza weka hata milioni 500 kwa kila gori la SIMBA.
Kwani Kuna timu imeshinda Kwa sababu ya hiyo 5 mil. na kwamba bila ya hiyo zawadi isingeshinda? Anachofanya ndugu Rais ni kujipa promo yeye lakini kwamba ati inachangia ushindi hiyo sidhani.Haya Mh Rais akisema hatoi hela kwa goli lolote itakuwaje.?
Heeh ..huko miaka ya nyuma mbona Marais walikuwa hawatoi pesa na watu walikuwa wanashinda..watu wanaangalia billions..hizo milion tano zinachukuliwa kwa heshima tu.Haya Mh Rais akisema hatoi hela kwa goli lolote itakuwaje.?