Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

Timu nzuri ipi? Tp mazembe aliyetolewa na Vipers au?
Nimezitaja hapo juu. Pyramids, Rivers United, AS FAR etc. Kwa kuongezea kuna Young Africans, Monastir, USM Algers ,Marumo, n.k
Hizi kwa Wala nganda na Vipers yake hawapati hata sare hata kama wataingia kinyume nyume.
 
Hawa wote si walikuwa Champions League wakafeli wakatupwa huko
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Simba imemfunga Vipers(mbabe wa Mazembe) nje ndani, ndio ingeshindwa hawa vibonde akina na mazembe kweli?
Vipers imepururuka,plus kocha mgeni si yule aliyeitoa mazembe, vipers ile ya siku ya mwananchi Simba hatii mguu
 
Issue nzima ya kutoa pesa kwa magoli ni upuuzi tu, huo ndiyo UKWERI.

Kesho kwenye robo fainali timu moja ikifungwa 5-1 tena za mikwaju ya penati nyingine ikashinda 1-0, wote wanapewa pesa sawa. Na siku hizi timu hazichezi tu kufunga magoli zinacheza kwa malengo. Unaweza kupiga kimoja, ukaona njia nzuri ni kupaki basi siyo kuzitafuta milioni 5 zingine huku ukijiweka hatarini kupigwa bao.

Narudia, ni upuuzi tu.
Ukiliangalia kwa jicho la uhalisia ni kwamba michezo ni burudani na huleta mshikamano zaidi kwa hiyo Mheshimiwa Rais analiona hilo na anazipa timu zote nafasi sawa ya kutimiza malengo yao kimataifa. Hii yote ni michuano ya kimataifa, hamuna fact yoyote ya ku-devalue jitihada za wadau kuchochea ushindi kimataifa. Rais ni taasisi kuna impact kwenye hidden double standard unayoitaka.
Alafu unatoa matusi ya nini wewe? Cha msingi wewe tangaza bei ya kila gori kwa pesa zako! Tena wewe unaweza weka hata milioni 500 kwa kila gori la SIMBA.
 
Vipers imepururuka,plus kocha mgeni si yule aliyeitoa mazembe, vipers ile ya siku ya mwananchi Simba hatii mguu
So Vipers imeporomoka ila Mazembe ndio hiyo mnasema iliifinga Simba 2019
 
Angalia rekodi zako vizuri.
Mzee hujui utaratibu wa kupanga timu za CAF Champions League na Shirikisho?

Ngoja nikupeleke shule, wanaopangwa Champions League ni wale waliomaliza nafasi za juu kwenye league zao, nafasi za chini wanaenda Shirikisho

Ikitokea timu ikapangwa Champions league ila ikatolewa hatua za awali basi inatupwq shirikisho, ndio kilichowatoea Yanga na Mazembe
 
Ukiliangalia kwa jicho la uhalisia ni kwamba michezo ni burudani na huleta mshikamano zaidi kwa hiyo Mheshimiwa Rais analiona hilo na anazipa timu zote nafasi sawa ya kutimiza malengo yao kimataifa. Hii yote ni michuano ya kimataifa, hamuna fact yoyote ya ku-devalue jitihada za wadau kuchochea ushindi kimataifa. Rais ni taasisi kuna impact kwenye hidden double standard unayoitaka.
Alafu unatoa matusi ya nini wewe? Cha msingi wewe tangaza bei ya kila gori kwa pesa zako! Tena wewe unaweza weka hata milioni 500 kwa kila gori la SIMBA.
Hakuna cha jicho la uhalisia au la makengeza UKWERI ndiyo huo niliosema. Maamuzi mabaya yakifanywa lazima yakosolewe. Kesho hayo niliyosema yakitokea, mtatumia nguvu kubwa kuficha aibu mliyomsababishia Rais wakati mngesikiliza maoni ya watu hayo yasingetokea.

Kama hauniamini tunza hii post. Kuna siku si nyingi ataipa pesa nyingi zaidi timu iliyotolewa kuliko iliyofuzu.
 
Kuna mlevi mmoja mwaka 1960 alisikika akisema eti kafu konfidelesheni ni mashindano ya losers
 
Haya Mh Rais akisema hatoi hela kwa goli lolote itakuwaje.?
Kwani Kuna timu imeshinda Kwa sababu ya hiyo 5 mil. na kwamba bila ya hiyo zawadi isingeshinda? Anachofanya ndugu Rais ni kujipa promo yeye lakini kwamba ati inachangia ushindi hiyo sidhani.
 
Ana hoja asikilizwee, pia yuko sahihi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya Mh Rais akisema hatoi hela kwa goli lolote itakuwaje.?
Heeh ..huko miaka ya nyuma mbona Marais walikuwa hawatoi pesa na watu walikuwa wanashinda..watu wanaangalia billions..hizo milion tano zinachukuliwa kwa heshima tu.
 
Back
Top Bottom