Mnapata tabu sana na huyu mtu, mtu huyu kashajua ili uwe maarufu hapa jukwaani kuwa na nyuzi na zinazotembea kwa uchangiaji. Angalia yeye na yule mwingine wa kila tukio/matukio anayafungulia nyuzi wao kazi yao moja ni iyo tu.
Mbaya zaidi kwenye kila nyuzi vyanzo vyake vya habari utasikikia nina mtu wa karibu, sijui ndugu, sijui rafiki...bla bla bla kibao.
Hao watu wanaumwa, Afya za akili zao haziko sawa na wako nyuma ya keyboard kujiliwaza.
Jikumbusheni ya Mtemi kiongozi, mume halali wa mtoto wa Obama #Don Nalimison...yupo wapi.
Tulijitahidi aende Milembe na hawa watu wawili ni swala la muda tu tutajipanga tena na tutawapeleka naamini.