Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

Alivyokuwa akiongea kiswahili cha tandale kuwa kaacha kujiunga Real Madrid ili ajiunge timu ya ndoto yake uto nikajua hapa tumepigwa,alicheza epl kweli ila ni mgonjwa na madaktari walimzuia kucheza sema njaa tu
Hili la Ugonjwa ndo hawapendi kusikiaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jemedari na wewe Popoma wakati uyo mwamba anakipiga Epl bado mlikuwa Mbwinde. Huyo Jemedari alibebwa na Salum Madadi Kariakoo Lindi mpaka TFF, kwakuwa alikuwa moja wa wachezaji wenye ushawishi linapokuja swala la kwenda kupalilia na kupiga dawa mikorosho ya Madadi.

Wewe Popoma ulikua ukichunga mbuzi uko kwenu. Halafu Sasa mmekuja mjini mmejua kuongea na kuandika vitu msivyo vijua mkifikiri watu woote wapo kwenye daraja Lenu la ukilaza.
 
Jemedari na wewe Popoma wakati uyo mwamba anakipiga Epl bado mlikuwa Mbwinde.
Uyo Jemedari alibebwa na Salum Madadi Karakoo Lindi mpaka Tff, kwakua alikuamoja wa wachezaji wenye ushawishi linapokuja swala la kwenda kupalilia na kupiga dawa mikorosho ya Madadi.
Wewe Popoma ulikua ukichunga mbuzi uko kwenu.
Alafu Sasa mmekuja mjini mmejua kuongea na kuandika vitu msivyo vijua mkifikiri watu woote wapo kwenye daraja Lenu la ukilaza.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Mi sishangai jamaa kucheza Newcastle ninacho shangaa ni kutoka kucheza Newcastle had kuja kucheza yanga kashindwa kupambana hata aende league 1 au serie A hadi aje ligi ya TFF? huyu mwamba ni miongoni mwa mifano ya maanguko makubwa sana yaliyowapata binadam maana alipata kila kitu ila kakosa akili
Mmeanza kupangia watu maisha, unajua nini kapitia au ni kiherehere!
 
Mnapata tabu sana na huyu mtu, mtu huyu kashajua ili uwe maarufu hapa jukwaani kuwa na nyuzi na zinazotembea kwa uchangiaji. Angalia yeye na yule mwingine wa kila tukio/matukio anayafungulia nyuzi wao kazi yao moja ni iyo tu.

Mbaya zaidi kwenye kila nyuzi vyanzo vyake vya habari utasikikia nina mtu wa karibu, sijui ndugu, sijui rafiki...bla bla bla kibao.

Hao watu wanaumwa, Afya za akili zao haziko sawa na wako nyuma ya keyboard kujiliwaza.

Jikumbusheni ya Mtemi kiongozi, mume halali wa mtoto wa Obama #Don Nalimison...yupo wapi.

Tulijitahidi aende Milembe na hawa watu wawili ni swala la muda tu tutajipanga tena na tutawapeleka naamini.
 
Shida wewe na huyo mmakonde binti kazumali tarehe yenu ya clinic ya milembe ni moja.

View attachment 2492386View attachment 2492387View attachment 2492389
Ukiwa na Akili Kubwa na Mbinu nyingi za kupata uhakika wa Taarifa raha sana.

Nimechokoza hii Mada kwa Makusudi ili mhamaki hivi na mje na Taarifa za uhakika.

Asanteni nyote mlionijibu na mliotuma Picha za Mchezaji husika na Timu aliyoichezea.

Sasa kama mna details hizi zote kwanini Mchezaji wenu wa Ulaya hapati Namba Afrika Tanzania?

Halafu mbona kwa mbali hizi Picha mlizonitumia Sura siyo kabisa ya Gael Bigirimana wenu?

Cc: Melvine
 
Kacheza epl nimemshuhudia Kwa macho yangu ila kimeo tu alikuwa Newcastle United.
Ukiwa na Akili Kubwa na Mbinu nyingi za kupata uhakika wa Taarifa raha sana.

Nimechokoza hii Mada kwa Makusudi ili mhamaki hivi na mje na Taarifa za uhakika.

Asanteni nyote mlionijibu na mliotuma Picha za Mchezaji husika na Timu aliyoichezea.

Sasa kama mna details hizi zote kwanini Mchezaji wenu wa Ulaya hapati Namba Afrika Tanzania?

Halafu mbona kwa mbali hizi Picha mlizonitumia Sura siyo kabisa ya Gael Bigirimana wenu?
 
Kuna vitu huwa mnapost mpaka marafiki zenu tunaona aibu. Yaani Jemadari Said ndo wa kuchukua habari yake na kuitangaza? Huyo na Kitenge wala si wa kuwatilia maanani. Utaaibika Kwa kufuatisha akili za wasio na akili. Mtu anapost ujinga kutafuta followers.
Ukiwa na Akili Kubwa na Mbinu nyingi za kupata uhakika wa Taarifa raha sana.

Nimechokoza hii Mada kwa Makusudi ili mhamaki hivi na mje na Taarifa za uhakika.

Asanteni nyote mlionijibu na mliotuma Picha za Mchezaji husika na Timu aliyoichezea.

Sasa kama mna details hizi zote kwanini Mchezaji wenu wa Ulaya hapati Namba Afrika Tanzania?

Halafu mbona kwa mbali hizi Picha mlizonitumia Sura siyo kabisa ya Gael Bigirimana wenu?
 
Mi sishangai jamaa kucheza Newcastle ninacho shangaa ni kutoka kucheza Newcastle had kuja kucheza yanga kashindwa kupambana hata aende league 1 au serie A hadi aje ligi ya TFF? huyu mwamba ni miongoni mwa mifano ya maanguko makubwa sana yaliyowapata binadam maana alipata kila kitu ila kakosa akili
Siyo Yeye kabisa huyo Mkuu wamepigwa.
 
Jemedari na wewe Popoma wakati uyo mwamba anakipiga Epl bado mlikuwa Mbwinde.
Uyo Jemedari alibebwa na Salum Madadi Karakoo Lindi mpaka Tff, kwakua alikuamoja wa wachezaji wenye ushawishi linapokuja swala la kwenda kupalilia na kupiga dawa mikorosho ya Madadi.
Wewe Popoma ulikua ukichunga mbuzi uko kwenu.
Alafu Sasa mmekuja mjini mmejua kuongea na kuandika vitu msivyo vijua mkifikiri watu woote wapo kwenye daraja Lenu la ukilaza.
Ukiwa na Akili Kubwa na Mbinu nyingi za kupata uhakika wa Taarifa raha sana.

Nimechokoza hii Mada kwa Makusudi ili mhamaki hivi na mje na Taarifa za uhakika.

Asanteni nyote mlionijibu na mliotuma Picha za Mchezaji husika na Timu aliyoichezea.

Sasa kama mna details hizi zote kwanini Mchezaji wenu wa Ulaya hapati Namba Afrika Tanzania?

Halafu mbona kwa mbali hizi Picha mlizonitumia Sura siyo kabisa ya Gael Bigirimana wenu?
 
Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.

Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.

Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.

Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?

Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.

Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Screenshot_20230123-145246_Chrome.jpg
 
saut inapatikana mwanza, mbeya arusha nk.

mwanza ni HQ
Kinatoa kozi gani hiko chuo? Kumbe kipo maeneo mengi hivyo aiseee Tz kumbe kuna vyuo vingi sana. Tz binafsi natambua uwepo wa vyuo vikubwa vi5 tu.
1. UDSM
2. UDOM
3. SUA
4. MZUMBE
5. MUHIMBILI

Vyuo vya kati ninavyovijua
1. IFM
2. CBE
3. MUST
4. ARDHI
5. DIT
6. TIA
7. VETA
 
Back
Top Bottom