Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

Alivyokuwa akiongea kiswahili cha tandale kuwa kaacha kujiunga Real Madrid ili ajiunge timu ya ndoto yake uto nikajua hapa tumepigwa,alicheza epl kweli ila ni mgonjwa na madaktari walimzuia kucheza sema njaa tu
Hili la Ugonjwa ndo hawapendi kusikiaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jemedari na wewe Popoma wakati uyo mwamba anakipiga Epl bado mlikuwa Mbwinde. Huyo Jemedari alibebwa na Salum Madadi Kariakoo Lindi mpaka TFF, kwakuwa alikuwa moja wa wachezaji wenye ushawishi linapokuja swala la kwenda kupalilia na kupiga dawa mikorosho ya Madadi.

Wewe Popoma ulikua ukichunga mbuzi uko kwenu. Halafu Sasa mmekuja mjini mmejua kuongea na kuandika vitu msivyo vijua mkifikiri watu woote wapo kwenye daraja Lenu la ukilaza.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Mmeanza kupangia watu maisha, unajua nini kapitia au ni kiherehere!
 
Mnapata tabu sana na huyu mtu, mtu huyu kashajua ili uwe maarufu hapa jukwaani kuwa na nyuzi na zinazotembea kwa uchangiaji. Angalia yeye na yule mwingine wa kila tukio/matukio anayafungulia nyuzi wao kazi yao moja ni iyo tu.

Mbaya zaidi kwenye kila nyuzi vyanzo vyake vya habari utasikikia nina mtu wa karibu, sijui ndugu, sijui rafiki...bla bla bla kibao.

Hao watu wanaumwa, Afya za akili zao haziko sawa na wako nyuma ya keyboard kujiliwaza.

Jikumbusheni ya Mtemi kiongozi, mume halali wa mtoto wa Obama #Don Nalimison...yupo wapi.

Tulijitahidi aende Milembe na hawa watu wawili ni swala la muda tu tutajipanga tena na tutawapeleka naamini.
 
Shida wewe na huyo mmakonde binti kazumali tarehe yenu ya clinic ya milembe ni moja.

View attachment 2492386View attachment 2492387View attachment 2492389
Ukiwa na Akili Kubwa na Mbinu nyingi za kupata uhakika wa Taarifa raha sana.

Nimechokoza hii Mada kwa Makusudi ili mhamaki hivi na mje na Taarifa za uhakika.

Asanteni nyote mlionijibu na mliotuma Picha za Mchezaji husika na Timu aliyoichezea.

Sasa kama mna details hizi zote kwanini Mchezaji wenu wa Ulaya hapati Namba Afrika Tanzania?

Halafu mbona kwa mbali hizi Picha mlizonitumia Sura siyo kabisa ya Gael Bigirimana wenu?

Cc: Melvine
 
Kacheza epl nimemshuhudia Kwa macho yangu ila kimeo tu alikuwa Newcastle United.
Ukiwa na Akili Kubwa na Mbinu nyingi za kupata uhakika wa Taarifa raha sana.

Nimechokoza hii Mada kwa Makusudi ili mhamaki hivi na mje na Taarifa za uhakika.

Asanteni nyote mlionijibu na mliotuma Picha za Mchezaji husika na Timu aliyoichezea.

Sasa kama mna details hizi zote kwanini Mchezaji wenu wa Ulaya hapati Namba Afrika Tanzania?

Halafu mbona kwa mbali hizi Picha mlizonitumia Sura siyo kabisa ya Gael Bigirimana wenu?
 
Ukiwa na Akili Kubwa na Mbinu nyingi za kupata uhakika wa Taarifa raha sana.

Nimechokoza hii Mada kwa Makusudi ili mhamaki hivi na mje na Taarifa za uhakika.

Asanteni nyote mlionijibu na mliotuma Picha za Mchezaji husika na Timu aliyoichezea.

Sasa kama mna details hizi zote kwanini Mchezaji wenu wa Ulaya hapati Namba Afrika Tanzania?

Halafu mbona kwa mbali hizi Picha mlizonitumia Sura siyo kabisa ya Gael Bigirimana wenu?
 
Siyo Yeye kabisa huyo Mkuu wamepigwa.
 
saut inapatikana mwanza, mbeya arusha nk.

mwanza ni HQ
Kinatoa kozi gani hiko chuo? Kumbe kipo maeneo mengi hivyo aiseee Tz kumbe kuna vyuo vingi sana. Tz binafsi natambua uwepo wa vyuo vikubwa vi5 tu.
1. UDSM
2. UDOM
3. SUA
4. MZUMBE
5. MUHIMBILI

Vyuo vya kati ninavyovijua
1. IFM
2. CBE
3. MUST
4. ARDHI
5. DIT
6. TIA
7. VETA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…