Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa


kwa upande wa degree huko diploma na certificate sijui. wana;

engineering
education
law
mass communication
education
public relation and marketing
economics
 
Mumpuuze mleta mada ana chronic schizophrenia yaani hiii inahitajika palliative care tu no way maana psychotic drug zote zimedunda
 
Akina Solomon Kalou na Alex Song wanacheza ligi dhaifu na isiyo na msisimko wowote ule! ya Djbouti huku wakiwa wamechezea timu kubwa tu duniani! Mfano Arsenal, Chelsea, Barcelona, nk.

Muda ukimtupa mkono mchezaji, anaweza kucheza ligi yoyote ile duniani. Muhimu anapata chochote kitu. Na ndiyo maana Christiano Ronaldo leo yupo Uarabuni, badala ya Man U.
 
Hi kwani lazima kuongea. Ona aibu uliyoipata sasa bora ungekaa kimya. Unasababisha wote waliyopitia SAUT wadharaulike kwa kukurupuka kwako.
 
Halafu nilikuwa najua umepona eti! Kumbe bado tatizo liko pale pale.
 
Nyuz zake hazitembei sku hizi watu washamchoka
 
Acha kujieleza sana wewe ni wakiume

Kenge wa Pakistan.
 
Bigirimana ana miaka 29 huo siyo umri wa kusema muda umemtupa mkono ilitakiwa bado awe kwenye ligi kubwa za ushindan, hao kina kalou Wana utajiri karibu billion 25+ za ki Tz sahiv Wana miaka 35+ lakin wamecheza tim kibwa kama Arsenal,Barcelona, lille, feyernood, Westham United, Chelsea sahiv ni haki yao kucheza ligi ndogo tena siyo kwaajili ya kutafuta pesa ni kwaajili ya wanafanya kitu wanachopenda.

Sasa bigirimana kaishia Newcastle tu baada ya hapo kaporomoka tena akiwa na miaka 29 tu tayari Yuko yanga wakati alikua tayari anayo nafas ya kufika mbali na kutengeneza maisha, huwezi kumfananisha na kina kalou na song mzee wale majina yao Ni makubwa wametengeneza connection kibao wanaweza hata kuishi bila kuucheza huo mpira wanaocheza sasa kwenye hizo ligi, ila huyu mwana bado anajitafuta watu kibao hawamjui alafu kaangukia yanga, hayo ni matumizi mabaya ya fursa
 
Wachezaji wa Kiafrika wana umri wa aina 2! Wa kwenye pasport, na ule halisi.

Lakini na ishu ya kiafya iliyo ongekewa na baadhi ya vyombo vya habari, kama ina ukweli; basi inaweza pia kuwa ni sababu mojawapo.
 
hoja sio hiyo hoja ni kujibu uongo wa huyo gentamaisini ambae alidiriki kusema gael hajacheza new castle eti yanga tulidanganywa,aisee amejibiwa kwa ushahidi muda huu atakuwa anajamba tu
 
Wachezaji wa Kiafrika wana umri wa aina 2! Wa kwenye pasport, na ule halisi.

Lakini na ishu ya kiafya iliyo ongekewa na baadhi ya vyombo vya habari, kama ina ukweli; basi inaweza pia kuwa ni sababu mojawapo.
Hata Mimi nahisi kuwa Kuna tatizo la kiafya jamaa alilipata ila sidhan Kama maisha ya soccer yalipo muweka sasa kwamba ni ndani ya malengo yake, alikua bado anayo nafasi ya kuvuna pesa nyingi sana huko Europe hata kama asingekua na jina kubwa
 
binti kazumari kakuingiza chaka,tena la miiba...halaf usimfate yule mtu mwenyewe malinda zero
 
Halafu nilikuwa najua umepona eti! Kumbe bado tatizo liko pale pale.
Nasubiri kauli ya familia kutokana na hii kadhia maana mlimpigania sana ndugu yenu haswa wewe kama kaka mkubwa..
 
Kujifanya kupost uzi mara kwa mara bila utafiti ni mapungufu makubwa sana, unaweza pia ukakaa kimya bila kuleta taarifa humu na ikawa sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…