Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinatoa kozi gani hiko chuo? Kumbe kipo maeneo mengi hivyo aiseee Tz kumbe kuna vyuo vingi sana. Tz binafsi natambua uwepo wa vyuo vikubwa vi5 tu.
1. UDSM
2. UDOM
3. SUA
4. MZUMBE
5. MUHIMBILI
Vyuo vya kati ninavyovijua
1. IFM
2. CBE
3. MUST
4. ARDHI
5. DIT
6. TIA
7. VETA
Mleta mada sijui kwanini wanamchemkea sana huyu jamaa ni mijitu ya propaganda sanJamaa nilishampuuza siku nyingi sana
Mumpuuze mleta mada ana chronic schizophrenia yaani hiii inahitajika palliative care tu no way maana psychotic drug zote zimedundaNa Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.
Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.
Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?
Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.
Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Kaka yake nipo hapa! 😇Kichaa kimepanda tayari
Akina Solomon Kalou na Alex Song wanacheza ligi dhaifu na isiyo na msisimko wowote ule! ya Djbouti huku wakiwa wamechezea timu kubwa tu duniani! Mfano Arsenal, Chelsea, Barcelona, nk.Mi sishangai jamaa kucheza Newcastle ninacho shangaa ni kutoka kucheza Newcastle had kuja kucheza yanga kashindwa kupambana hata aende league 1 au serie A hadi aje ligi ya TFF? huyu mwamba ni miongoni mwa mifano ya maanguko makubwa sana yaliyowapata binadam maana alipata kila kitu ila kakosa akili
Halafu nilikuwa najua umepona eti! Kumbe bado tatizo liko pale pale.Ukiwa na Akili Kubwa na Mbinu nyingi za kupata uhakika wa Taarifa raha sana.
Nimechokoza hii Mada kwa Makusudi ili mhamaki hivi na mje na Taarifa za uhakika.
Asanteni nyote mlionijibu na mliotuma Picha za Mchezaji husika na Timu aliyoichezea.
Sasa kama mna details hizi zote kwanini Mchezaji wenu wa Ulaya hapati Namba Afrika Tanzania?
Halafu mbona kwa mbali hizi Picha mlizonitumia Sura siyo kabisa ya Gael Bigirimana wenu?
Cc: Melvine
Nyuz zake hazitembei sku hizi watu washamchokaMnapata tabu sana na uyu mtu, mtu uyu kashajua ili uwe maarufu hapa jukwaani kuwa na nyuzi na zinazotembea kwa uchangiaji.
Angalia yeye na yule mwingine wa kila tukio/matukio anayafungulia nyuzi wao kazi yao moja ni iyo tu.
Mbaya zaidi kwenye kila nyuzi vyanzo vyake vya habari utasikikia nina mtu wa karibu, sijui ndugu, sijui rafiki...bla bla bla kibao.
Hao watu wanaumwa, Afya za akili zao haziko sawa na wako nyuma ya keyboard kujiliwaza.
Jikumbusheni ya Mtemi kiongozi, mume halali wa mtoto wa Obama #Don Nalimison...yupo wapi.
Tulijitahidi aende Milembe na hawa watu wawili ni swala la muda tu tutajipanga tena na tutawapeleka naamini.
Acha kujieleza sana wewe ni wakiumeUkiwa na Akili Kubwa na Mbinu nyingi za kupata uhakika wa Taarifa raha sana.
Nimechokoza hii Mada kwa Makusudi ili mhamaki hivi na mje na Taarifa za uhakika.
Asanteni nyote mlionijibu na mliotuma Picha za Mchezaji husika na Timu aliyoichezea.
Sasa kama mna details hizi zote kwanini Mchezaji wenu wa Ulaya hapati Namba Afrika Tanzania?
Halafu mbona kwa mbali hizi Picha mlizonitumia Sura siyo kabisa ya Gael Bigirimana wenu?
Bigirimana ana miaka 29 huo siyo umri wa kusema muda umemtupa mkono ilitakiwa bado awe kwenye ligi kubwa za ushindan, hao kina kalou Wana utajiri karibu billion 25+ za ki Tz sahiv Wana miaka 35+ lakin wamecheza tim kibwa kama Arsenal,Barcelona, lille, feyernood, Westham United, Chelsea sahiv ni haki yao kucheza ligi ndogo tena siyo kwaajili ya kutafuta pesa ni kwaajili ya wanafanya kitu wanachopenda.Akina Solomon Kalou na Alex Song wanacheza ligi dhaifu na isiyo na msisimko wowote ule! ya Djbouti huku wakiwa wamechezea timu kubwa tu duniani! Mfano Arsenal, Chelsea, Barcelona, nk.
Muda ukimtupa mkono mchezaji, anaweza kucheza ligi yoyote ile duniani. Muhimu anapata chochote kitu. Na ndiyo maana Christiano Ronaldo leo yupo Uarabuni, badala ya Man U.
Wachezaji wa Kiafrika wana umri wa aina 2! Wa kwenye pasport, na ule halisi.Bigirimana ana miaka 29 huo siyo umri wa kusema muda umemtupa mkono ilitakiwa bado awe kwenye ligi kubwa za ushindan, hao kina kalou Wana utajiri karibu billion 25+ za ki Tz sahiv Wana miaka 35+ lakin wamecheza tim kibwa kama Arsenal,Barcelona, lille, feyernood, Westham United, Chelsea sahiv ni haki yao kucheza ligi ndogo tena siyo kwaajili ya kutafuta pesa ni kwaajili ya wanafanya kitu wanachopenda.
Sasa bigirimana kaishia Newcastle tu baada ya hapo kaporomoka tena akiwa na miaka 29 tu tayari Yuko yanga wakati alikua tayari anayo nafas ya kufika mbali na kutengeneza maisha, huwezi kumfananisha na kina kalou na song mzee wale majina yao Ni makubwa wametengeneza connection kibao wanaweza hata kuishi bila kuucheza huo mpira wanaocheza sasa kwenye hizo ligi, ila huyu mwana bado anajitafuta watu kibao hawamjui alafu kaangukia yanga, hayo ni matumizi mabaya ya fursa
hoja sio hiyo hoja ni kujibu uongo wa huyo gentamaisini ambae alidiriki kusema gael hajacheza new castle eti yanga tulidanganywa,aisee amejibiwa kwa ushahidi muda huu atakuwa anajamba tuBigirimana ana miaka 29 huo siyo umri wa kusema muda umemtupa mkono ilitakiwa bado awe kwenye ligi kubwa za ushindan, hao kina kalou Wana utajiri karibu billion 25+ za ki Tz sahiv Wana miaka 35+ lakin wamecheza tim kibwa kama Arsenal,Barcelona, lille, feyernood, Westham United, Chelsea sahiv ni haki yao kucheza ligi ndogo tena siyo kwaajili ya kutafuta pesa ni kwaajili ya wanafanya kitu wanachopenda.
Sasa bigirimana kaishia Newcastle tu baada ya hapo kaporomoka tena akiwa na miaka 29 tu tayari Yuko yanga wakati alikua tayari anayo nafas ya kufika mbali na kutengeneza maisha, huwezi kumfananisha na kina kalou na song mzee wale majina yao Ni makubwa wametengeneza connection kibao wanaweza hata kuishi bila kuucheza huo mpira wanaocheza sasa kwenye hizo ligi, ila huyu mwana bado anajitafuta watu kibao hawamjui alafu kaangukia yanga, hayo ni matumizi mabaya ya fursa
Hata Mimi nahisi kuwa Kuna tatizo la kiafya jamaa alilipata ila sidhan Kama maisha ya soccer yalipo muweka sasa kwamba ni ndani ya malengo yake, alikua bado anayo nafasi ya kuvuna pesa nyingi sana huko Europe hata kama asingekua na jina kubwaWachezaji wa Kiafrika wana umri wa aina 2! Wa kwenye pasport, na ule halisi.
Lakini na ishu ya kiafya iliyo ongekewa na baadhi ya vyombo vya habari, kama ina ukweli; basi inaweza pia kuwa ni sababu mojawapo.
binti kazumari kakuingiza chaka,tena la miiba...halaf usimfate yule mtu mwenyewe malinda zeroNa Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.
Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.
Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?
Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.
Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Nasubiri kauli ya familia kutokana na hii kadhia maana mlimpigania sana ndugu yenu haswa wewe kama kaka mkubwa..Halafu nilikuwa najua umepona eti! Kumbe bado tatizo liko pale pale.